Search results

  1. K

    Mganyizi nakutafuta

    Wana JF naomba msaada,namtafuta ndg Mganyizi-sina njia zaidi ya hii,hataki PM. Natanguliza shukurani. K.
  2. K

    HIV-new case

    Wana JF naomba kujua wapi(kama mgonjwa anaishi Mwenge,DSM,TZ) anaweza kupata ushauri wa mwanzo kuhusu cha kufanya all the basics hata kama ni hapa jukwaani, kwa mtu ambaye matokeo kuwa ni HIV positive mapema, mojawapo ya vitu ninavyotaka kujua niwapi wanatoa msaada wa mawazo i.e like vyakula...
  3. K

    Elections 2010 Kyela elections!

    Wana JF, Nilibahatika kushuhudia uchaguzi wa Kyela. Nilichogundua 1.Hata uwe na pesa kiasi gani-huwezi kuwaridhisha wana Kyela, jamaa wanapenda pesa kuliko wachaga, wanavuta kwa kila mtaka kura, siku ya mwisho hawakulala mpaka kunakucha. 2.Nilipowauliza kwanini wanampendelea yupi: 1-Dr...
  4. K

    mashati ya J. Kikwete(designer)/nayatafuta

    Wana JF, Naomba msaada wa mtu anayeweza kuniambia mtu anayemshonea mashati Kikwete-sijui niyaite ya kitanzania au ya kia Africa? Kuna mtu anayataka na ameyazimia nimeshindwa kujua pa kuyapata mwenye uwezo wa kumjua mtengenezaji au mtu mwingine mwenye hivyo vitambaa na quality ile au inayokaribia...
  5. K

    BlackBerry Bold 9700 & BlackBerry Curve 8520 for sale cheaply

    Dear JF people, Blackberry Bold 9700- 875,000Tshs each (10 pcs ) Blackberry 8520- 700,000Tshs each (3 pcs) NOKIA 5800 XPRESS MUSIC-300,000Tshs (5 pcs) They all must go,please PM me for your offer and they are all brand new in their original boxes imported from US and we will deliver anywhere in...
  6. K

    Wapi big screen -World Cup

    wana JF, Natamani na mimi nikaache ka TV kangu (size yake nakajua) ila ningetaka sehemu ambapo WC itaonyeshwa LIVE kwenye big screen na penye washabiki. DAR popote nitakwenda ingawa prefarable city centre,Upanga,Oysterbay, mpaka njia ya Mwenge/Mbezi maana nitakuwa naelekea kwetu.Kulipa...
  7. K

    TZ Kazi zipo, wafanyakazi hamna?

    Wana JF, Naomba kuuliza hivi ni kweli TZ kazi zipo au kila hata kidogo kilichopo kinachukuliwa na foreigners kwa sababu wa TZ hatuna uwezo wa kujieleza. Leo nilipitia baadhi ya sehemu kama 4 DSM, la kushangaza waajiri wengi regardless ni Govt inst. private na sasa hata za waswahili wenzetu...
  8. K

    French teacher wanted-200,000Tshs/20hrs

    A student needs an ASSISTANCE from a French teacher for a 1 to 1 course for at least 20 hours min.which will help her work in a French speaking country. She has some basics in French. please pm me or write to katabazi@hotmail.com Timings any time for 3 weeks from 08.june.2010 and...
  9. K

    French teacher wanted-200,000Tshs/20hrs

    A student needs an ASSISTANCE from a French teacher for a 1 to 1 course for at least 20 hours min.which will help her work in a French speaking country. She has some basics in French. please pm me or write to katabazi@hotmail.com Timings any time for 3 weeks from 08.june.2010 and place...
  10. K

    1 acre at Kibamba,near petrol station, 30M.

