Search results

  1. Da Womanizer

    mzabzab mzee wa migegedo

    Mkuu mzabzab baada ya kusoma comment zako nyingi nimejikuta navutika kukuuliza hili swali hapa chini:- Hivi kuna kitu kingine chochote unachoona kwa mwanamke zaidi ya K aka mgegedo female equipment??? Hili swali limekuja kwa sababu ya msisitizo unaouweka kwenye suala zima la mgegedo.
  2. Da Womanizer

    Sex is .............

    Weekend hii nimekaa na kujiuliza maswali kadhaa kuhusu mapenzi (sex). kwa kweli kuna mengi sana yalisemwa, yanasemwa na yataendelea kusemwa kuhusu mukhtadha mzima wa kufanya mapenzi. Leo naomba tujiangalie na tukumbuke historia zetu za kimapenzi halafu tujadili hili suala hapa. Mimi kwa upande...
  3. Da Womanizer

    Wanyarwanda na bikira

    Imebidi niulize wanajamvi, manake juzi nimekutana na msichana wa tatu wa kinyarwanda naye pia anadai ni bikira baada ya wawili wa kwanza kudai kitu hichohicho. Je ni kweli kuwa wasichana wengi wa kinyarwanda huwa wanakaa na bikira zao hadi waolewe au wanataka kutuingiza mjini tu wabongo?? Wenye...
  4. Da Womanizer

    Mademu wa kinyarwanda

    Katika pita pita zangu hapa JF nimeshuhudia mara nyingi sana hawa mademu wakimwagiwa sifa kemkem...kama vile wana maji ya kutosha, v.s.m. virefu......na nyinginezo nyingi. Sasa juzi kati nimegundua kuwa kumbe hata wao wanyarwanda wanajua kuwa watz wanawasifia, stori yenyewe inakwenda hivi...
  5. Da Womanizer

    Jamani hebu tuupaishe mlima wetu KILIMANJARO.................

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii kitu Welcome to the official global voting platform of New7Wonders | New7Wonders si vibaya na sisi watz tukashiriki kupaisha vitu vyetu...................Tupige kampeni kama tulivyopiga kampeni kupiga kura za uchaguzi mkuu.
  6. Da Womanizer

    Job application of the Decade

    Dear Sir I refer to the recent death of the Technical Manager at your company and wish to apply for the replacement of the dead manager. Each time I apply for employment I am told there is no vacancy but on this one, I have caught you red handed coz I even attended the funeral and all burial...
  7. Da Womanizer

    Mdororo

    Leo nimesikia huu msamiati ukitumika, ningependa kujua kama ni msamiati sahihi na kama matumizi yake kwa mukhtadha wa hapa chini ni sahihi. Wenyewe wanasema mdororo wa uchumi duniani. Mimi nilizoea kusikia kuzorota kwa uchumi duniani. Udzungwa.
  8. Da Womanizer

    Hii Imekaaje?

    Leo wakati nasikiliza BBC asubuhi kuna watu walikuwa wanahojiwa kuhusu ajali iliyowahi kutokea huko nyuma kule Kongo mashariki. Ajali hii ni ile iliyohusisha lori la mafuta lililopata ajali ambapo kama kawaida ya waafrika wakakimbilia kwenda kuiba mafuta, kilichotokea ni lori hilo kulipuka na...
  9. Da Womanizer

    Pape

    Hivi huyu mtu anayekwenda kwa jina la Pape amepotelea wapi????? Au ameshachakachuliwa nini?????
  10. Da Womanizer

    Unaikumbuka hii?

    Nakumbuka kitaa kipindi hicho wakati redio ni dili kubwa....... Tena tulikuwa tunaita redio kaseti halafu swali linalofuatia hapo ni "Redio yako ina bendi ngap?!!"...................... Mwingine utasikia anajisifu mi nimenunua kitu kina bendi 12 wakati vituo vyenyewe vya redio viwili RTD na bbc...
  11. Da Womanizer

    Toyota hiace super roof inahitajika

    Kama kuna mtu yeyote anayemiliki gari niliyotaja hapo juu iliyo kwenye hali nzuri na anafikiria kuiuza naomba anijulishe. Angalizo: Bei isizidi Tshs 11,000,000/=
  12. Da Womanizer

    Wanafunzi wa kike na mimba mashuleni.

    Habari wanaJF. Hivi bandugu hamuoni kuwa kumbebesha mzigo wote wa makosa mwanaume ikitokea mwanafunzi amepewa mimba ni sawa na kusema kwamba wanawake ni wapumbavu sana kiasi kwamba hawawezi kufikiria na kujua lipi ni bora na lipi baya kwao. Naomba nieleweke vizuri hapa, kwa sababu kwa utaratibu...
  13. Da Womanizer

    Wanaume na ngono

    Mimi nimekuwa nikifiria mara nyingi sana inakuwaje ss madume una wife/demu unampenda na ukimega unaridhika lakini bado ukiona demu mwingine unatamani na akiingia kwenye 18 zako unamega vilex2 na sasa nimefikia conclusion kwamba kwa kiasi kikubwa hawa dada zetu ndio wanatupelekea sana katika...
Back
Top Bottom