Search results

  1. Zakumi

    Kuunga Mkono Nia ya Makongoro Nyerere (Urais 2015)

    Utangulizi: Kwa wanaonifahamu hapa JF, wanafahamu kuwa siasa zangu ni za mkondo wa kulia zenye kuhimiza maendeleo ya watu binafsi na wakati huohuo kulinda maslahi ya wanyonge (ubebari mwema A.K.A compassionate capitalism). Kwa mtaji huu sijawahi kuunga mkono chama chochote cha kisiasa. Na...
  2. Zakumi

    Baba Baba Uji wa Moto

    Kuna mtoto hakuzungumza kwa miaka 7. Wazazi wake walifanya juhudi zote kuchunguza na kupata ufumbuzi wa mtoto wao kushindwa kuzungumza. Walikwenda hospitali na kwa waganga wa jadi Lakini hawakupata mafanikio yoyote. Na mwisho walifikia uamuzi kuwa mtoto wao ni bubu. Siku moja wakati wa kufungua...
  3. Zakumi

    Swali: Mapenzi na Wanyama Ruksa?

    Kuna nchi kama vile ujerumani, wanazo sheria zinazoruhusu kufanya mapenzi na wanyama. Je inawezekana na sisi Tanzania tukawa na sheria kama hizo?
  4. Zakumi

    Barua Kwa Lowassa, Zitto na Wengine: Hakuna Elimu ya Bure

    Ndugu Lowassa, Zitto, na Wengine: Hili suala ya elimu ya bure naona linajirudiarudia. Lakini umefika wakati sisi wananchi tuingilie kati na kuanza kudai elimu na huduma zingine zitakazobadilisha maisha ya watoto wetu. Na moja ya kuingilia kati huku ni kuwafahamisha wana siasa kuwa hawana uwezo...
  5. Zakumi

    Maombi Kwa Vyama Vya Upinzani (CDM, CUF, n.k)

    CCM bado inayo utamaduni wake wa kikomunisti ya kuchagua au kuteua viongozi kwa kupitia NEC,CC na mkutano mkuu wa chama. Kwa sababu zinazoeleweka na zisizoeleweka vyama vya upinzani pia vimeiga mfumo huu. Mfumo huu umepitwa na wakati na unajaza rushwa na maneno ya fitna. Kwa maoni yangu binafsi...
  6. Zakumi

    Electoral College: Historia yake, Uzuri na Ubaya wake

    Wanabodi ambao mnafuatilia siasa za Marekani ningeomba mtufafanulie historia ya electoral college. Nini ubaya wake na nini uzuri wake.
  7. Zakumi

    Kushindwa Kwa Romney: Nini Sababu?

    Huu ni mjadala wa kubadilishana mawazo kitaaluma. Hivyo kama unataka kumpa ongera Baraka Obama, nakushauri fanya hivyo kwenye thread nyingine. Jana nilipokuwa naangalia matangazo kutoka katika Boston na Chicago niliona vitu viwili muhimu. Kitu cha kwanza kwenye kambi Romney waliokuwa wanasubiri...
  8. Zakumi

    Orodha na Hatima ya Viwanda na Mashirika Yaliyobinafsishwa

    Katika thread hii ningependa kupata majina ya viwanda na mashirika yaliyokuwa mali ya taifa na baadaye kubinafshwa. Kama kuna uwezekano naomba taarifa mwaka wa kuanzishwa kiwanda, capacity ya kiwanda, na sababu za kiwanda kubinafsishwa. Inasemekana Nyerere aliacha viwanda au mashirika ya...
  9. Zakumi

    S Sudan acts over missing $4bn (Yale yale)

    South Sudan's parliament has voted to suspend at least 75 senior officials accused of massive corruption. President Salva Kiir sent a letter to the current and ex-government employees, asking them to return at least $4bn (£2.6bn) of stolen money. About $60m has been recovered since the letters...
  10. Zakumi

    Poverty Elimination in Tanzania is a 'Result Oriented Business'

    Katika mijadala mingi inaonyesha, inaonyesha kuwa watanzania wengi wanakubaliana kuwa chanzo cha matatizo ya nchi yetu ni uongozi. Wengine wanasema kuwa ni nchi inaongozwa bila dira. Wengine wanasema kuwa viongozi ni mafisadi. Na wengine wanasema kuwa viongozi sio wacha Mungu. Swali langu je...
  11. Zakumi

