Search results

  1. H

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    Kunguni ni chawa mwenye PHD , ukisoma bandiko la mleta maada utagundua kitu
  2. H

    Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

    Amejitambua yeye ni nani mbele ya manyumbu, mchezomchezo utashangaa anajaza kanisa🤣🤣🤣
  3. H

    Serikali imvue uraia Maria Sarungi arudi zao Hungary

    🤔🤔🤔Alikuwa anachukua hiyo mishahara buree mulah!!!? Auuuuuuu na wewe Kuna mishahara unachukua buree bila kufanya kazi???
  4. H

    Naandaa script ya movie, Muuza madafu Encounter Freedom

    I suggest hii part isiwepo ni ya kizamani sana, now days mission zimerahisishwa ndio mana hata ndege zinatumwa bila rubani,, Muvi za kijamaa ndio zilikuwa na hayo mambo,
  5. H

    Kuna ndoto tatu niliota zilinistaajabisha sana

    Ndoto hii binafsi niliota, na mpaka mwaka naota nilikuwa Nina miaka mia nne na ushee, Tena kwa ufafanuzi kabisa kwamba Duniani kwa mara ya kwanza umekuwepo kuanzia mwaka huu.......
  6. H

    Ila huyu dada mzuri ndugu zangu

    Unajuaje kama aliyeandika siyo babu😆😆
  7. H

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Mpaka yakukute ndio utaelewa , kuhama seat ni jambo la kwanza siku Ile, ila Kuna signs nyingi ambazo niliziona sikujua mana yake mpaka nilipokuja kushtuka nazinduka kutoka usingizi wa kuzimia, na sijaandika hapa
  8. H

    Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Sikujua namna nilivyohama seat iliyoondoka na watu karibia wote baada ya ajali, Mungu yupo , Tena ana uwezo kuliko akili zetu Mungu awalaze mahari pema peponi wale ndugu, they were the best compared to me, sijajua kwa Nini nilibaki, ila Mungu huyu anajua sababu, Kama anasoma comment hii huyu...
  9. H

    Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

    Mwambie atoe kitanzi, ma Dr wananielewa
  10. H

    Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

    Yote hayo wanayajua ila wajomba ndio wanawapa jeuli!
  11. H

    Hivi ndivyo Jimmy Carter alivyobaki. Ndiyo tujue sasa dunia haina urafiki

    Una ujumbe mzuri ila haujaendana na jimmy, maana mi naona Bado anakula Bata tu, najua hata huku jumba la vibabu kaenda na walinzi na wapiga vinubi,. ,, Ujumbe wako unafaa kwa babu zetu huku bongo, umri huo unakuta kunuka mkojo kawaida tu, kwanza alishaacha kuvaa ata suluali ni shuka tu...
  12. H

    Nyuma ya pazia (it is for the intelligent only)

    Una roho mbaya, ko unataka apigwe risasi Tena ndo ujue Samia hamtumi!???
  13. H

    Lijue Tatizo La Kutokwa Na Shahawa Kwenye Uume Wakati Wa Haja Ndogo/Baada Ya Haja Kubwa.

    Tunaangaika as if tutaishi milele, matatizo mengi sana.... Ukute hata kuwa na mate kinywani ni ugonjwa 😢😢
  14. H

    Duka la nguo za kike linauzwa; location Kinondoni Vijana

    Hili swali ni la msingi sana, Umekuwepo hapo kwa mda Gani!? Hope umeweka namba ya simu!
  15. H

    Hivi ninayechukizwa sana na tabia hizi zifuatazo niko peke yangu au?

    Namchukia mtu ambae anafikili yeye ni mkamilifu kupitilizaaaaaaaa🤔🤔🤔
  16. H

    Nini kilikuchochea hadi ukaanza kuchepuka?

    Kwa Nini mnapenda taarifa za watu kabla hamjasema zenu!?? Binafsi Huwa naonaga ni kama unawachezea akili wanaokuja kukujibu yakwao wakati hawajui yakwako
  17. H

    Muuza Madafu: Mimi sio mtu Mwanajeshi. Natamani kuonana na Kamanda nayefananishwa naye

    Kabadilishwa,anayehojiwa siyo aloyekuwa akiuza madafu
  18. H

    Ewe kijana kabla haujafungua biashara yako katafute kwanza kinasa wateja. Utanishukuru baadaye

    Ukute hata mama zile asilimia 23 kwa watumishi alikuwa amerogwa, mganga akashindwa kuroga na mfumo wa jikoni😅😅😅
Back
Top Bottom