Search results

  1. W

    Wataalam wa compyuta, msaada jins ya kutoa bios password katika hp probook 4340

    Walijaribu njia ya cmos battery imeshindikana, njia ya kushot ile eeprom nayo imeshindikana sasa kama kuna mtaalam mungine anisaidie
  2. W

    Msaada jinsi ya kure cover bios password niliosahau ktk laptop

    Msaada naomben jins ya kuipata password niliosahau ktk hp laptop, na iliwekwa kwa mtindo wa bios password
  3. W

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kutengeneza sabuni za kuoshea chooni

    Habarini wapendwa, kama nilivoandika kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata ujuzi juu ya utengenezaji sabuni za kuoshea vyooni
  4. W

    Jinsi kutengeneza sabuni za kuoshea chooni

    Natanguliza shukrani , nilikuwa nahitaji msaada kwa mtu anaeweza kutengeneza sabuni za kuoshea chooni, nilipenda zaidi na mm kujua jins ya kufanya ili niweze kutengeneza pia,
  5. W

    Nahitaji baadhi ya spare za Nokia Lumia 920 na 820,

    Habarini wanajamvi, nahitaji baadhi ya spare kama microphone ya Lumia 820 , USB port ya 820, charger connector ya Lumia 920, charger controller IC ya Lumia 820 kama Kuna mtu anafahamu Duka au anauza simu kama spare anitafute 0755680562
  6. W

    Uundaji wa speakers, subwoofer boxes

    Nilianza uundaji Wa box za Spika za sub woofer kwa ajil ya magari, nyumbani na maukumbini, natumia MDF Kama materials ya kuundia box, rangi na Leather kwa decoration.
  7. W

    Natafuta hp Compaq DC5800 motherboard

    Motherboard ya CPU tajwa imeharibika na nahitaji kuibadili Mpya, ambaye anaweza nisaidia kwa alie Kariakoo au anajua duka wanapouza hizi motherboard anielekeze
  8. W

    HP compaq 5850.

    Habarini wakuu. Natafuta body(circuit body ya CPU ya HP compaq 5850, kwa walio dar naombeni mnisaidie location nipate sehemu wanapouza body za compyuta
  9. W

    Natafuta kioo cha sing sung LCD 32inchi

    Jamani , naombeni kujua kwa dar naweza kupata wapi kioo cha flat screen ya sing sung 32 inch kwa pale kariakoo duka gani naweza kupata . Au kama kuna mtu anaweza nipa mawasiliano / namba za simu za hayo maduka kwa dar
  10. W

    Windows phone imeleta whatsap call

    Habari njema kwa watumiaji wa windows phone , leo nimepata update ya whasap call
  11. W

    Naombeni mnisaidie ktk windows phone yangu lumia 920.

    Natanguliza shukrani kwanza , naombeni mnisaidie nifanyaje maana simu yangu sikuitumia takribani miezi 4, kwasabu ya kuwa na ubovu wa betri na sasa betri imepatikana nikaiweka alafu nikacharge lakin muda wa saa 1 nkaitoa nikaanza kuifanyia setting lakn ilipoanza kupungua chaji ikanibd...
  12. W

    Natafuta kioo, LCD ya tecno m3, nipo iringa

    Natafta kioo cha tecno m3. Hata kama ni dsm naomba na mnitajie bei
  13. W

    Equavalent transistor ya 2SB507. Na. 2SD313

    Samahanini wanajamvi natafuta equavalent transistor tajwa hapo juu
  14. W

    Jinsi ya kufunga bass booster kwenye gari

    Samahani wakuu, naulizia kuhusu ufungaji wa spika za bass(sub woofer za magari), hivi inahitaji utaalamu wa hali ya juu sana au kawaida tu na kama inahitaji utaalamu sana mambo gani ya muhimu ya kuzingatia ili uwe na huo utaalamu maana na mimi nataka nianze hiyo kazi.
  15. W

    Msaada: Wapi ntaweza kupata transifoma mpya kwa ajili ya kuundia amplifier ndogo kama sub woofer

    Wanajamvi , naombeni mnielekeze duka gani kwa dar naweza kupata transfoma mpya zenye kiwango kuanzia 12v -0 -12v mpaka 30v -0-30v . Na ampere 3 mpaka 5 mwisho. Na bei zake kama mtu anauzoefu aniambie . asanteni
  16. W

    Natafuta body ya Dell Optiplex 620

    Wakuu nina desktop ya dell optiplex 620 natafuta body yake hii ni kulingana na power supply kupata shock
  17. W

    Natafuta betri ya Nokia lumia 920 kwa Dar nitaipata wapi?

    Msaada jaman maana niliwasiliana na midcom wakasema hawana. Nkaenda sapna wakasema hawana sasa sijui tena nifanyaje
  18. W

    Msaada vodaphone 785 kioo chake kimepasuka.

    Naombeni mnisaidie kama naweza kipata kioo cha vodaphone 785 kwa dar maana iringa hakuna
  19. W

    LCD and touch sensor ya Vodafone 785 ile simu ya promotion kutoka voda

    Natafuta kioo cha hiyo simu tajwa hapo juu
  20. W

    Jinsi ya kijiunga na Ali express

    Wanajamvi naombeni mnisaidie kunielekeza jinsi ya kujiunga na Ali express na gharama zake ili nianze kununua bidhaa online
Back
Top Bottom