    Tunakusanya Kero Za Spika, Wabunge, Viongozi Tuwapelekee Wananchi

    That's right. Baada ya kumsikiliza ndugu Spika Anna Makinda akiongea na watu wa jimbo lake kuwa hana nyumba na itabidi akope ajenge nyumba, nimeona tukusanye kero za viongozi wetu na tuwapelekee wananchi. Inawezekana ufanisi wao ubovu unatokana na kuwa wanajitolea kwa muda mrefu na mapato yao...
  12. Zakumi

    Wabunge: Kwanini Kodi ya Maji ni Muhimu Kupunguzwa au Kufutwa

    Ndugu wananchi !Kwa miaka mingi sana serikali ya Tanzania inatumia kodi ya vinywaji kuongeza mapato ya serikali. Katika kipindi cha Nyerere na cha Mwinyi, walipaji wakubwa wa kodi walikuwa ni viwanda vya vinywaji, hususa bia. Ukweli wa mambo utamaduni huu wa kutegemea kodi ya vinywaji hususa...
  13. Zakumi

    Siasa Za Kujitegemea

    Hivi kulikuwa na sera zozote za kulifanya taifa kuwa ni la kujitegemea? Au zilikuwa ni porojo tu? Mpaka sasa sio dalili zote kuwa Tanzania itaachana na misaada kutoka nje.
  14. Zakumi

    Kuchakachulia Maombi ya Basha

    Kijana mmoja mtanashati alipata kazi sehemu moja, jina kapuni. Lakini wenzake walimtonya kuwa bosi wa sehemu iliyo anapenda kuwafanyizia wenzake vibaya. Kutokana na taabu ya maisha kijana alikubali kazi na boss akawa anamchangamkia sana. Lakini unajua tena kuomba mchezo kwa mtu mwenye jinsi...
  15. Zakumi

    Barua Kutoka Ughaibuni - Rais Uwezo Wa Kutatua Matatizo ya Umeme tunao

    Ndugu Wazalendo, Kwa mara ya kwanza nilimuona Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, JK, nchi Marekani miaka mitano iliyopita katika mkutano wa waTanzania waishio Marekani ya kaskazini uliofanyika mjini Washington DC baada ya kuchaguliwa kuwa rais. Katika mkutano huo, rais alisema...
  16. Zakumi

    Kwanini Watanzania Hawaaminiki Kwenye Kodi au Biashara

    Ndugu wazalendo, Labda kuboronga kwa viongozi wetu kupo ndani ya DNA yetu. Juzi katika vijiwe vyangu. Mdau akawa anabonda viongozi wa Tanzania. Mara akapokea simu kutoka bongo. Katika mazungumzo ya simu akamwagiza mpigaji kuwa mizigo ikifika bandarini basi wamuone mtu fulani hili wasilipie...
  17. Zakumi

    Kuoa Mnyama

    Kama umefuga mnyama kama vile paka, mbwa au nyoka. Je unaweza kumuoa?
  18. Zakumi

    Barua Kutoka Ughaibuni - Kwanini Katiba Mpya na Si Kubadilisha ile Iliyopo

    Mods ningependa uiache mada kama ilivyo na isiunganishe na mada zingine. Kama kawaida, ningependa kutoa salaam kwa waZalendo wenzangu. Katika mjadala huu wa katiba kuna mambo mengi yanajitokeza. Moja ya jambo lililojitokeza ni kutaka kufanyia amendment ya vipengere ya katiba ya sasa. Mzee...
  19. Zakumi

    Swali kwa wataalamu wa sheria, katiba, vyama na siasa

    Nitaanza kwa utani tu. Katika nchi mmoja ya Ulaya watu wameruhusiwa kutembea na bangi lakini kwa matumizi ya binafsi (personal use). Hivyo kuna jamaa akahamua ku-import container nzima la bangi. Alipokamatwa na polisi, jamaa akajitetea kuwa ni kwa personal use, ingawaje ilikuwa ni ya biashara...
  20. Zakumi

    Kwanini Sisi Wakurya Ni Matajiri

    Ndio sisi ni matajiri kwa sababu magari yanayotumika na jeshi ni ya James Wambura. Hata yale matreni ni ya kwetu pia. Matreni yakikimbia yaria CHACHA MARWA, CHACHA MARWA, CHACHA MARWA, CHACHA MARWA. Na yakipiga honi yanaria WAMBURAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.
Back
Top Bottom