Search results

  1. T

    Happy birthday - dena amsi

    1.LEO MTOTO WA KIKE DENA AMSI AMEZALIWA......HONGERA SANA DENA KUTIMIZA MIAKA....??...LEO 2.MUNGU AKULINDE,AKUBARIKI NA AKUZIDISHIE MILELE NA MILELE. Leo wana JF tunaunganisha sherehe za miaka 50 tunaanzia hapahapa, tunaanza na hii ya DENA, KESHO UHURU....... kufikia jumatatu...
  2. T

    Tafakari ya 2010

    Kuna uwezekano 2010 ulikwa mwaka mzuri sana kwako kimapenzi, HONGERA ulimfanyia mpenzi wako jambo jema sana.Lakini pia kuna uwezekano uliteleza na ukafanya usichokipenda au kutarajia .Kwa tafakari hii itakusaidia utende mema na kuacha mabaya 2011,na kwa wengine watapata fulsa kujua mema gani...
  3. T

    Namna bora ya kupokea simu yenye zengwe.

    Heri ya mwaka mpya. Naelewa wana JF wote ni watu safi kila mtu ana MPENZI wake mmoja tu na wengine hawana kabisa. Lakini unamshaurije mtu ambae atapigiwa simu na mpenzi wa nje wakati yupo na mpenzi wake wa siku zote?. na kwa kweli mpenzi wake alie nae wakati simu inapigwa ni mkorofi. JE? 1...
  4. T

    Mimi mgeni wenu

    Waheshimiwa wana JF wa mikoa ya TANGA, MWANZA,ARUSHA,ZANZIBAR NA MBEYA mimi ni mgeni wenu NITAONDOKA hapa DAR ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa nitakuwa KATIKA anga zenu. 1.ni mgeni kwelikweli na kamba mguuni ninayo. 2.Ukiwa miji ya watu sharti upige hodi. 3.Naomba wale wa miji hiyo tuwasiliane...
  5. T

    Uvae kama apendavyo yeye au kama upendavyo wewe?

    Mpenzi wako anaweza kuwa anapenda rangi fulani au baadhi ya nguo,mitindo au mishono. Je unafikiri lipi ni sahihi,kuvaa vile anavyotaka mpenzi wako utokee hata kama moyo wako hautaki au uvae utakavyo wewe hata kama darling wako hataki?.......mimi mawazo yangu nitatoa baadae.
  6. T

    Kuna mapiganio makali monduli?

    Kuna taarifa ambayo haijathibitishwa kuwa kuna mapigano makali mjini Monduli mkoani Arusha yaliyotokea jana kuanzia majira ya jioni. Mapigano hayo ni kati ya Polisi na wamasai.Mtoa habari ameeleza kuwa kuna vifo vimetokea vinavyotokana na mapigano hayo. Chanzo cha ugomvi huo inadaiwa ni kundi la...
  7. T

    Hii ni tabia mbaya sana katika mahusiano.

    Hakuna binadamu aliekamilika, kila mtu ana mapungufu na maumbile tofauti,kuna baadhi ya wanaume wenzangu,bila aibu wala haya kila baada ya mechi na wapenzi wao, huanza mambo ya kashfa yanayomhusu mpenzi wake, tena cha ajabu, mnamjua huyo mhusika/mpenzi wake.Kwa mawazo yangu hii ni tabia mbaya...
  8. T

    Moto wizara ya ardhi.....hati zetu je?

    Kuna habari kuwa wafanyakazi karibu wote wa wizara ya ardhi makao makuu sasa hivi wapo nje ya jengo kwa kuhofia moto haijajulikana kama jengo linaungua au la....... ....duuuuuh, masikini hati zetu za nyumba!!!! Zitakuwa salama kweli?????? WAFUATILIAJI EBU TUPENI USAHIHI WA HILI AU KINACHOENDELEA.
  9. T

    Nawaandikia dada zangu wapendwa.

    Si vema kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa.....kuna wale ambao hufanya hivyo na wanalazimika kuvaa condom,kuna tetesi kuwa kuna baadhi ya wanaume wenzangu ambao hutoboa condom pale chini halafu anaivaa,wewe unajua angalau upo salama kwa kiasi fulani kumbe sio.Hawa watu aidha wameathirika...
  10. T

    Makubwa yaliyompata jamaa yangu

    Jamaa yangu ndio kwanza ameoa, yeye na mkewe wote wanafanya kazi benki, sio ofisi moja. Katika pitapita zake kwenye internet, kakutana na blog ya facebook, kasachiiiiiiiii, hadi kikaeleweka kampata binti mmoja aliyemvutia kimeseji na kusikia ni wale watokao moja ya makabila ya Arusha, akazidi...
  11. T

