Search results

  1. Idimi

    Uraia pacha/dual nationality, tunakwama wapi kama taifa?

    Kwa miaka kadhaa sasa, kumekuwa na mijadala kadhaa Tanzania kuhusu uwezekano wa Watanzania kuwa na uraia pacha. Serikali imekuwa na woga wa kutoa uraia pacha kwa hoja kwamba itaongeza hofu ya usalama (security issues), kwamba mtu anafaya kosa Tanzania kwa uraia wa Tanzania then anakimbilia nje...
  2. Idimi

    Natafuta boti ndogo

    Habari ya asubuhi wadau. Wapi naweza kupata boti ndogo kwa ajili ya uvuvi mdogo kwa maeneo ya Dar ama Pwani? Unapojibu tafadhali ambatanisha picha na bei elekezi. Naambatanisha picha za aina ya boti ninayotaka.
  3. Idimi

    Kilio cha wanamuziki: Vanessa is a wake up call. Chanzo na suluhisho

    Nimeandika thread ndefu kiasi chake, unahitaji muda kuisoma. Samahani kwa hilo ndugu msomaji... Tuanze hapa hapa:- Utangulizi Wanajamvi, hapa majuzi mwanamuziki Vanessa Mdee aliamua kufunguka na kuongea ukweli wake kwamba muziki unampa msongo wa mawazo “stress” kwa sababu analazimika ku fake...
  4. Idimi

    Tanzania tumejiandaaje dhidi ya uvamizi wa nzige?

    Ndugu wanabodi, nchi za Ethiopia, Eritrea, Kenya na sasa Uganda zimevamiwa na baa la nzige (locust) ambao ni wadudu waharibifu sana wa mazao. Kiufupi, nzige wana uwezo wa kula hekta 100 za mazao kwa muda wa saa zisizozidi 3. Uharibifu waliofanya kwenge mazao Kenya na Uganda hausemeki, ni njaa tu...
  5. Idimi

    Mnaoshangaa majina ya Wakinga, mnayajua ya Wasambaa wa Tanga?

    Kuna thread humu jukwani nimeona inaongelea majina ya ajabu ajabu ya Wakinga wa Makete mkoani Njombe, akina Bonet Sanga, Diff Nyaluke nk. Lakini naona majina ya Wasambaa wa Lushoto na Korogwe ni kiboko zaidi, achimia yale ya akina "SHE". Wao wana majina ya bidhaa/vifaa mbalimbali. Kama haya...
  6. Idimi

    Wapenzi wa nyimbo za Oldskool (mtaa wa mangoma) tukutane hapa

    Nimefungua thread hii maalum kwa ajili wapenzi wa nyimbo za oldskool, miaka ya '90s kurudi nyuma. Unaruhusuwa kuomba wimbo wowote wa oldskool wa nje (sio bongo fleva), na tutaweka hapa. Hii ni kukumbushana enzi za mtaa wa mangoma (enzi za DJ JD, Fast Eddy, nk) na wengineo. Mwenye wimbo atatupia...
  7. Idimi

    Niuzie Noah LiteAce au TownAce

    Natafuta Noah Old Model aidha LiteAce au TownAce (G exurb au super extra Limo), ya kuanzia mwaka 1999 na kuendelea, iwe na namba C** au D** na iwe kwenye hali nzuri. Bajeti yangu ni 8m. Sihitaji madalali Mawasiliano 0763 966 782
  8. Idimi

    Car4Sale Toyota Prado TX for sale

    Nauza Toyota Prado Model: E-RZJ95W Ukubwa wa jiko (injini) cc 2690 Rangi nyeusi Inatumia petroli Imetembea km 200,000 Imetumika muda mfupi sana hapa Tanzania Gari ipo Dar Es Salaam Bei: 22m. Maongezi yapo Mawasiliano: 0763 966782 Karibuni sana
  9. Idimi

    Jenereta kubwa inauzwa

    Mtengenezaji: Kirloskar Green Nishati: Inatumia dizeli Ukubwa: 20 KVA (16 kW) Voltage: 230/415 three phase Frequency: 50 Hz Mwaka iliotengenezwa: 2011 Mwaka ilioanza kutumika: 2013 Bei: Dola 8000 za Marekani (maelewano yapo) NB: Jenereta iko katika hali nzuri sana. Kwa ukaguzi na mawasiliano...
  10. Idimi

    Car4Sale Nauza Honda FIT

    Nauza gari aina ya Honda FIT Mwaka ilipoundwa: 2007 Ukubwa wa injini: CC 1330 Rangi: Dark Blue Imetembea: km 123,000 Imelipiwa kila kitu na haijawahi kupata ajali Bei ni 7.8 milioni, maongezi yapo. Haina shida yoyote ya kiufundi, unaweza kuja na fundi wako. Gari iko Masaki Dar, kwa anayehitaji...
  11. Idimi

    Wakenya, hata hii mmeamua kuiba?

