nimekuelewa mindset yako iko very shallow, nasema hivyo kwa sababu gani tulia nikueleze. Ukiwa na akili ya kufikiria kuwa mimi nitarithi vya wazazi wangu hutajiendeleza kwa lolote. Najua wazi kuwa endapo mzazi hatakuwa duniani watoto watarithi but pls remove that evil mindset na pambana kama...
na kwa nini ukiwaza mzazi akifa? huo muda wa kuwaza hivyo utumie kutafuta vyako. Mali za wazazi wana haki ya kumpa yeyote maana ni zao na wengi wao hawajarithi kama mnavyofikiria kurithi.
vijana amkeni amkeni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.