Search results

  1. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Wakuu habari! Nimatumaini yangu kuwa tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila Siku. Nimeamua kuanzisha Uzi huu kwa lengo la kukuza ya kero,maoni,ushauri na chochote toka kwenu ili tuweze kuyasimamia ndani na nje ya Bunge.Kwa kutambua kuwa wanaJF wamesambaa kila...
  2. Regia Mtema

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJF

    Wakuu habari! Ni matumani yangu kuwa tumejiandaa kumaliza mwaka vizuri na kuplan vizuri for next year. Tukiwa tunafunga mwaka nimeona niandike kwa kifupi yale niliyoyafanya kwa kipindi Cha mwaka mmoja tangu kuapishwa kuwa Mbunge wa Vitimaalum Nov 12,2010. Taarifa hii inaonyesha utekelezaji wa...
  3. Regia Mtema

    Hatimaye BAVICHA yapata Katibu Mkuu, ni Deo Munishi

    Wakuu habari! Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA) hatimaye limepata Sekretariet iliyokamilika na hivyo kuwa na Uongozi uliokamilika.Kikao Cha Kamati Tendaji Cha BAVICHA kilifanyika Siku ya Jumamosi tarehe 12 Nov Mjini Dodoma.Wajumbe wa Kikao hicho ambao ni Wenyeviti wa BAVICHA wa...
  4. Regia Mtema

    Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

    Wakuu Salam. Nimeona ni vema nikawatumia picha kidogo ili mfurahishe macho kuhusiana na mkutano wa baadhi ya Wabunge wa CHADEMA uliofanyika katika Viwanja vya Barafu hapa Dodoma..Maelezo ya kilichojadiliwa naona kuna mwenzangu serayamajimbo ameshaeleza. Wish You all the best.
  5. Regia Mtema

    Kwa hili, Rostam Aziz hutasameheka

    Nimeamua kuandika habari hii baada ya kujishauri tangu nikiwa Igunga! Rostam Aziz amekuwa Mbunge wa Igunga tangu mwaka 1994 ambapo mpaka sasa ni takribani miaka 17 chini ya uongozi wake. Nilikuwa sijawahi kufika Igunga kabla hivyo sikuifahamu ilivyo.Siku Rostam anajiuzulu alieleza mafanikio...
  6. Regia Mtema

    Wabunge wa CHADEMA waitikisa Singida Mjini

    Wakuu salaam. Baada ya kumaliza Kikao Cha Kamati Kuu Mjini Igunga Kazi za ujenzi wa chama zinaendelea. Wakati Dr Slaa akishambulia Katesh Kamanda Lema,Chiku Abwao na Mimi mwenyewe tutakuwa na mkutano wa hadhara katika viwanja vya stendi ya zamani kuanzia saa 8 mchana. Kabla ya mkutano huu...
  7. Regia Mtema

    Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana Igunga

    Kamati Kuu ya CHADEMA inatajiwa kufanya kikao chake kesho katika jimbo la Igunga.Kikao hicho ni maalum kwaajili ya kupitisha jina la mgombea Ubunge katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kuanza tarehe 7 Sept 2011. Vile vile kikao hicho kinatrajiwa kupitisha mkakati na bajeti ya uchaguzi huo katika...
  8. Regia Mtema

    Halima Mdee ndani ya Kombati akisoma hotuba yake

    Wakuu salaam.Nimefurahishwa sana na vazi la Mdee alilovaa leo wakati hue akiwasilisha Hotuba yake ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Katika hotuba yake amewalipua Mkapa, Mangula, Sumaye, Nwgwilizi, Mzee Mwinyi na Mzee Malecera kwa umiliki wa ekari nyingi za ardhi katika eneo la Mtibwa...
  9. Regia Mtema

    Kwahakika Nimelimiss Jukwaa Hili -I Miss You Wapwaz na Binamuz

    Wapwaz and Binamuz.Salaam sana. Kwa takribani miezi sita sasa sijahudhuria jukwaa letu pendwa MMU as I used to be.Nimewamiss marafiki wazuri niliowapata kupitia Jukwaa hili.Jukwaa la Upendo,Ushirikiano na mshikamano.Jukwaa lisilo na stress wala mapovu. Kwa hakika nimewamiss sana Wapwaz na...
  10. Regia Mtema

    Hotuba ya msemaji wa Upinzani Nishati na Madini-John Mnyika

    Wakuu! Salaam. Nimeona niwawekee hotuba ya John Mnyika atakayoisoma dakika chache kuanzia sasa ili muipitie na kuijadili. Niwatakie majadaliano mema, narudi kuendelea na kikao cha Bunge.. HOTUBA YA MSEMAJI WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI WIZARA YA NISHATI NA MADINI MHE. JOHN JOHN MNYIKA...
  11. Regia Mtema

