Search results

  1. M

    Nilioa mtoto wa waziri mkuu kutokana na mpira

    Aliekuwa mchezaji wa simba Abadallah kibaden king ameweka wazi kwenye moja ya gazeti la toleo la leo la mchezo kwamba alipata mke kutkana na mpira,... akiongea na mwandishi wa habari kibaden anasema walifanikiwa kuifunga timu ya YANGA magoli 6-0 kipindi akiwa simba baada ya mechi alikutana na...
  2. M

    Sumry aendelea kuongeza gari baada ya vifo vya mohamed trans

    Baada ya kubadili jina na kujiita na Sumry kutoka mohamed trans kuacha usumbufu wa watu na mohamed trans....gazi za sumry zimeanza kuongezeka mpya kila kikucha na hivyo kuhitimisha misemo ya watu kumbe vifo vya mohamed trans vilikuwa kafara...mmoja alisema kila vichwa Vitano vilivyokufa vinatoa...
  3. M

    Kitchen party ya wiki hii!!!

    Kuna wanawake wengine bwana wameolewa lakini mambo yao tofauti utasema wenzangu na mie tunaotafuta kupiga mizinga;utakuta mwanamke kaolewa ana mume mlokole ama ametulia lakini kutwaa akirudi kazini kavua nguo kakimbilia kwe nye bar kupiga umbea na wanwake wengine tena sio wanandoa..acha nasema...
  4. M

    Mwanamke anayewatesa majirani kwa Kelele za Ngono atiwa Mbaroni tena

    Mwanamke Anayewatesa Majirani Kwa Kelele za Ngono Atiwa Mbaroni Tena Tuesday, March 23, 2010 1:52 AM Mwanamke wa nchini Uingereza ambaye alishawahi kufikishwa mahakamani kutokana na makelele yake ya kimahaba anayoyatoa wakati akifanya mapenzi na mumewe ametiwa tena mbaroni kwa mara nyingine...
  5. M

    Mwanamke Afungwa Jela ya Wanaume Kwa Miezi Sita

    Mwanamke Afungwa Jela ya Wanaume Kwa Miezi Sita Tuesday, March 23, 2010 3:15 AM Skendo limeikumba kitengo cha kurekebisha tabia cha Afrika Kusini ambapo mwanamke aliyakamatwa kwa makosa ya ujambazi anadaiwa kufungwa kwenye jela ya wanaume kwa kipindi cha miezi sita na kupelekea mwanamke huyo...
  6. M

    Aibiwa Mumewe, Aenda Mahakamani, Alipwa Fidia Dola Milioni 9;sheria aipo tanzania??

    Bi. Cynthia Shackelford akiwa na mbwa wakeTuesday, March 23, 2010 2:53 AM Mwanamke wa nchini Marekani aliyemfikisha mahakamani mwanamke aliyempora mumewe, ameshinda kesi aliyomfungulia mwanamke huyo kwa kumuibia mumewe na atalipwa fidia ya dola milioni 9.Cynthia Shackelford mwenye umri wa miaka...
  7. M

    SHERIA YA MATUMIZI YA PESA YAANZA RASMI;Mbunge agawa mchele, nyama kujipigia debe

    Mbunge agawa mchele, nyama kujipigia debeSalim Said MBUNGE wa Jimbo la Wawi wilayani Chake, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ameongeza changamoto katika udhibiti wa rushwa kwenye uchaguzi baada ya kugawa mchele, nyama na vifaa vingine vyenye thamani ya zaidi ya Sh1.5 milioni, akijitetea kuwa...
  8. M

    Kontena za betri bandia zakamatwa(TIGER HEAD)

    SHEHENA ya kontena 20 za betri aina ya Tiger Head kutoka China zimekamatwa kutokana na kukosa ubora na viwango vya matumizi ya bidhaa hiyo.Kontena hizo zimekamatwa katika operesheni ya Shirika la Viwango nchini (TBS) kayitka kukagua bnidhaa ziingiazo nchini ambazo hazina viwango vya matumizi...
  9. M

    Kuna matatizo gani hospitali za M'nyamala na Temeke?

    Hakika hii nchi ndio maana inazidi kulaanika siku hadi siku. Kwa walioangalia kwenye ITV taarifa ya habari imesikitisha saana kuona wagonjwa wakiwa kwenye ambulance wakisubiria wengine wazidiwe ndipo wapelekwe muhimbili. Mh meya wa kinondoni SALUM LONDA akiwa na wenzake waliamua kuwatoke...
  10. M

    Viongozi wa vyama vya wafanyakazi mnajimaliza wenyewe!!kuelekea mgomo

    POLEN SANA ILA MNGEANZA KUSAFISHANA KWANZA KABLA YA MGOMO MCHAWI YUMO HUMO HUMO NDANI Wakati chama cha wafanyakazi kikipanga mgomo na kukataa uwakilishi wa serikali siku ya mei mossi...napenda kutoa wito wao kwa wao kwanza kuanza kusafishana....vyama vya tucta ,cotwu,chodawu vimekuwa mstari...
  11. M

    Kombe la Lowassa linavyofana Monduli!

