Search results

  1. Mshobaa

    Tulimkemea Msuya alivyopeleka Umeme kwao, tukamkemea Mramba alivyopeleka barabara kwao sasa Lisu kumshambulia Dr Mwigullu si Haki!

    Mkuu unajua barabara ya rombo imewekwa lami mwaka gani au umesimuliwa tu johnthebaptist
  2. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Hili jambo linahitaji u serious mkuu hali ni mbaya sana nasema hivyo japo Mimi si mtumiaji wa hiyo huduma lakini watu wanataabika huko
  3. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Haina Shida yote maisha mkuu
  4. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Walisema wataleta mwekezaji Emirates hadi leo naona ishu imekufa kimya kimya
  5. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wakija kwenye Mwendokasi ndio watajua kiasi gani raia wengine wanavyotaabika
  6. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Umeelewa mada kweli mkuu wangu
  7. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Ukisema watanzania ni mataahira usisahau kujijumuisha na wewe pia au ni mnyarwanda wewe
  8. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Kwamba hayo magari ya serikali tunayoyalipia kodi zetu ni yakwao??? Upo seriously kweli mkuu
  9. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Kabisa kusingekuwepo na urasimu wa kijinga kama huu
  10. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wanajua, Wanaona na wanasikia ila wajue wengi wanaotumia huo usafiri ni walipakodi pia
  11. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Mkuu kuna Siku pale gerezani patatokea maafa labda ndio watastuka
  12. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    M Mkuu kama hayajawahi kukukuta bora ukae tu kimya
  13. Mshobaa

    Watumishi wa serikali kupanda Mwendokasi

    Wakuu kwa hali inavyoendelea hivi sasa katika usafiri wa Mwendokasi ni janga kubwa sana kwa watu wa hali ya chini. Jioni ukiwa kwenye vituo utashuhudia wafanyakazi mbali mbali wa umma wakiwa wamebebwa kwenye magari yao eidha coaster au magari madogo wakipita kwenye njia hizo hizo za BRT wakiwa...
  14. Mshobaa

    Dar: Kuna mgomo wa wafanyabiashara Manzese?

    Leo inaenda Siku ya tatu huduma hazipatikani tunaomba suluhisho ya hili tatizo wahusika
  15. Mshobaa

    Dar: Kuna mgomo wa wafanyabiashara Manzese?

    Wakuu nimefika eneo la maduka ya Manzese kwa ajili ya kufanya manunuzi yangu binafsi ila nikakuta maduka yote yamefungwa. Kwa tetesi zilizopo ni kwamba kuna mgomo unaoendelea. Tatizo kubwa ni halmashauri kuweka service levy kubwa ambazo hazina uhalisia walikuja viongozi wakasema majibu kamili...
  16. Mshobaa

    Enzi za Nyerere Leo ni Lazima kwenda Uwanja wa Uhuru kwenye Sikukuu ya Muungano ila siku hizi ni Walimu na Wajeshi!

    😂 😂 😂 we jamaa bifu lako na chadema inabidi mkae chini muyamalize 😆 😆
  17. Mshobaa

    Hivi Msumi ipo Dar es Salaam kweli?

    Bila kusahau kwa kavimbirwa mkuu
  18. Mshobaa

    Ushauri: UDART Mwendokasi kuwe na refund

    Salaam, Hakika ukitaka kusafiri jioni kuelekea kimara kuanzia saa 11 na kuendelea kupitia Mwendokasi ujipange kisaikolojia, ukikata tickets kwenye vituo huwa hawakuambii hali ya usafiri ipoje, ukiingia kusubiria basi ndio kasheshe huanzia hapo. Jana kwenye kituo cha magomeni mapipa...
  19. Mshobaa

    Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

    Kwani chumvi inatoka wapi tuanzie hapo
Back
Top Bottom