    Naona majirani zetu hawajaridhika na mlima Kilimanjaro, Oldvai Gorge na Ngorongoro, wameamua kuiba na daraja la Kigamboni kabisa. Maajabu hayatakwisha duniani
  12. Idimi

    Natafuta Toyota IST/Suzuki Swift/Toyota Vitz

    Kichwa cha somo kinahusika hapo juu. Nipo Dar. Bajeti yangu ni shilingi 4.5 milioni.
  13. Idimi

    Samsung Galaxy imepasuka kioo, mahali gani wanabadilisha vioo kwa Dar?

    Wanajamvi, nina Samsung Galaxy S Duos, niliidondosha ikapasuka kioo, kwa hio touch screen haifanyi kazi tena. Wapi naweza kubadili kioo cha simu hii kwa Dar?
  14. Idimi

    MSAADA: PC haisomi CD Drive

    Wataalamu wenzangu, msaada wa mawazo ya kiufundi. Nina PC Dell Optiplex GX 270, haioneshi CD drive ambayo imekuwa installed. CD rom inapata power kama kawaida, kwa maana ya kwamba inaingiza na kutoa loader,ila haionekani katika 'My Computer'. Nimejaribu kubadilisha CD drive nyingine, nayo...
  15. Idimi

    Binti anatafuta Mchumba

    Poleni kwa majukumu wana JF. Tarishi hauawi, naleta ujumbe kama nilivyoupata toka kwa mlengwa. Anayetafuta mchumba ni mwanamke mwenye sifa hizi: - Ni mrefu wa wastani, maji ya kunde - Ana umri wa miaka 26 - Elimu, ana diploma ya mambo misitu na ana mpango wa kujiendeleza kielimu - Ni mkristu...
  16. Idimi

    Augustino Mrema: Behind the Scene

    Mnyonge Mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Katika kikao cha saba cha bunge lilohitimishwa jana, kamati yake ya Hesabu za serikali a mitaa ilitoa ripoti moja nzuri sana juu ya ubadhirifu mkubwa ulioonekana katika serikali za mitaa. Kamati yake, tofauti na kamati nyingine za bunge, ilithubutu...
  17. Idimi

    Wapi kuna fundi mwaminifu wa digital Camera kwa Dar?

    Ndugu wanabodi, kamera yangu digital aina ya Sony imedondoka, lens ikiwa imefunguka katika standby mode. Inagoma kurudisha lens ndani kwa kuwa imepinda. Kwa anayejua fundi mzuri na mwaminifu wa kamera kwa Dar naomba anijulishe. Please help!
  18. Idimi

    ANC vs Julius Malema - Tunajifunza nini?

    Huyu 'Kafulila' wa Afrika Kusini naona kasumbua sana vichwa vya akina Zuma na Montlante, kwa kutaka 'vya wakubwa'. Nimefuatilia sana mikasa ya Malema na siasa za kupanda na kushuka kwake, naona kama vile ataimarika iwapo atajiunga na chama kingine, kwa sababu bado ana wafuasi wengi sana nchini...
  19. Idimi

    Mwanafunzi Shule ya wasichana Korogwe agonga wenzake kwa gari wakijiandaa kwa mahafali

    Ndugu wanajamvi, Poleni kwa majukumu. Leo kulipangwa kufanyika mahafali ya wanafunzi wa kidato cha sita wanaohitimu masomo mwaka huu. Habari nilizopata muda huu kutoka kwa wilayani Korogwe ni kwamba, wanafunzi wakiwa wanaendelea na maandalizi ya kuingia ukumbini kuanza sherehe, ikatokea mwenzao...
  20. Idimi

    Ipe Maneno picha hii, mheshimiwa Mbunge

    Kiongozi wa Kambi ua Upinzani bungeni mheshimiwa Freeman Mbowe akifafanua jambo wakati wa kikao cha kujadili ratiba ya maziko ya Mhe. Regia E. Mtema. Kutoka kushoto ni Mhe. Maua Daftari, Mhe. Zaituni Buyogela Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. William (Bill) Lukuvi). Chanzo: Michuzi Blog
Back
Top Bottom