Search results

  1. Dark City

    Je, kuna ulazima wa kumhudumia mchumba wa kike ?

    Duhhhh, itabidi wakongwe warudi kutoa shule kwa vijana wetu. Sasa utakuwaje mwanamume kama vitu vidogo kama hivyo vinakupa kichaa? Haki ya nani hiki kizazi ndo hivyo tena. Hatuachi kitu nyuma yetu aisee!! Babu DC.
  2. Dark City

    Unakubalije kuachishwa kazi na mwanaume?

    Naomba utoe ushahidi kuhusu hapo. Babu DC.
  3. Dark City

    Nifanyeje mume wangu aniamini tena?

    happy amos umeanza lini Haya mambo?
  4. Dark City

    Salamu kwenu nyote

    Subiri kidogo utaelewa kijana. Lazima wakubwa wakuwekee mikono kwanza. Vingenyo itakuwa tasa hiyo!! 😀😀😀😀 Babu DC (1947)!
  5. Dark City

    Nimeshakata tamaa ya maisha nimepanga kujiua ( mawazo yangu ni kujiua 100%)

    Nimejitahidi sana kusoma hii post ila sijaona kitu. Msaada wangu nitatoa ukishapata dozi ya sumu, nadhani itakuwa ile ya panya!!! Babu DC!
  6. Dark City

    Salamu kwenu nyote

    Nawasilimia ndugu, marafiki na wajukuu zangu wote. Nimewamiss sana, Babu DC
  7. Dark City

    Msaada: Nimempiga kibao sasa kazira hataki kula wala kuongea

    Hawa watoto achana nao teacher. Hii haina tofauti na story ya couple ambayo mtoto akilia wote wanalia. Hiki kizazi kinaangamia machoni petu haki ya nani!!! Mzima lakini teacher?
  8. Dark City

    Ilikuwa tarehe kama ya leo january 2011

    Umenitupa sana mdogo wangu. Hivi ni Mimi niliandika hayo kweli?
  9. Dark City

    Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

    Nawasalimia wajukuu zangu woote. Nimewamiss sana!!
  10. Dark City

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Hiyo siyo picha yake mkuu. Kuna picha ninayo ila haionekani vizuri. Ngoja Babu Asprin kama anayo atuwekee
  11. Dark City

    TANZIA Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki dunia

    Maskini DA,.....duuhhhh. Nakumbuka mara ya mwisho tulipoonana Nairobi Dec 2012. Sitakusahau dada yangu DA. Pumzika mpendwa, tutakukumbuka sana. Babu DC!!
  12. Dark City

    Verossa

    Hebu kwanza nitake radhi....Tangu lini babu akakibizana na vijukuu? Nilishakueleza wewe uwe na adabu kabla sijakupiga laana ukawa chizi...!!!
  13. Dark City

    "K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

    Duuuhhh, nimefurahi sana kwa kutiririka vina! Asante Mentor na Mzee mwanzangu Asprin kwa kunijibia!!
  14. Dark City

    "K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

    Wewe bwana husomeki siku hizi!!! Hebu piga shairi kwanza ili babu afurahi. Nimekumithi sana tu!
  15. Dark City

    "K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

    Hujambo Mentor? Babu na Bibi ni wazima. Tunaongeza wajukuu kwa kasi ya ngosha!!
  16. Dark City

    "K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

    Upo Kaunga ? Tumepotezana sana!!
  17. Dark City

    "K" tatu ninazotamani kukutana nazo kabla ya mwaka kuisha...

    Kumbe bado upo dogo??? Keep wishing boy!! ....by the way. "hamu ni tamu kuliko tamu yenyewe"!!!
  18. Dark City

    Mshauri wa uwekezaji - investment advisor

    Any advice from general to specific areas. Kama unamjua mtu au kampuni inayotoa hiyo huduma nijulishe tu.
  19. Dark City

    Mshauri wa uwekezaji - investment advisor

    unaweza kuwasiliana nami kwa pm Mkuu. za
  20. Dark City

    Mshauri wa uwekezaji - investment advisor

    Tunahitaji mshauri wa mambo ya uwekezaji (investiment advisor) kwa ajili ya mradi wetu ambao tunataka kuufanyia kazi. Kama kuna mtu anataarifa yoyote basi tuwasiliane.
Back
Top Bottom