Search results

  1. Mpendanchi-2

    NEW NEW !!!! MSC. Scholarships by NORAD - changamkia haraka sana kazi zimejaaa!!!!!!

    Kwa wale wapenda shule changamkia scholarships hizo haraka sana kama GPA yako inaruhusu. MSc. Petroleum Engineering and MSc. Petroleum Geoscience. Kazi zake zimejaa kibao hakuna watu dunia nzima inawatafuta. Kwa application fungua attachment hii: For viewing jobs related to...
  2. Mpendanchi-2

    Songas wachanganyikiwa, waanza rasmi kuhujumu mradi wa bomba la gas la serikali

    Baada ya Wataalamu wazarendo wa TPDC na wizara, kuamua kuachana na Mradi wa Songas wa kupanua miundombinu yake ili aendeleze mikataba yake ya kinyonyaji , na kuamua kuanzisha mradi mpya utakaojenga bomba kubwa na processing plants za kustosha kwa gesi hadi miaka 30 ijayo, Songas...
  3. Mpendanchi-2

    The Untold Version about the tumbling Tanzania Shilling

    Nimependa sana uchambuzi huu kuhusu BOT na Shilling yetu kushuka. Beno governor amekuwa anatudanganya sana kuhusu sababu za kushuka thamani ya shilling. Sijui ni kwamba hajui anachosema au anajua ila anafikiri watanzania hawajui!! Issue ya kutumia dola kwenye transaction ameshindwa...
  4. Mpendanchi-2

    BIG UP TPDC KWA Kuamua kuwekeza kwenye miundo mbinu ya Gas ili tuwe kama URUSI

    Tanzania, China seal 532km gas pipeline deal Two gas processing plants generating 3900MW also expected to be constructed Energy and Minerals minister William Ngeleja briefs journalists in Dar es Salaam yesterday on plans to generate 3,900 MW using natural gas. To his right...
  5. Mpendanchi-2

    New jobs at TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation)

    Please find Jobs at TPDC website www.tpdc-tz.com or download attachment
  6. Mpendanchi-2

    Vacancy at World Vission ( Please apply don't miss this opportunity)

    JOB OPPORTUNITIES World Vision Tanzania is a Christian Development, Relief and Advocacy Non-Government Organization dedicated to working with children, families and communities to overcome poverty and injustice. World Vision is committed to the protection of children and does not employ people...
  7. Mpendanchi-2

    Wajue wabunge VIHIYO wa CCM...

    WAJUE WABUNGE WALIO NA ELIMU YA MSINGI NA SEKONDARI, hawa hapa,!!!!! Elimu ya msingi ( CCM ) 1. Deo Kasenyenda Sanga ( JAH PEOPLE) -Njombe kaskazini, Iringa 2. Lameck Okambo Airo - Rorya Mara 3. Luckson ndaga Mwanjale - kujiendeleza-Mbeya vijijini ( Sijui kamaliza msingi au? ) 4. hussein...
  8. Mpendanchi-2

    Breaking News : TPDC na Ophir wagundua Gas mpya Deep Sea , East Mafia

    Wakati Zanzibar Wakiendelea na Ubishi wa Mafuta yao, ambayo hawajawahi hata kuyaona wala kufanyia utafiti !!! Wataalam wa TPDC ( Tanzania Petroleum Development Corporation ) wakishirikiana na kampuni ya Australia, wamegundua kiasi kikubwa sana cha Natural Gas , reserve mpya kabisa...
  9. Mpendanchi-2

    Kikwete avunja record 14 !!!!!

    Wandugu zangu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango wenu utanisaidia kumjibu. 1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka...
  10. Mpendanchi-2

    Elections 2010 Kwa nini Picha za Mgombea Urais wa CHADEMA Dr.Slaa na wabunge hazionekani?

