Search results

  1. Bigirita

    Nissan Safari for Sale

    Kisu kimetulia, Nisaan Safari, in running condition TD 42 engine, (diesel 4,200cc), 5 gear manual, 4WD (auto), 8 seater 207,000km odometer reading Electric windows and side mirrors, In immaculate condition, interior and exterior condition is exotic... Gari ipo Dar. Bei: 17m Tsh negociable...
  2. Bigirita

    Nissan presage for sale

    Nissan Suv, good condition, 64,000 kms only, 8 seater, auto petrol engine 2.5 cc. 9.5m Tsh cash makubaliano yapo. 0784 821244
  3. Bigirita

    Tanzania's Consumer Price Index Continues to go up

    While "some" Tanzanians are busy campaigning for the incumbent party to remain in power, CPI continue to go up affecting their everyday life. It is amazing how Some of my fellow country men do not learn.....CCM must go National Beureu of Statistics indicates Annual Headline Inflation Rate for...
  4. Bigirita

    Lowassa: Mwanasiasa Mchafu ndani ya CCM, Mbona hafukuzwi?

    Lowassa amekuwa mwanasiasa mkongwe kwa umri wake ndani ya CCM, akizishika nafasi kadhaa ndani ya chama na ndani ya serikali ya CCM. Aliaminiwa wakati wote hadi alipoteuliwa nafasi ya waziri mkuu na kupitishwa na wabunge wengi wa CCM kwa mtindo wa Ndiyoooooooo. Kwabahati mbaya mwanasiasa huyu...
  5. Bigirita

    Sweet name, dirty city: Dar es Salaam where US President lands today

    BY APOLINARI TAIRO, ETN CORRESPONDENT, TANZANIA | JUN 30, 2013TANZANIA (eTN) - Police vans and city authority officials are scattered all over in most key places of Dar es Salaam city, supervising cleanliness on preparations to welcome the American President who jets in this Monday.Ranked...
  6. Bigirita

    Picha mbili zinayofikirisha - Mikutano ya Kinana

    Mimi sina maneno mengi, nataka muangalie picha hizi kisha mtakachokiona mkitafakari. Kinana anawanunua wazee waliokuwa awanachama wa CHADEMA. Weka mbali na Tembo anajua biashara sana huyu! Hapa wazee wanafurahia mauzo ya kadi za CHADEMA. Angalia nyumba kabisa ya picha hiyo......kuna nini?
  7. Bigirita

    Dr Kigwangala amtisha Bashe kwa bastola

    Mpambano wa Dr Kigwa na Bashe katika kinyanganyiro cha uwakilishi wa wilaya ya Nzega kwenye halmashauri kuu ya CCM umechukua sura mpya jioni hii baada ya Dr Kigwangalla kumtishia kwa bastola bwana Bashe ili asirudishe fomu. Habari ndo hiyo, more to come. wanasiasa wa CCM Tabora kwa matumizi ya...
  8. Bigirita

    Bush na Kikwete......Ipe mameno hii Picha!!

    Bush: Na kule pia nichukue? Kikwete: Wewe bana, sijui huoni, hata mapontoni yale we chukua tu! Bush: Asante sana Kikwete: Usiwe na wasiwasi, unawaona na wale wakwerre kuleee, walee, watakusaidia kwenye research zako.
  9. Bigirita

    Nape: Posho sio Agenda ya CCM, Njoo utueleze Vizuri...

    Nakumbuka Bw, Nape alikwenda kwenye Kituo cha redio cha Clouds wiki chache zilizopita, na akasema posho ya wabunge inayoongezeka sio agenda ya CCM wala hakubaliani nayo. Natumaini alikuwa anaongea kama: 1) Kiongozi wa CCM 2) MwanaCCM ambaye ni kiongozi Alisema pia kwamba hakubaliani na Mh...
  10. Bigirita

    Chato Kunatisha: Fedha za miradi za Halmashauri zaliwa

    Waziri Mwamri amewawakia mkurugenzi na viongozi wengine wa halmashauri ya wilaya ya Chato kwa madai ya kutafuna fedha za miradi ya zahanati na josho zaidi ya 60million. wapi Maghufuli sasa................yupo busy na ya wenzake wakatio kwake kunaungua!!! source: TBC taarifa ya habari.
  11. Bigirita

    Msaada: Jinsi ya ku-configure internet kwenye blackberry bila kutumia monthly pre pay.

