Search results

  1. Coach Slamah Hamad

    Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Kazi kweli kweli.
  2. Coach Slamah Hamad

    Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

    Malaya wa Siasa au Malaya wa Ngono? Kama ni Siasa, hiyo ni kawaida kabisa kwa wanasiasa wa Afrika hasa Tanzania ndio washika bendera ya umalaya wa kisiasa. Inafahamika. Na hata umalaya wa kingono, kwani sio kweli kwamba ndio hitaji moja wapo la wanasiasa (wanachama na viongozi wao)? Au ni...
  3. Coach Slamah Hamad

    Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni Sawa na kuipromoti Chadema Bila kujua!

    Itakuwaje Kama mwenye Radio kashika membership Card ya CCM?
  4. Coach Slamah Hamad

    Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni Sawa na kuipromoti Chadema Bila kujua!

    Pengine uwezo huo hamna ndio maana mmekaa nafasi ya watazamaji.
  5. Coach Slamah Hamad

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    Dangerous and beyond. Mungu aepushe maafa InshaAllah.
  6. Coach Slamah Hamad

    LIVE Updates za Kimbunga Hidaya: Ulipo hali ikoje?

    100km/h? Hii ina Ukweli kiasi gani?
  7. Coach Slamah Hamad

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Na huu ndio msingi halisi wa hii mada.
  8. Coach Slamah Hamad

    Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Ndio nachuma mboga zozote za majani bila kujali niko hedhi ama sipo. Unatambua kwamba vitu vingi vinaendeshwa na Imani?
  9. Coach Slamah Hamad

    Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Nani kakuuliza hiyo “Sababu? Nipe maelekezo ya Mungu kwa mwanaume kuwa Imamu wa Msikiti.
  10. Coach Slamah Hamad

    Rais Ruto kashika Mwamvuli yeye mwenyewe lakini RC Chalamila kashikiwa mwamvuli na Mpambe!

    Ahsante kwa ku balance mada. Maana Chalamila alikua anadhalilishwa personally Kisa kushikiwa mwamvuli! Watanzania wamebarikiwa midomo ya kejeli, kashfa na udhalilishaji! Sad.
  11. Coach Slamah Hamad

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Na huyo wa pili, amebeba wawili (watoto/viumbe), nae ina maana ipi?
  12. Coach Slamah Hamad

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kwamba ramani ya mkoloni ndio uhalisia sahihi? Turudi mwanzo, inawezekana kisiwa kumiliki maeneo ndani ya pande la nchi/eneo ama ni rahisi kwa pande la nchi/eneo kumiliki kisiwa? Na tukifuata mwanzo kabisa, hicho kisiwa kilimeguka kutoka wapi? Ikitokea kimerejea kilipomeguka mwanzo, itakuwaje?
  13. Coach Slamah Hamad

    Zitto Kabwe asema Kikwete alimwambia CCM hakina muda mrefu madarakani na kumshauri abaki upinzani. Aliahidiwa uwaziri wa fedha iwapo angejiunga CCM

    Inategemea kwenye nini. Ikiwa Kama hivi kwenye kufanya “Polifix, hana mpinzani kwa sasa nyuma ya Mzee Freeman.
  14. Coach Slamah Hamad

    Inga Stone; Jiwe, Mwamba wenye fumbo utata maajabu na maswali yasiyo na majibu kwa Binadamu wa kizazi hiki!

    Huyo kushoto Mbona Kama anampulizia pumzi ya uhai huyo mtoto/kiumbe aliyembeba?
  15. Coach Slamah Hamad

    Kuna ulazima wa kuvaa sare Msibani?

    Ni wazi Haya maoni ya wengi humu JF ni stereoisomers in nature. Unless Kama yanawahusu Islams wa class fulani pekee, vinginevyo maisha ya family nyingi za Islams ni tofauti mno na maoni ya wengi humu.
Back
Top Bottom