Search results

  1. Rugas

    Rais Magufuli: Utawala wangu sitaki kulimbikizia watu vyeo. Mbunge hawezi kuwa RC au DC

    Nilichokisika mimi uteuzi uliotenguliwa ni wa D.C Wa Ngorongoro.. Mr Emily Ntakamulenga. Huyo wa rombo ambaye pia ni mbunge sina hakika kama katenguliwa. Labda kama ni wawili.
  2. Rugas

    Dr. Carine Wangwe ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu NSSF

    Ameishatumbuliwa mara moja.
  3. Rugas

    Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    labda ulipenda iweje? Hayo matokeo yanafanyaje chadema iamini ukanda? Kila jimbo limechagua kivyao na kwa bahati nzuri kila chama kimeendelea kulinda kiti chake...
  4. Rugas

    Lowassa atinga Tume ya Uchaguzi kupeleka malalamiko, azuiwa kuonana na viongozi

    mimi siyo mwanaukawa, ila ni mshabiki wao. Nimependa sana ushauri huu.. ni mzuri sana na wa kujenga. Nimesikia watu wengine wakitathmini kwa namna hii. Ni vema ukawa wakauchukua ushauri huu na kuufanyia kazi.. wakiufuata vizuri, 2020 kitaeleweka.. bunge lazima liwe 50/50
  5. Rugas

    Apson Mwang'onda aendelea kumtapeli Lowassa. Amhakikishia kuwa ameshinda Uchaguzi na Ikulu ni yake

    Ndicho ninachokiona! Wataruhusuje umbea umbea kama huu uonekane hapa! Yaani mtu anamalizia kwa kusema chunga midomo yenu...wakati yeye anapanua mdomo kuleta uhongo hapa! Yeye atwambie alikuwa kwenye hicho kikao? Au aliweka recorder, au amepewa habari na mmoja ya waliokuwa kwenye kikao au...
  6. Rugas

    Ahadi ya Elimu bure kuanzia Primary hadi University, Je HESLB ifutwe?

    Labda kama uelewa wa baadhi yetu ni mdogo! Lakini tunavyojua utekelezaji wa ahadi ni mchakato. Huwezi kuchaguliwa leo ukaanza kutekeleza kesho. Pia ujue kuwa rais yoyote atakayechaguliwa ataendelea kutekeleza bajeti iliyopo na atafata katiba iliyopo. Kama itahitajika kufanya mabadiliko lazima...
  7. Rugas

    Yaliyojiri Jijini Arusha: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dk. Magufuli – Oktoba 6, 2015

    Inaashiria magufuli hataweza kufika( maana barabara hazipitiki) na kama atafika hataweza kuja Arusha. Ambako naona fiesta imeshaanza.
  8. Rugas

    Uamuzi wa NEC pigo kwa UKAWA

    siyo Lowasa, Dovutwa, Magufuli, wala Mgwira aliye na uhakika wa kushinda. Wananchi watanzania ndio waamuzi. Sasa huo uhakika wa ushindi wa upande mmoja unaouongelea umeupata wapi? kura yako moja ndo inakuonyesha maamuzi ya watanzania wote? Usifanye watu waamini kuwa ushindi ni mezani na wala si...
  9. Rugas

    Lowassa aumbuka Pemba

    Sio kufika tu..hata kuishi nimeishi Kule na nimezitumia
  10. Rugas

    Lowassa aumbuka Pemba

    Sio kufika tu..hata kuishi nimeishi Kule na nimezitumiamm
  11. Rugas

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    LA msingi umjue yule wa ji mbo lako ili umpigie kura
  12. Rugas

    Lowassa aumbuka Pemba

    Kaka in majina tu..Zanzibar kuna vespa za kufa MTU na zinapiga business kama kawa. Hata hivyo ukilinganisha na ya magufuli hiyo ni cha mtoto. Magufuli akihutubia aliwambia wananchi kuwa atawajengea madaraja..wakamwambia hapa mbona hakuna mito....akadakia hata mito nitawaletea.
  13. Rugas

    Live: Update mkutano wa DR magufuli -Singida Mjini

    they cant be seriuos! Wameishaona watanzania wana muda wa kupoteza? Watu wameenda kusikiliza sera na kuwambia mmefanya nini na mtawafanyia nini next... nyie mnamaliza mkutano kwa matusi na kuchochea udini na ukanda.
  14. Rugas

    Mabadiliko: Malizia mwenyewe

    Lowasaaaaaaaaaaaaaa
  15. Rugas

    UKAWA waleta vurugu mkutano wa CCM Arumeru muda huu

    Hata waliozomea jana tanga mpaka wakakamatwa na polisi walipangwa na ukawa au¿¿¿
  16. Rugas

    Vyoo vya afya diploma

    Vyoooooo.
  17. Rugas

    Kilichojiri Tanga hiki hapa

    Kwanzaa hiyo ulitaka wandelee kuzimia na mpaka kufa kama wale waliotolewa kafala kule Morogoro..
  18. Rugas

    Elections 2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Ningekuwepo ningemuukiza anajua kilichoua hizo national milling nchi nzima?
  19. Rugas

    Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Umeishasema watanzania Wataamua wenyewe... Alafu unawaamulia kwa kuwa mtu. Huyo ulomtaja ni chaguo Lake lakini so LA watanzania wote. Acha Demokrasia Ichukue mondo wake.
  20. Rugas

    Utabiri: UKAWA Kuibuka washindi dhidi ya CCM. Kikwete kusalimu Amri kwa Lowassa

    Kwanzaa siyo wote wanampenda magufuli. Lakini wengi wanaompenda Hawakipendi wala kukiamini Chama chase.. Akiwemo yeye many ewe. Soma halama halo... Ccm no inazama hive.
Back
Top Bottom