    Wakuu, naomba msaada hapa, I cant get access to internet kwenye Blackberry........linawezekana ku-configure hii kitu nipate mobile internet bila kulipia package za mwezi za blackberry?? Please.......I will real apprecite......natumia Airtel line.
  12. Bigirita

    UK Royal family yathibitisha kuhudhuria 50Yrs of independence of Tanganyika

    Bibi malkia wa UK na familia wathibitisha kuhuthuria sherehe zetu za kiswahili za uhuru wa miaka 50 ya Tanganyika. bbc swahili.
  13. Bigirita

    Nissan Hardbody D/Cabin Inauzwa...Kisu kimesimama!

    Wakubwa, Nauza Nissani Hardbody D/Cabin. Ipo kwenye hali nzuri sana. Naitumia mimi mwenyewe. Details: Year: 2001 2WD, ina Diff Lock Imetembea 157,000 Km Flow gear, gear lock, remote control - original. Engine: 3.2D Haijawahi kuguswa engine, wala gear box, tyres sawa na mpya, sport rims, Body...
  14. Bigirita

    Heri na baraka ya sikukuu ya noeli

    wapwaz, binamuz, ladies and gentleladies, Nawatakia heri na baraka tele katika sikukuu hii ya xmas. mkafurahi kwa jinsi mlivyopanga, hata jambo baya lisitokee miongoni mwenu.
  15. Bigirita

    Elections 2010 Arusha, Mwanza, Mbeya: CCM itatueleza damu ikimwagika.

    Kuchelewesha kutangaza matokeo katika mikoa hiyo ni dalili za wazi kuwa CCM wanataka kuchakachua. Wananchi wamepata hasira sana mpaka sasa, wanaonekana wapo tayari kwa lolote, iwapo FFU wanakuwafukuza au kuwapiga mabomu ya machozi, yatakayotokea baada ya hapo CCM itawabidi watoe maelezo kwa...
  16. Bigirita

    Nissan Terrano for sale

    Nissan Terrano, going cheap..........in good condition. serious buyers only, call 0786 162416.
  17. Bigirita

    CCJ wamefanya nini kustahili dhamana ya kuongoza nchi?

    Hili lilikuwa swali la MMKJJ kwa CHADEMA November 2009!! Naona MMKJJ mahesabu yake hayakuwa sawa!! kama anatumia kigezo cha KUFANYA NINI, Namuuliza, CCJ imefanya nini mpaka tuipe dhaman aya kuongoza nchi???
  18. Bigirita

    CCJ Iko wapi?

    Mbona kimwa mkuu? au mnajipanga kumshtaki Msajili wa vyama? Au mpo mezani mnashughulikia ushauri wa Mzee Mtei? Sisi wapenda mabadiliko/mapinduzi ya kweli tunawasikilizia, Taafaadhali isije kuwa decoy mkuu!!!
  19. Bigirita

    Elections 2010 VUVUZELA na Ari zaidi, Kasi Zaidi na Nguvui zaidi

    Nikiwa mdogo, mjomba wangu aliwahi kuniuliza, ninapenda kifaa gani kizuri cha muziki? mimi kwa kuwa nilipenda filimbi nikasema filimbi ndo kifaa kizuri, akaniuliza kwa nini? nikasema kwakuwa kinatoa milio tofauti kwa nyimbo tofauti. Mjomba akaniangalia usoni, akaniambia, hiyo ni milio tofauti...
  20. Bigirita

    Check Hata Obama........

    Obama anaanagalia Mungu alivyoumba kwa ustadi mkubwa!~~
Back
Top Bottom