Unafiki kupitiliza hata huyu mleta mada hamjui huyu binti shule za nini?? [emoji23][emoji23][emoji23] kaleta mada achimbe mawili matatu akasimulie huko kwao.
Sema bhana Watu wako Bias sana ni vile huyu dada kajulikana kwa Watu Wengi hapa majuzi, ila yupo kitambo tu.
Mbali na sex education anayotoa na inasaidia Watu Wengi tu hasa wanawake pia anatoa elimu ya afya ya uzazi.
Msikae kwenye point moja kwamba anafundisha umalaya hapana acheni ukuda...
Hizi ndio bei za vioo Google Pixel
GOOGLE PIXEL VIOO
PIXEL 3 155,000
PIXEL 3A 170,000
PIXEL 4 4G 370,000
PIXEL 4A 5G 330,000
PIXEL 4XL 300,000
PIXEL 6A 400,000
PIXEL 6PRO
Hizo ni bei za vioo gharama ya ufundi ni 10,000 Tsh 0714036595 karibu mkuu[emoji1666]
Wanaume siku hizi wanalalamika sana kitu kidogo mtu kawaza kujiua ujinga sana, mimi kwa umri wangu ningeshajiua mara kibao kuna mda maisha Unaona kabisa umetoboa then boom uko chini, unapiga vumbi unatembea ila hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini utumie WhatsApp GB? Wewe deal na WhatsApp business na WhatsApp ya kawaida.
App Store ina application zote za kutumia na ni free kitu utakacholipa ni Apple Music na sio lazima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.