    Tamko la Lissu kuhusiana na sakata la kesi ya Arusha; Mbowe naye alonga

    Wakuu habari!! Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Tundu Lissu na Kiongozi wa Upinzani Bungeni Freeman Mbowe leo wamezungumza na vyombo vya habari kwenye Ofisi za Kambi ya Upinzani DSM kuhusiana na amri ya mahakama kutaka kumkamata Kamanda Mbowe. Jisomeeni wenyewe!! JAMHURI YA...
  12. Regia Mtema

    Kamati Kuu ya CHADEMA Kukutana Kesho Kupitisha Wagombea BAVICHA

    Wakuu Salaam. Kamati Kuu ya dharura ya CHADEMA kukaa kesho kwa mujibu wa Katiba kwaajili ya kupitisha Wagombea nafasi mbalimbali katika Baraza la Vijana CHADEMA(BAVICHA). Siku ya kesho ndio mtapata nafasi ya kujua idadi kamili ya Wagombea pamoja na majina yao.Uchaguzi unatarajiwa kufanyika...
  13. Regia Mtema

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Habari zilizonifikia hivi punde ni kuwa huko Tarime hali ni mbaya sana baada ya Polisi kupiga Mabomu na kuwakamata Lissu ,Waitara na Makamanda wengine wa CHADEMA.Polisi wamepiga mabomu hayo ili wapate nafsai ya kuvamia Mochwari walikohifadhiwa marehemu.Hali si shwari kabisa. Naomba tuwaombee...
  14. Regia Mtema

    Dr Slaa mgeni rasmi Kongamano la Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro

    Wakuu, Habari za Ijumaa. Ni mataumaini yangu kuwa mnaendelea salama na shughuli zenu za kila siku. Napenda kutumia jukwaa hili kuwataarifu kuwa kesho tarehe 21 Mei 2011 kutakuwa na Kongamano la CHADEMA Chuo Kikuu cha Mzumbe. Katika Kongamano hilo Dr Slaa ndiye mgeni rasmi ambapo atazungmza na...
  15. Regia Mtema

    Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

    Wakuu, Hivi sasa ndio tunajipanga ili kuanza Maandamano yetu. Mji umejaa hamasa kubwa kila ukipita bendera za CHADEMA na ishara ya vidole viwili ndio vimetawala. Watu wamependeza sana na Kombati na Sare nyingine za Chama. Tunatarajia kuanza Maandamano mida ya saa sita. Magari yote ya msafara...
  16. Regia Mtema

    CHADEMA Kuitikisa Nyanda za Juu Kusini; Safari Kuanza kesho

    Wana JF. Heshima kwa wote. Ile Ziara ya Maandamano ya Nyanda za Juu Kusini imewadia.Maandalizi yanaendelea vizuri na kesho ndio msafara unaoondoka kwa Convoy kuelekea Mkoani Mbeya. Maandamano yenyewe yatazinduliwa Mbeya Mjini Siku ya Ijumaa tarehe 6 Mei, tunatarajia kufanya Ziara kwenye Mikoa...
  17. Regia Mtema

    Kongamano la CHADEMA Vyuo Vikuu Dodoma

    Wakuu.Habari za Jumapili. Leo tena tunaendelea na harakati zetu za kujipenyeza na kuwekeza kwa Vijana wa Vyuo Vikuu.Vijana wa CHADEMA Dodoma wameandaa Kongamano kubwa la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma mabalo linaendelea hivi sasa katika Ukumbi wa African Dream Area D. Mada Kuu katika...
  18. Regia Mtema

    Yatokanayo na Kamati Kuu ya CHADEMA-Tamko Rasmi la Chama

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) Taarifa kwa Umma kuhusu maamuzi ya Mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA Kilichofanyika Markham Hotel, Dar-Es-Salaam 19 Machi, 2011: A: Utangulizi Kamati Kuu ilifanya Kikao Maalumu siku ya Jumamosi, tarehe 19 Machi 2011 kwa mujibu wa...
  19. Regia Mtema

    Jiji la Kampala Laongozwa na Meya wa Upinzani

    Hatimaye ule mtanange wa kupata Meya katika Jiji la Kampala umemalizika na mgombea kutoka FDC kuibuka kidedea dhidi ya mpinzani wake mkubwa wa NRM. Kiongozi huyu ameshinda kwa Kura 138 dhidi ya mpinzani wake Kura 95.Kushinda kwa chama Kikuu cha Upinzani nchini Uganda katika jiji muhimu la...
  20. Regia Mtema

    [PICHA] Maandamano ya CHADEMA Chato na Katoro

    Wakuu, Salaam! Jana nilikuwa kwenye maandamano katika Wilaya ya Chato nyumbani kwa Maghufuli ambako kulikuwa na umati mkubwa wa watu. Maandamano yalikuwa ni ya Kilometa nane yaliyoshirikisha magari,pikipiki na waendao kwa miguu. Baada ya maandamano kama kawaida ulifanyika mkutano mkubwa wa...
Back
Top Bottom