    Kombe la dunia: Kocha anapo nuna na kukataa kupongezwa baada ya timu yake kushinda

    1.SIKUAMINI BAADA YA KUONA KOCHA HATAKI KUPONGEZWA NA WACHEZAJI WALIOMVAMIA KUMPONGEZA BAADA YA MECHI KATI YA GHANA NA SERBIA. 2.JE NI KWELI YULE NI KOCHA WA GHANA? AU MACHO YANGU? 3.NASIKIA JAMAA HUYO NI MSERBIA.....SASA EEEH,UNAIFUNGA TIMU YA HOME? .......KAMA NI HIVYO itabidi aombe uraia...
  12. T

    Baba na mama nani mwenye uchungu zaidi wa mtotoi? Soma kisa hiki...

    Majuzi majira ya saa 1 jioni hivi katika moja ya vitongoji vya jiji la Dar,jamaa mmoja alipata mkong'oto wa nguvu.Mambo yalikuwa hivi: Jamaa huyo alikuwa amezaa na binti mmoja,kutokana na ukali wa maisha binti aliekuwa na mtoto mdogo akaamua kuanza biashara ya kuuza maandazi,mwanae akamkabidhi...
  13. T

    Unasemaje kuhusu hili?

    Kila mtu ana jina lake ambalo aidha la kimila,au la kikristo au labda la kiislamu,lakini cha msingi ni kuwa kila mtu ana jina lake.Kuna usemi kuwa majina mara nyingi huathiri tabia ya mwenye jina na kufanana na jina hilo utakuta wenye majina fulani hupenda sana pombe,na wa majina mengine karibu...
  14. T

    Ofisi moja,section moja na mkeo/mmeo.kazi itafanyika?

    Kuna wanaodai kuwa,ni bora sana MME NA MKE wakawa sehemu moja kazini wanasema faida ni nyingi tu. Na wengine wanadai hiyo haifai kabisa bora kuacha kazi kuliko kufanya kazi sehemu moja na mkeo/mmeo.TIJA ITAONGEZEKA AU ITASHUKA?(PRODUCTIVITY)mnasemaje jf?.Kuna jamaa hapa yeye na mkewe wote...
  15. T

    Je unalijua gonjwa hili lililozuka dar?

    Nimerushiwa e mail hii sasa hivi, mnasemaje?
  16. T

    Lipi ni sahihi kulifuata?

    1.MSIMAMIZI WA NDOA LAZIMA AWE KIJANA ASIEOA/KUOLEWA ILI HARUSI IPENDEZE 2.WASIMAMIZI LAZIMA WAWE WABAYA SANA WASURA KULIKO MAARUSI ILI MAARUSI WAPENDEZE 3.LAZIMA WADHAMINI WAWE KWENYE NDOA ILI KUWATUNZA NA KUWALEA MAARUSI. 4.IKIWEZEKANA CHUKUA VIKONGWE WASIMAMIE NDOA YAKO,HII ITAZUIA KUIBIWA...
  17. T

    Habari hii imekaaje?

    Nimeletewa ujumbe ufuatao kwenye e mail yangu, wana jf mna maoni gani? '' be careful from the 20th to 28 of this month,there is possibility of an acid rain.the dark circle appeared around the moon on 17th of last month and this is an indication of acid rain.apparently this happens once in 750...
  18. T

    Kuandamana na mpenzi au mke wako popote,kila inapobidi.

    Kuna watu huandamana na wake zao au wapenzi wao popote waendapo,hao huitwa kumbikumbi,na wapo wanaosema,kuandamana na mpenzi wako kila uendako si tabia nzuri, ina hasara nyingi sana kuliko faida Mwana JF unasemaje?
  19. T

    Harusi ya mwana jf zemu-kule tanga.

    Mwana JF mwenzetu ZEMU atafunga ndoa mwezi wa 7 kule Tanga( rejea thread yake mwenyewe:kitu kizuri kula na wenzio):Je kama ni kamati ya maandalizi unaona hapa JFnani anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya: 1.CHAKULA 2.VINYWAJI 3.ULINZI 4.USAFIRI 5.BURUDANI. naaaaah naa MC,kukaribisha...
  20. T

    Think outside the box

    VIONGOZI WETU WA UPANDE WA UPINZANI, IWAPO WAKIBAHATIKA KUINGIA IKULU WANAWEZA WAKAFANYA JAMBO TOFAUTI KABISA NA WENGI WALIVYOFIKIRIA,JAMBO HILO LAWEZA KUWA ZURI AU BAYA KWA MTAZAMO WAKO.HIYO NDIO NAITA OUTSIDE THE BOX. MWANA JF NITAJIE JAMBO MOJA ZURI NA MOJA BAYA UNALOLIONA LAWEZA TOKEA MMOJA...
Back
Top Bottom