Search results

  1. Amoeba

    RELIABLE clearing agent tuwasiliane.

    Wakuu, nahitaji kampuni ya clearing agent, waaminifu, wazoefu, sitaki bei za kubambikiwa. Pia awe na uwezo wa bargain na TRA (mtu anayehitaji huduma ana machungu na hela) Weka mawasiliano na anwani zote hapa.
  2. Amoeba

    Kuhusu msamaha wa kodi kwa magari yaliyotumika

    Salaam Wakuu Naomba kufahamu mambo kadhaa kuhusu msamaha wa kodi kwa watumishi wa serikali 1. Ni magari yapi yanayoruhusiwa kuombewa msamaha wa kodi?(say mtu anataka kuagiza Cayenne au Range Rover, au hata VW Toureg, BMW X3, X5 haina shida gari yoyote inaweza kupewa msamaha, au ni gari zenye...
  3. Amoeba

    ESCUDO Vs GRAND ESCUDO-USHURU!

    Salaam wakuu Hizi gari zinanichanganya Hii ni ESCUDO au GRANDA ESCUDO? Maana wauzaji wengine wanaiita GRAND wengine wanaiita ESCUDO tu. Sasa katika calculator ya TRA gari hizi mbili zinatofautiana sana ushuru, GRAND ina ushuru mkubwa mno, na hii ushuru wake ni mdogo na ndy gari nzuri. Wenye...
  4. Amoeba

    KU-Unlock simu ya HUAWEI U8650

    Salaam wakuu, Naomba msaada wa sim unlock code ya hii kitu. IMEI: 862076012032055 Au mwenye kufahamu software tofauti na DC inayoweza kufungua hii simu. Heshima mbele wakuu.
  5. Amoeba

    Nahitaji Leather Cover na keyboard za iPad3

    Wakuu, nahitaji bidhaa hizo hapo juu, ziwe leather, nahitaji nyeupe na nyeusi. PM bei na mahali duka lako lilipo. Thanx
  6. Amoeba

    MSAADA: kodi za magari haya

    Wakuu naomba kufahamu kodi za magari haya, mpk kuliweka barabarani: 2005 Toyota Mark X, 2400cc, 2004 Toyota Verossa, 2000cc, 2004 Toyota Camry, 2005 Audi A4, 2000cc. Nimeshindwa kutumia kikokitoo cha TRA Sababu niko mobile.
  7. Amoeba

    Nahitaji iPad 2 3G tatu

    Nahitaji bidhaa hizo, mpya ndani ya box. Ntumie bei na specifications pm au weka hapa, asap.
  8. Amoeba

    PATA: Amazon Kindle kwa bei ndogo!

    Salaam wakuu, Nauza Amazon Kindle (Kindle 3, Kindle Keyboard) kwa laki 3 tu!!..iko na LED smart cover nyeusi (kama inavyoonekana kwenye picha)....free 3g connection popote! Ina vitabu 1460 (elfu moja mia nne na sitini!!!!). Novel nyingi za waandishi maarufu kama Dan Brown, Robert B, James...
  9. Amoeba

    Sign Petition Tumtoe Jela Peter Sunde wa THEPIRATEBAY!

    Binafsi napata vitu viingi sana kutoka thepiratebay.se, Mmoja wa vinara wa TPB Peter Sunde yuko kizuizini kwa kitambo sasa,wadau wameanzisha petition wanahitaji sign 100,000 (laki moja) katika juhudi za kumtoa jamaa ambaye alipigwa mvua moja (?) na faini ya mamilioni ya euro. Kwa yeyote...
  10. Amoeba

    Nahtaji charger ya iPhone

    Salaam Wakuu, mtoto amekata an kuharibu charger yangu, Nahtaji original Kama unauza nipm tafadhali
  11. Amoeba

    DStv kwenye ipad

    Heshima wakubwa, Naomba kufahamishWaa ni Jinsi gani naweza kupata huduma za dstv mobile wanazotoa vodacom,kwenye iPad. Nimejaribu inaniambia device not supported! Heshima mbele.
  12. Amoeba

    SAID SALIM: One brave guy!

    dar - zenji
  13. Amoeba

    Nahitaji DESKTOPS MPYA, ASAP.

    Wakuu nahitaji desktops mbili mpya, Duo Core, 320Gb hdd, 2Gb RAM, Preferably DELL. Nipe bei na duka lako lilipo.
  14. Amoeba

    Natafuta Shule ya Awali na Msingi: ADA ISIZIDI 4.5M

    Heshima mbele wakuu, mwakani nataka kumpeleka shule Jr. Kwa sasa natafuta shule ya awali na msingi, Morogoro, Arusha, Iringa,Mbeya, Mwanza, au Dar (spendelei sana dar)! Kama ni nje ya Tanzania iwe Kenya, South Africa au Botswana. Ubora wa elimu ni jambo la mbele kabisa. Nakaribisha maoni wakuu...
  15. Amoeba

    Samsung Galaxy Nexus: INANITOA JASHO!

    Wakuu, hii simu imenishinda kabisa kuunganisha na internet; natumia line ya voda, nimeingiza settings kama ifuatavyo lakini chali; Profile(account) name: voda tz Proxy sever number:010.154.000.008 Proxy port number:9401 Acces poin name(APN): wap Username: Password: MSAADA TAFADHALI!
  16. Amoeba

    Nahitaji DISPLAY ya THINKPAD T43, na MOTHERBOARD ya T42

    Salaam wakuu, nahitaji vifaa hivyo hapo juu kwa ajili ya IBM THINKPAD T43 na T42, kama unavyo naomba tuwasiliane mapema iwezekanavyo!
  17. Amoeba

    Nahitaji MOTHERBOARD ya THINKPAD T43 na SCREEN ya T42.

    Wakuu, mwenye kuwa na vitu hivyo hapo juu kwa ajili ya IBM THINKPAD T43 na T42 tafadhali tuwasialiane tufanye biashara. Thanx
  18. Amoeba

    Kuanzisha distillery

    Heshima kwenu wakuu. Nimekuwa nikiwaza na kuwazua kuanzisha biashara mpya ya uzalishaji katika kujiongezea kipato endelevu, kuna mawazo kadhaa yapo mezani; kati ya Mengi linenivutia zaidi wazo la kuanzisha Distillery ya vinywaji vikali kutokana na Ngano, Uwele, Viazi na Malighafi nyingine ambazo...
  19. Amoeba

    Msaada; VODACOM PUK

    Wakuu, wakat nafanya kazi kkwenye simu yangu, kuna mtu ameingiza wrong pin 3 times ikablock, sasa inadai PUK, nawezaje kupata PUK? Kikadi nilishakipoteza! Kuna njia ya kutuma meseji kwenda namba flani lakini mimi nilishasahau, anayefahamu tafadhali tufahamishane!
  20. Amoeba

    Lil Wayne Wearing $1 Million Beats by Dre

    Wakuu, nimekutana na hii kitu kwa wazee wa gizmodo, kilichonivutia siyo headphone ya huyu dogo, bali ni comment za wadau kuhusu muelekeo wa RAP na HIPHOP. Binafsi naamini kabisa kuwa rap ya sasa haina mistari iliyosimama na yenye akili timam kama miaka ya 80 na 90, vijana wa sasa hivi wamekaa...
Back
Top Bottom