Search results

  1. Ighombe

    Wanaume tuwe makini na sehemu tunazotaka kuoa

    Nilijenga nyumba pamoko na mwanamke WA kiiraq (mbulu) akaja nianzishia kuwa nyumba Ile ni yake Kwa kuwa alitumia fedha nyingi kwenye ujenzi zaidi YANGU. Mwisho pale tulipokuwa tunaweka hati aliiba nilipoulizia alidai ameshaichukua... Niliogopa sana na kupoteza Imani Naye. Ilibidi nijenge kiwanja...
  2. Ighombe

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Sorry HAYO mafuta ya samaki "in case" mtoto akipewa yanamjenga HADI akiwa na umri Gani?. Je miaka minne yanaweza Bado kufanya kitu au limitation ni miaka 2 kama ilivyo kawaida?
  3. Ighombe

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Dini ni utumwa WA mawazo... Why kuamini vitu ambavyo havitakaa viwe na ushahidi?..... Ukimuuliza mchungaji akupe takwimu ya me na ke walio enda mbinguni let's say mwaka 2022 aliowazika Hana data. Kila mwaka anafundisha bible Kwa kurudia maneno Yale Yale na hata haifanyiwi amendment kulingana na...
  4. Ighombe

    Nini kilikufanya ukaacha kwenda kuabudu kwenye nyumba ya ibada?

    Mimi niliacha BAADA ya kusoma vitabu /nakala mitandaoni zilizoachwa kuingizwa kwenye bible mf habari za Lylith mke WA kwanza WA Adamu aliyeumbwa na mungu Kwa kufinyangwa kama Adamu Kisha akamsaliti Adamu n. k .... Nikahisi tunapigwa
  5. Ighombe

    Kumpa hela / matunzo mwanamke ambaye hujamuoa ni sawa au sio sawa?

    Ni kweli wanawake hawajui kushukuru. Mimi sijawahi kupewa shukrani kabisa na mwanamke.
  6. Ighombe

    Ndoa ni ulimwengu mwingine

    Andiko/maoni Bora kuhusu mahusiano baina ya mke na Mme 2023 (Jamii forum SIHAMI)
  7. Ighombe

    Ndoa ni ulimwengu mwingine

    KWANI Mama yako hawezi KUWA na hiyo Hali Kwa baba yako?. Unajuaje undani wao. Inawezekana baba na mama wana ugomvi kumbe baba alimfumania mama Mahali. (Watakueleza Hilo?).LAKINI mkiwa na mama Kila siku anamponda baba, na nyie WATOTO mnakariri baba mbaya! Au mda mwingine mama anamdhulumu baba...
  8. Ighombe

    Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

    Historia (vitabu VYA mapokeo) hailezi hivyo! Uwongo ukihubiriwa muda mrefu unakuwa ukweli FUTA hiyo dhana (Concept) Au uje na chanzo (Source) Cha hadithi yako hiyo! Mpare Og!
  9. Ighombe

    Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

    Hizo zote ni hadithi TU.... Binadamu Hana uhakika na maisha baada ya kifo!!.... Mwisho WA MAARIFA ya kisayani ni mwanzo WA Imani mbali mbali mf. Upagani, ukristo, uislamu n. k
  10. Ighombe

    Hodii, hodiii humu ndani

    Ha ha ha humu jf Kila mtu msomi,!
  11. Ighombe

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Mambo ya Imani HAYO... Inaweza ikawa kweli au SI kweli. Binadamu mambo Yao yote yasiyo na majibu wanayapeleka kwenye Imani. Iweje Ng'ombe ambaye ana damu (yenye cell kama yako) akifa asiende Mahalia ila wewe uende?!!!!!
  12. Ighombe

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    KIRANGA Apewe maua yake amechangia Sana kuelimisha mambo mengi ya Science (umemsahau?)
  13. Ighombe

    Kupenda kwangu kukaa mwenyewe kunafanya asilimia kubwa ya watu wanaonizunguka waone siwapendi

    Mimi pia Sina tabia ya kujichanganya na ikitokea nakaa muda mfupi Sana na kuondoka. Huwa naamini kuwa binadamu akifanya urafiki na wewe KUNA kitu anakitafuta kwako. Akipata anachokitafuta hukimbia! Hujawahi kuona mtu mwenye fedha anakuwa na MARAFIKI wengi na Kisha akifilisika anabaki peke yake?
  14. Ighombe

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Kiwanda Cha kuziunga kilikuwa bongo kimekufa.
  15. Ighombe

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Soda ZA POTELO, Raba za DH, Mafuta ya SHANT, BAISKEL YA SWALA.
  16. Ighombe

    Tujiandae kwa hali ya ubaridi kuanzia leo hii Julai 8, 2023

    UMBALI KUTOKA DUNIANI HADI KWENYE JUA NI 8 LIGHT MINUTE NA SIO 5 LIGHT MINUTE.
  17. Ighombe

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Mwalimu WA degree hajaandaliwa kufundisha watoto WA primary hata hayo ni maigizo.Mtamtafuta mchawi WA Elimu hamtampata!
  18. Ighombe

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    We jamaa akili zako haziko sawa.Regulator WA uwezo WA Walimu ni NECTA NA NACTE .Vyombo viwili hivyo havikuweza? Au mwajiri haviamini?Huko KUNA rushwa? Acha kuchanganya Siasa na mambo yanayohitaji utaalam.Interview zinazofanyika Kwa Walimu WA private schools ni mbinu ya mchujo kukwepa...
Back
Top Bottom