    VIJANA wa jamii ya kifugaji kote nchini, wanapaswa kuungwa mkono katika suala la kuendelezwa kisoka, kwani kwa kufanya hivyo kutawafanya wajitume zaidi na kuacha fikira potofu kuwa wametengwa katika michezo. Kauli hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Iddi Kipingu...
  12. M

    Mganda amficha mtoto akidai million 2

    MTU anayedaiwa kuwa ni raia wa Uganda (Jina linahifadhiwa) anasakwa kwa tuhuma za kumteka mwanafunzi wa darasa la kwanza wa shule ya msingi Chuma mkoani Tanga, Amani Mohamed (7) ambapo ili amrejeshe kwenye familia yake ametaka kulipwa Sh 2 milioni na ametoa muda wa siku 14 asipotimiziwa basi...
  13. M

    Miss tanzania bila ma predeshe inawezekana!!

    Wakati rais we tanzania J.M.KIKWETE ameseme watanzania bila malaria inawezekana....wimbo wa mwaka huu kwa upande wa ma miss ""MISS TANZANIA BILA MAPREDESHE INAWEZEKANA"" Mwenyekiti wa mashindano ya miss tanzania Hashimu lundenga amekutana na mawakala ambao watakuwa wakitafuta washiriki wa miss...
  14. M

    Wezi na mapolisi ni wabia endelevu!!!

    Hakika napenda kuamini sasa hawa maplisi wana ubia na hawa majambazi wanaoiba kwenye ma bank na kwa wafanyabiashara kila siku swala hili limeesemwa leo na kada mmoja wa CCM pale alipokuwa akillalamika wizi uliotokea kwenye bank ya NMB huko songea kwa kuibwa pesa million 360 kwa njia ya mtandao...
  15. M

    Isije kuwa ukubwa tu na ndani hakuna Risasi!

    Ukuni wangu! Isije kuwa ukubwa tu na ndani hakuna Risasi! Samahani mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 tatizo langu ni kwamba ukuni wangu hauwezi kusimama kwa muda hata dakika 3. Ukweli nampenda sana mke wangu na anajitahidi sana kuhakikisha ninasisimka na ukuni unasimama hata hivyo...
  16. M

    Hupati kitu hadi ndoa kwanza!

    Nimpe? Hupati kitu hadi ndoa kwanza! Kaka asante sana kwa blog hii na tunajifunza mambo mengi sana kuhusu ndoa na mahusiano. Mimi ni mdada ambaye kweli Natamani kuolewa hata hivyo mchumba wangu anasisitiza kwamba tufanye mapenzi kwanza (sex) ili ajue nampenda. Je, mapenzi kabla ya ndoa si...
  17. M

    Subiri kidogo nikwambie!!

    Si kweli! Kuna siku nimewahi kuandika kwamba kuna usemi mmoja wa kingereza unaosema: “Someone is better than no one” Kwa maana kwamba wapo watu ambao (hasa wanawake wale ambao wanaona muda unaenda bila kuwa na mchumba au mpenzi wa kuwa naye katika maisha) huamua kushikana na bora...
  18. M

    Auditing Hadi Chumbani!

    Auditing Hadi Chumbani! Kuna wakati mwanandoa mmoja anajikuta yupo ndani ya ganda la yai (eggshell) kwa maana kwamba anajikuta anakabiliana na mke au mume ambaye anadhibiti, anayeamulisha, anapenda ufyate ulimi, anakukalia kooni, huna hiari yako na anakusimamia kila kitu. <!--[if...
  19. M

    Kichwa kwanza, Moyo Baadae!

    Kichwa kwanza, Moyo Baadae! Unapotafuta mchumba "tumia kichwa chako kwanza" na tumia moyo wako ukisharidhika naye. Katika ndoa kuna namna tofauti ya kupambana na matatizo au kutoelewana au kubishana au kutokubaliana na jambo au shida yoyote na kila wanandoa wana namna yao, hii ina maana...
  20. M

    Mara ya Pili...

    Mara ya Pili... Fikiria wewe ni mwanamke ambaye baada ya kuishi na mwanaume kwa muda unaoujua wewe na kwa sababu unazozijua wewe mwanaume hayupo tena na wewe. Amekuacha na mtoto/watoto na baada ya kuponya majeraha ya kuondokewa au kubaki mwenyewe sasa unajiona upo katika hali ya kutafuta...
Back
Top Bottom