    Katika pita pita yangu sijaona matangazo wala picha za Mgombea urais wa CHADEMA na Wabunge wa Chadema kwenye Bango lolote!!! Si mijini wala vijijini. Chadema imekuwaje kwani, maana watu wa mjini at least wanafahamu maana ya mgombea urais Dr. Slaa na CHADEMA , je huko vijijini kwenye watu...
  11. Mpendanchi-2

    New new & urgently

    There is no too late, you still have today and tomorow to apply. A jobs at TPDC see attached file or click the link below:- http://www.tpdc-tz.com/CARRIER%20OPPORTUNITY%20%20Jan%202010.pdf
  12. Mpendanchi-2

    Over 150 vacancies...Try your lucky !

    LOT OF VACANCIES WITH MINISTRY OF HOME AFFAIRS -TZ, OVER 150 VACANCIES. CLICK HERE http://www.moha.go.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=83&Itemid=163 OR OPEN ATTACHMENT
  13. Mpendanchi-2

    TPDC wazindua mradi wa Kutumia Gas kwenye Magari na Majumbani

    WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, amesema kuwa kuanzia Septemba mwaka huu, kwa mara ya kwanza magari na taasisi za serikali zitaanza kutumia gesi asilia. Aliweka hilo wazi jana Dar es Salaam wakati alipokuwa akizindua mradi wa kuzalisha gesi iliyosindikwa wenye thamani ya sh...
  14. Mpendanchi-2

    More International Jobs that pay Millions!

    Kama kawa fungua hapo kama ni professional jaribu kazi hizo, usiogope zinapatikana na zinalipa kishenzi!! RIGZONE - The Career Center for Oil & Gas Professionals
  15. Mpendanchi-2

    Help to Merge partitioned Hard Disk C:\ , D:\

    I partitioned my laptop which was originally 80GB C:\ into drive C:\ 25 GB and Drive D;\ 55GB using Magic partition software. Drive C I use only for program files, But it seem is almost full !! It remain only with 4 GB free space!! difficult for me to add more programs , But the D: drive still...
  16. Mpendanchi-2

    Rush Rush International Jobs here!!!!!

    Pata ajira yako hapa nafasi zaidi ya 500 !!!! Jaribu nafasi yako au angalia kozi gani muhimu kwa ajiri ya ndugu zako kuwashauri wasome. Nimerekebisha post ya web, jaribuni hapa, All the Best http://www.rigzone.com/jobs/
  17. Mpendanchi-2

    Matokeo ya Kidato cha Sita (Form VI) na Result Slip Unapata hapa

    Unaweza kupata Result Slip yako hapa ya Form VI, 2009 Just ingiza number yako kama ilivyoelekezwa hapo utapata Slip yako Printable to Hard copy or to pdf na inakubaliwa kwenye applications za vyuo vingi tu kwa sasa. Ukiwa na cloured printer huna haja ya kuhangaika kwenda tena posta...
  18. Mpendanchi-2

    Ni kweli kwamba TRA hawajui au uzembe kutokusanya kodi za pango?

    Huku Nchi ikiwa na matatizo lukuki ya kukosa pesa za huduma kwa jamii uchunguzi uliofanywa unaonekana kuna uzembe mkubwa sana TRA kwa kutotambua baadhi ya kodi na kuzifuatilia na kubaki wakiwakandamiza wafanyakazi kulipa PAYE kubwa ambayo ukusanyaji wake hauna jasho. Uchunguzi unaonesha kuwa...
  19. Mpendanchi-2

    Need a Help, Dell Latitude D620 Laptop

    I am on a Dell Latitude D620 Laptop, when I boot the system, most of the time, I get a black screen with an error before the BIOS loads that reads as follows: "The Device in the system modular bay cannot be identified. It may not be completely inserted or may have some other problem. Please...
  20. Mpendanchi-2

    Hizi Ndizo Outcomes za IMF na Would Bank loans !!!!

    Norwegian Contractor Participated in Controversial Mine 14.04.08 Three years after 52 mine workers are supposed to have been buried alive in a gold mine area in Tanzania, the Norwegian contractor Noremco was assigned the task of participating in the construction of the controversial mine works...
Back
Top Bottom