Mi naona hapo ngoma droo, inategemea, kama ilitokea tu bahati mbaya, tusamehane tuendelee kulea watoto, kama ilikuwa ni kwamba kila siku choko choko haziishi ndani ya nyumba, bora kila mtu hapo achukue time yake.
Samahani kutoka nje ya topic, we ni Nyani Ngabu? Au ume-copy na ku -paste...
Hamna lolote hapo kwenye nyumba ndogo, maana mbona hata hizo nyumba ndogo huwa zikiolewa zinaachwa,kidume kinaenda kutafuta tena nyumba ndogo si kingekuwa kinamfanzia mume wake manjonjo mpaka hasiende nyumba ndogo.
Wewe huwa unasema wakati gani? Bora hata cc wanawake huwa tunajitahidi kulisema. Maana hapa umesema wife huwa analisema wakati wa chakula cha ndoa je wewe ni wakati gani?
Inaonyesha boss alikuwa mkorofi sana, na labda ofisini walikuwa wawili 2 yeye na boss wake na kuna malipo yamefanyika kwa hiyo itakuwa ni halali yake kwa hiyo sio tu kwamba anataka kusikia kwamba boss amefariki dunia bali alivyopata utajiri maana si kawaida.
Wanapendana nini wakati mume alisham-cheat. Na kama wanapendana mbona mume ameweza kuwasiliana na huyu mwanamke mwingine mpaka kufikia hatua ya kutengana au upendo umekuja ghafla baada ya kuludiana na mbona bado hawajaludiana kwa sababu wazazi wa mke hawamtaki mume. Au una-mbania tu huyu...
Mimi ndo ningekuwa Jide ningemfungulia huyo mtu mashtaka ya kuniita muuaji, halafu akifika huko athibitishe uuaji wangu. Hii ingekuwa ni fundisho kwa watu wote wanaopenda kulopoka, kwa maana huyo kijana au m-baba inaonyesha alilopoka. Sidhani kama Jide aliukana ukurya kiasi hicho yeye...
Hawezekani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ni kweli huyu mwalimu anatakiwa ashitakiwe. Maana akiwakanyaga na hiyo toyo take si vidole vitapondeka pondeka jamani.
Kuna ubaya gani kupewa habari za ma-celebritie, iwitoshe ameileta mahali panapofaa yaani panapo tuletea habari za ma- celebrities binafsi nampa shavu mbonea kwa hii thread. Thanxs mbonea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.