Search results

  1. T

    Mwanaume: Ukizini utakufa ghafla.....Sijasema mimi Mtambuzi bali ni Utafiti....!

    LABDA HUKO KWAO JAPAN........HAPA KWETU. BP ina maliza wengi.
  2. T

    Type ya Husband.................

    . Ushindwe.
  3. T

    Jamani tuwe tunakumbukana hata kwa njia ya barua?

    Aaaaah, sijui nliwaza nini,mnzima lakini??
  4. T

    matumizi yake makubwa

    1.Mpe tu na wala chenji usiulizie, ndio uanaume huo. usipo mpa anaweza akaamua kuzitafuta hata sehemu isiyofaa 2. Halafu....anyway najua umeteleza, '' sisi wanaume huwa hatulalamikii hizi ghalama za mapenzi '' love costs'' sana sana huwa tunajipeleka wenyewe na tunatoa wakati mwingine bila hata...
  5. T

    Mtoto anaingilia mapenzi ya mama yake na uncle.

    mtoto wa jinsia gani? kwa vyovyote vile kulala na mtoto wa umri huo chumba kimoja si vizuri.
  6. T

    Kesho mjini kutakuwa kimya!!!!!!

    Daaaaaah taratibu eliza,ligi haijaisha.
  7. T

    Mshindi wa miss chitchat huyu hapa

    wewe mwenyewe ulikuwa mshindi na ulikataa zawadi.
  8. T

    Hasara na faida za kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto

    1.tatizo liko wapi? Si walishaachana we wivu wa nini? 2. Ukimchunguzasana kuku utashindwa kumla.
  9. T

    ..Mke wa mtu ameniota..

    yeye amekuzidi miaka 13. kwa kawaida labda mumewe kamzidi yeye miaka 10 hivi jumla miaka 23. Huyo jamaa ndie best wako anaekuzidi miaka takriban 23 !!!!!! SIJAKUSOMA MKUU.
  10. T

    JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

    Mkuu kama ulitoa kibali pesa ziende pande ile achana nae, Si unajua tena? tukishatoa sadaka tumetoa mchungaji/shehe azimissuse au azitumie kihalali sisi hatumo, TUNASONGA MBELE.
  11. T

    JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

    labda afanyiwe operation moja itoke kabla ya uchaguzi.
  12. T

    Kusonya

    nadhani umemkatiza.Alikuwa hajafika.
  13. T

    "Mimi Naogopa Sana Mume wa Mtu"...

    Duuuuuuuh, hiii kali.
  14. T

    "K" kubwa na "k" ndogo

    bagah una matatizo si bure.
  15. T

    Akiri mahakamani kumwua mumewe kwa sumu ili aolewe na boyfriend mpya

    Ukiona dalili mtu hakutaki/kakuchoka mpe njia aendelee na mishemishe zake,wala hatakuwa na shida ya kukuua.
  16. T

    Nini kifanyike mapenzi yaimarike

    usifanye mambo mwenzio asiyoyapenda
  17. T

    Alitaka kujiua baada ya kutoswa..

    Unapoamua kumuacha mtu tumia njia ambayo haitamuumiza sana mwenzako.
  18. T

    Taarifa juu ya kuibiwa mke

    Mke hafuatiliwi wala kuchunguzwa kama mbuzi au mhalifu ni makosa makubwa mkeo ni wewe mwenyewe kwa hiyo unajichunguza SIYO??. Kila siku unaweza kupata story mpya ya uongo na ya kweli, yaani uache kazi zako za kutafuta noti uanze kuwinda mtu alieamua kugawa...NO. Hadi umeamua kumuoa umeacha...
Back
Top Bottom