NAKAZIA mkuu!.. Yani Moro malaya wapo kama mateja, kwanza wachafu...wanavuta misigata hovyo na kunywa visungura...kwa Moro bado sijaona chimbo mkuu!!..
Habari za muda huu wanajamvi!.
Wanaume wenzangu kichwa cha habari hapo juu chakusika.
Wazee mimi nina jamaangu tumefahamiana ni zaidi ya miaka 3 nyuma iliyopita, tunafanya kazi ofisi moja, tunasaidiana kimaisha na hali nyingine zakimaisha pale inapolazimu kufanyia hivo. Ila tofauti ni kwamba...
Jamaa alilala lunch time na bar aliyokuwepo ndo hyo hyo lunch time...mm pia pale nilishapataga lishangazi kwahyo kuwa makini kijana hyo ni mizigo ya palepale around.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kusikilizia vilio vyao ndo unapokosea kijana wangu...yani ukishatafuta usimpe tena attention ni ukauzu tu mpaka ahisi kama una matatizo ya akili.
Habarini za jioni wakuu, moja kwa moja niende kwenye mada. Hii ni kwa wanaume wenzangu, hivi mnawezaje kukaa na demu mmoja zaidi ya wiki moja na kuendelea?.
Mimi kila nikijaribu kukaa na demu nashindwa wazee, yani nikishatafuna mara moja au mbili tuu sitaki tena kumuona wala kuona ananicheki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.