Search results

  1. M

    Paul Kagame: Dikteta katili anayefugwa na Wamarekani

    Kagame anapata sifa nyingi sana hasa kwenye vyombo vya habari vya magharibi lakini ukweli ni kwamba sababu kubwa ya kupendwa ni kwamba yeye pamoja na Museveni ndio walinzi wakuu wa western interests katika great lakes region (hasa Marekani). Katika historia ya Afrika Mashariki na kati hakuna...
  2. M

    Strategy ya Corona ya Rais Samia ni ipi?

    Wakati tukiona wimbi la tatu likianza nchi za jirani, Raisi wetu ana mpango gani kuhusu korona? Mbona bado takwimu hazijaanza kutolewa? Je, huko mikoani kuna vipimo? Je, hospitali zote hasa mikoani zimetayarishwa pamoja na vitendea kazi? Je, vyama vya madaktari vinasemaje? Sent from my...
  3. M

    Hali mbaya: Fastjet inaweza kufilisika mwezi huu...

    Fastjet imetoa tamko Leo kwamba Biashara yake ya Tanzania haina faida na kwamba inaweza kufunga virago kama isipopata mtaji mwezi huu. Hii ndio statement walioitoa London stock exchange ............... Additional funding will be required by the end of October to enable fastjet to continue...
  4. M

    Hivi posho za wafanyakazi serikali zilikuwa kiasi gani?

    Inasemekana sababu moja kubwa ya hali ngumu mitaani ni makato waliyofanyiwa wafanyakazi wa serikari kama semina nk. Kwa wanaofahamu mfanyakazi wa kawaida kwa mfano kama mshahara wake wa mwezi ni milioni moja je alikuwa anaweza kuingiza kiasi gani zaidi kwa njia ya posho n.k? Je, kweli hizo...
  5. M

    Saudi Arabia mbioni kufilisika

    Wachumi wanasema baada ya miaka mitano hazina ya Saudi Arabia itakuwa imekauka. Kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta, Saudi imekopa dolla billioni 10 kutoka kwenye masoko ya kimataifa wiki hii.Hii ni mara ya kwanza katika miaka 25 iliyopita. - Kuanzia mwaka jana Saudi imetumia dollar bilioni...
  6. M

    Askari wa Libya wambaka mwanaume wa kiingereza

    Askari wa Libya waliokuwa kwenye mafunzo ya kijeshi Libya, wamelipiza shukrani ya majeshi ya uingereza kumuondoa kadafi kwa kumbaka kinguvu mwanamme nchini uingereza walipokuwa kwenye mafunzo ya kijesishi. Askari hao wamehukumiwa kufungwa miaka 12 jela nchini Uingereza. Serikali ya uingereza...
  7. M

    Mpira wa Afrika na makocha wa kizungu

    Kwa nini timu za africa zinapenda kuajiri makocha wa kizungu? je mpira wa Afrika utaendeleje kama 'waalimu' wanakodishwa maka nenda mwaka rudi?
  8. M

    Kufungwa kwa namba va Vodacom isiyotumika

    Naomba mnisaidie Nina laini ya Voda, je kama siitumii kupiga simu lakini hela inawekwa( kwenye Mpesa) na kuna balance, je ni kweli line itakatwa baada ya miezi sita? Nashukuru.
  9. M

    Kiini cha Falsafa, dini za Uislamu na Ukristu ni Afrika

    Wandugu. Katika topic hii nitathibitisha kuwa, kiini cha hizi dini ambazo waafrika wengi hasa hapa Tanzania na Afrika kwa ujumla tunazozifuata zina kiini Afrika. Kwa maana hii, namaanisha, waisraeli waligeza mawazo ya Mungu ya Afrika na kuyageuza kuwa mawazo yao na mwisho kuyageuza/ distortion...
  10. M

    Nataka kujua Kodi ya malori Tanzania.

    Wandugu nataka kuagizia lori, Mercedes benz Tani 8.5 mwaka ya mwaka 2003. Je Kodi ya hili gari itakuwa kiasi gani hapo bandarini?
  11. M

    Ni lini Dunia itashitukia ugaidi wa wamarekani?

    Habari inayolindima sasa hivi ni hili suala la wapiganaji wa Iraq wajulikanao kama ISIL. Ukiangalia historia ya ISIL utaona kwamba kama wamarekani wasingevamia Iraq 2003, ISIL isingekuwa kama ilivyo sasa hivi. Hebu tuangalie wamerakani wamesababisha vikundi vingapi vya ugaidi duniani. 1)...
  12. M

    Hivi Afrika ni pabaya hivi?

    Hivi majuzi nimesikia waghana waliokwenda kuangalia kombe la dunia Brazil wamegoma kurudi kwao. Kisingizio eti kuna vita vya kidini kwao.Wakati inajulikana Ghana ni mmojawapo kati ya nchi zenye amani Afrika. Kinachonishangaza, Ghana ina ahueni kiuchumi, ikiwa na kipato cha kati kama Brazil...
  13. M

    Bei za viwanja Boko na Bunju

    Natafuta kiwanja boko au bunju kiwe kama square metre 1000 na kisiwe zaidi ya mile moja kutoka bagamoyo road. Naomba kwa anayejua bei ni kama kiasi gani?
  14. M

    Kuchongesha funguo spea wa gari

    Ni kiasi gani wanafanya hapa dar na ni wapi? Ahsante.
  15. M

    Hivi wakenya lugha yao kiswahili au kiingereza?

    Nimemuangalia sasa hivi Kenyatta anahutubia wakenya nimeshangaa anatumia kiingereza. Wakati huohuo Hollande anahutubia UN kwa lugha yake kifaransa. Hivi Waafrika ni ushamba au ujinga? Naomba jibu
  16. M

    Duh libya. kumbe hali mbaya hivi

    Nchi inasambaratiki hivi , Soma hapa. http://www.independent.co.uk/news/world/africa/special-report-we-all-thought-libya-had-moved-on--it-has-but-into-lawlessness-and-ruin-8797041.html
  17. M

    Waandishi wa kiafrika wanaotumia lugha za kigeni waapondwa

    Ngungi wa Thiongo ameponda waandishi wa kiafrika kuendekeza kuandika novel kwenye lugha za kigeni kama zile zinazopewa tunu za ‘caine prize’ na nyinginezo. -------------------------------- It was this sort of exclusion that Ngugi wa Thiong'o challenged at the "Africa Writes festival" in London...
  18. M

    Wazungu wahofia kifo cha Mandela

    Nasikia south africa kuna msemowa weusi unaosema 'wait until Mandela dies'.Je hofu za wazungu ni kweli kwamba Mandela akifa wazungu watanyanganywa mashamba yao kama Zimbabwe?Umasikini wa waafrika wa Afrika ya kusini ni mkubwa zaidi kuliko ule wa waZimbabwe Je kuna ukweli katika msemo huu?
  19. M

    Misri wawatisha Ethiopia

    Eti kwa sababu wanataka ujenga bwawa la kuzalisha umeme. Da hawa jamaa arrogant kweli
  20. M

    Wapo wapi wakongwe wa nyenzi.com

    Nakumbuka enzi zile wakati hakuku wa na members wengi kama sasa, na internet ilikuwa hadimu. Yaani wanachat tulikuwa kama family ndogo hivi, tulikuwa tunajuana personality ya kila mtu wako wapi. Dues, Curtis, uncle Ben,mdosi mzalendo,rubabi, nshomile,poble cl,milosevic,abu muttalib,kishoka, na...
Back
Top Bottom