[emoji23][emoji23][emoji23]......wee si mzalishaji mpaka umeleta umbea maana hii sio taarifa umeleta umbea ?..kwami thread za udaku huzijui afu ukute nabishana na mtu gari huna ni wale wajuaji sana wa magari ila account inasoma kama findings za Titration kwenye Volumetric Analysis...
Sema mkuu yani we mwenyewe umeleta mada inaonekana bado kabisa unaponda ...hujaleta input kua nini kilitokea mpaka gari ikawa ivyo...yani ume base kwenye lawana tuu
Usomi upi unasemea ?..maana mtu ana Masters ya Surgery hana kazi ...kazi zake part time za kuunga unga ila dharau mpaka kwenye ukucha..... ninachojua Kumuheshimu mtu haina haja ya kwenda darasani ili mtu akuheshimu/umuheshimu that's all
Ila anyway Rangi ina priority yake tuu ... imagine mwanaume mwenzangu ana Harrier ya pink?? ...hii sio utani ...hata kama sina gari ila hiyo rangi hapana kwakwel [emoji23][emoji23][emoji23]
Wala sikupingi mkuu ... yani kwa bahati mbaya sana kitendo cha makonda ku entertain ndio nimezid kuona kua anacheza na akili za watu...hata kama ni creativity sio kwa upuuzi ule
Uzi ndio nauona leo....inamaana mpaka unaona that means uliona vigezo vyote ....sasa imekuaje hata kama ni kukurupuka ?? Kuna vitu bhana acha tu viendelee kua fundisho sasa unakuja huku mambo ni kama yameharibika tu hayo sasa
Hilo lisikushangaze sana mkuu....imagine mtu ni wa Yanga ila ka follow page ya simba ....lengo ni nini haswa??
Utakuta kuna update anataka azipate tu yupo kwa ajili ya benefits flan sio kua yupo pale intentionally.
Yani mkuu unatoa code mwenyewe tuendelee kukuona mtoto wa 2000 afu una mind asa huyo sijui dem sijui mke wako kashafika 400,000KM milage hiyo engine ndio basi tena ....mtu anakwambia uunganishe mabao afu unaropoka eti huwezi ...ungekua karibu ningekulamba kofi mkuu ni restore setting za hiyo bichwa
Sasa mkuu apa hii thread yako ni kama umetaka kuja kuongeza Trophy points tuu bora ....yani Thread unasema inasambaa alafu unekuja huku unashindwa ku attach video sasa nani atakuamini kwa sisi ambao hatujaona?
Hivi huo muda wa kuulizana mnaupataga wenzetu.....wengine tukimaliza yani ni kulala.
If you don't geriiiiit.... forget abourriiiit [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.