Habari Wakuu,
Kwa watoto wa chini ya miaka 5 mathalani mtoto wa miaka 3 ninachojua kwa kawaida inatakiwa alale mchana.
Ninachotaka kujua kutoka kwenu ni kuwa hata kama mtoto amelala mchana je, kwa masaa yetu ya Tanzania ni muda gani mzuri anatakiwa alale usiku, mfano kama ni saa 1, saa 2, saa...
Haanzi ikitokea ni mara moja moja sana labda niwe nilisafiri nikarudi.
Ila tukkwa wote kwa muda mrefu hana mzuka hata nikimuanza,so sometimes ananipa kunilizisha tu hakuna ushirikiano ananipa nirikike alale zake.
Habari wakuu,
Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo.
Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha ila yeye ni mara chache kuwa na hamu na kuanzisha kutaka kufanya tendo lenyewe.
Mimi sio mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.