Habari Ma GT wote wa JF,
Kutokana na shida ya maji iliyopo kwenye nchi yetu. Watu wengi (mimi nikiwa mmojawao) waliamua kwa njia moja au nyingine kujichimbia visima vya kuvunia maji ya mvua kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kuyatumia kwa kunywa baada ya kuyatreat kwa dawa za kusafisha maji...
Kwa kweli naongea kwa masikitiko makubwa sana, hivi kweli Wacongo wanaweza kuwauwa Watanzania kama hivi?, jibu ni BIG NO, Watamzania tunaheshima kubwa sana Congo, sisi ndio ndugu wa damu pekee kwa waCongoMan, nimezunguka Congo, hasa niseme East Congo, Nord Congo na Katanga province, kote huko...
Tasnia ya Muziki imempoteza Gwiji wa kucharaza gitaa la Solo, Shabani Yohana Wanted, kilichotokea juzi hapa Gaborone Botswana, alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu, na siku kama tano zilizopita alikuwa haonekani baada ya kumtafuta hapa na pale bila mafanikio ndio wazo la kuvunja kwakwe lilifanyika na...
Mwanamuziki wa zamani Mzee Kungubaya, amefariki jioni hii, alikuwa amelazwa kwa shida ya Pressure na baadae aligundulika kuwa na tatizo la Figo
Kwa wale wasikilizaji wa zamani wa RTD kulikuwa na kipindi cha Salamu kwa Wagonjwa, ule wimbo wa kuanzia na kumaliza kipindi ulitungwa na kuimbwa na...
Hii picha ilinisikitisha sana, nimeipiga Juzi tu katika hilo eneo la Makuti (Zimbabwe) ni umbali wa Km 63 kutoka Chirundu border post (Border ya Zambia na Zimbabwe)
Katika hicho kibao Mlima Kilimanjaro unaonyeshwa upo umbali wa 2772km kutoka hapo Makuti, na unaonyeshwa kuwa huo mlima upo Kenya...
Baada ya Sudan ya Kusini kujitenga kutoka main Sudan na kuongeza idadi za nchi katika bara la Afrika na duniani kwa ujumla, inaonekana inaweza kuwa chachu kwa baadhi ya majimbo ama nchi kumegeka,
inaweza kuongeza nguvu kwa nchi zilizokuwa kwenye maelekeo huo na pia inawweza kuwa chachu kwa...
Wanajamii naomba tuijadili hii changamoto kwa kina
Hivi kuna mapenzi ya kujilazimisha kupenda?
Na kama umejigundua ulipenda kusiko sahihi unaweza kumwambia mwenzio waziwazi kuwa unajilazimisha tu?
Nauliza maswali haya kutokana na kisa nilichosimuliwa na mtu wangu wa karibu sana (Mars)...
Nimejiuliza sana hiki kitu na nikashindwa kupata majibu sahihi na nikaona nishee na wanaJamii wenzangu labda kuna jibu ama maelezo sahihi
Weekend iliyopita kwenye mida ya saa tano asubuhi tulikuwa kwenye Ka-bar maeneo ya home, watu wanakamata supu na kupata mojamoja, mara akaingia jamaa na...
Najaribu Kuangalia kiundani, ni sababu gani kubwa ya Lowasa na wenzie kuzalilishwa na chama chao, huku mwenyekiti wake ambaye pia ni swahiba wake mkubwa akiwa kimya?, nasema kuzalilishwa na chama chake (nje ya CCM ni hatua iliyopaswa kufanywa na hata vyombo vya sheria vilipaswa...
Nimekaaa na kujiuliza Huu ugeni Mkubwa tulionao hapa JF kwa siku mbili hizi,
ni wageni wapya kwa maana ya upya au ni walewale wamekuja na ID mpya baada ya Panga la INVs?
Kwa wale waumini wanalijua hili,
kila unachowafanyia wenzio Mungu anakulipa hapahapa Duniani, na anakupiga kwa mapigo ya nguvu SABA, na utaratibu ni kuwa unapigwa pigo moja na kama haujasimama na kuomba radhi/kukiri makosa yako ili uliowafanyia wakusamehe, Pigo lingine linakujia ambalo ni la...
Mwaka 1961 wakati Tanzania inapata uhuru nilikuwa sijazaliwa, hivyo nilikuwa sijuhi nini maana ya kutafuta uhuru na transition ya kutoka utawala mmoja kwenda mwingine nilikuwa sijuhi ikoje,
lakini leo nachelea kusema ninashuhudia nchi yangu ikikombolewa kwa mara ya pili, baada ya kutekwa na...
kutokana na mwenendo wa kiasasa unavyoelekea kuna kila dalili ya wizi wa kura kutokea, na kwa kipindi hichi kifupi habari za njama hizo ya wizi zimekuwa zikilipotiwa humu (JF), kwanza na baadae kwenda sehemu zingine,
kwa maana hiyo JF inaonekana ni kama kituo muhimu cha kupatia info zote...
Akijibu swali la Mwanachama mfu wa CCM (A, Lwaitama), Dr Slaa alisema, kisaikolojia hiyo ni hulka ya binadamu kuogopa asipokujua,
lakini ni kweli watu hawakujuhi huko?
Miongoni mwa sifa kuu za binadamu ni usahaurifu, na hiyo ndio inayompa matumaini makubwa sana binadamu ile hali ya kusahahu...
Napenda kutoa shukrani zangu kwa Bw Mengi na timu nzima ya ITV, kwa kuweka historia ya mapambano/ demokrasia Tanzania kwa kuweza kutoa coverage ya 3hrs kwa CHAMA CHA UPINZANI, hata kama ni kulipia lakini kupata huo muda ni kama ndoto, lakini kwa hapo mwanzo ilikuwa ni vigumu, na kwa taarifa...
Hali ya JK na CCM kisiasa kwa ujumla wake si nzuri na dalili zote zinaonyesha anguko kuu la CCM, silaha ya mwisho atakayotumia JK na CCM ni ya kuhahirisha Uchaguzi mpaka mwakani, miongoni mwa mbinu zilizopo ni hii ya JK Kujiangusha siku chache kabla ya uchaguzi na tutaelezwa hali yake si nzuri...
Kwa aliyeangalia Taarifa ya habari ya jana ya TBC! ya saa mbili na saa nne usiku, basi moja kwa moja atakubaliana na mimi kuwa TIDO MHANDO, ana kesi ya kujibu, Tido ana kesi kesi ya kujibhu ambayo imefanana sana na ile ya Mramba, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA,
Matumizi mabaya ya Madaraka sio...
Hoja ama swali langu linabase kwenye hii sera ya CHADEMA ya kuunga mkono serikali tatu, yaani ya Bara, Ya visiwani(Zanzibar) na ile ya Shirikisho (Umoja), sasa ikitokea Chadema wakachukua nchi na hii sera ikawa kwenye action,
1) Dk Slaa atakuwa raisi wa nchi ipi?,
2) na kwa nchi hizo mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.