    Ideal for hotel appts,residential house, petrol station etc. 500metres from Morogoro Road. Call now on 0786 98 11 07. No middle men/women.
  11. K

    Gift for Men ONLY and those living with men above 50yrs(Prostate Cancer)

    JF men, I am sharing with you this small gift I got today from Rev. Canon Dr.Emmanuel Kandusi and his colleague Mr.Kyaruzi.(Read the attachment) According to these guys,it seems most men feel shy to disclose the problem to familly members and even to Dr.'s. And I wish this brochure was in soft...
  12. K

    Natoa Mil. 2 Tshs,nilipwe pesa yangu.

    Salama wana JF!Niliuziwa kiwanja mbele ya adv. Kwa kupitia bank, kumbe hakina njia (sala2,DSM)nikatoa adv.20m,muuzaji amenizungusha,sasa sikitaki nataka mwanasheria atakaye recover hy pesa nimpe 2m.
  13. K

    20US$ extra for HP Compaq nx9030 mainboard

    Hello JF members, I need to replace a main board for the above laptop. I am ready to pay 20US$(If its for free I will thank you so much) for whoever will source it for me in TZ ,UK,US or Dubai. All the arrangements to buy it will be on my side. If its used I can think about it but I prefer a...
  14. K

    539US$ HP Compaq laptop 4sale

    Hello JF, Brand New(Boxed) notebook PC 15.6" display/ Processor 2.0Ghz,1MB L2 cache AMD Athlon dual core processor 3072 MB DDR2 RAM /250GB HDD/LightScribe super Multi 8X DVDRW/5-in-1 Digital Media reader Webcam Genuine Windows 7 Home Premium. 1 Year Warranty.
  15. K

    25,000Tsh cat wanted

    Ndugu zangu wana JF, Nahitaji paka mdogo wa kufuga kwa gharama isiyozidi 25elfu, awe mdogo, asiwe mweusi na awe katika wenye uwezo wa kupambana na panya ikibidi.Inabidi awe DSM nitamfuata mwenyewe popote alipo DSM.. Natanguliza shukurani. Katabazi* katabazi@hotmail.com
  16. K

    making a baby girl!

    Wana JF, Naomba kupata msaada kama kuna mtu anayejua jinsi ya kuongeza chances za kupata baby girl au utaalamu kama upo! Natanguliza shukurani. Katabazi.
  17. K

    Prostate cancer & Dr.'s?

    Wana JF, Naomba kuuliza dalili za za kuwa na prostate cancer? Je kwa DSM ni wapi naweza kupata ushauri mzuri kuhusu prosate cancer na labda Tiba? Na la mwisho naomba kujua kama kuna mwana JF anayejua ma daktari bingwa wazuri kwa tiba hiyo bila kujali gharama kwa hapa Tanzania, Natanguliza...
  18. K

    IT Trainer-Mwanza,Urgent!

    1.Competent in : a)Basics in PC Software and Hardware trouble shooting b)DTP especially Micorosoft Publisher,Adobe and Corel draw c)Basics in website designing d)Office 2000-2007 e)Basics in Networking f)Databases 2.Salary:Maximum 300,000 (Take home) 3.Free housing,water,electricty(Normal room...
  19. K

    Wanted Assistant shop manager

    Job title:Assistant shop manager Qualifications(Min.)form 4 & basic accounts. Additional Qualifications:Good English,Driving and Computer knowledge. Age:25-30 Working Place: Iringa Region Salary:300K/month Housing-1 Room. Contact:rakeyescarl@yahoo.ie
  20. K

    Huduma ya utunzaji vyeti

    Wana JF, Salaam. Naomba kujua ni njia ipi ambayo ni nzuri na salama kwa utunzaji wa VYETI AU NYARAKA haswa vyenye thamani kama degree kubwa na kuendelea,ili kuepuka vitu kama moto,kuloa au kuwa fainted au kama ni Tanzania kuliwa na panya etc. Hivi kuna banks,taasisi au kampuni zinazoweza kuwa...
Back
Top Bottom