Search results

  1. Petro E. Mselewa

    Makalla: CCM tunaheshimu Mahakama kama chombo cha kutoa haki, hatuingilii kesi zinazosikilizwa huko

    Nakubaliana na Makalla kwenye hili. Jambo kama lipo mahakamani, sawa-tena ni dharau kwa mahamaka, kulijadili na kulitolea maamuzi ya kisiasa. Hata utekelezaji wa hukumu za mahakama huratibiwa na mahakama kwa mujibu wa sheria na taratibu husika. Kujadili na kutoa maamuzi ya kisiasa juu ya...
  2. Petro E. Mselewa

    Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru

    Serena Hotel Management has to be very careful with this case. It may expose them negatively to the public. If I were their advisor on this, I would tell them not to institute even the civil case against that 'hooligan'. Serena Hotel faulted and it has to carry its consequences and re-arrange...
  3. Petro E. Mselewa

    Mbunge Getere aomba radhi kwa kauli yake kuhusu Boom

    Radhi yake tumeikataa! Hoja yake tuliikataa! Porojo zake tulizipinga! Tukutane 2025!
  4. Petro E. Mselewa

    Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

    Ameongea porojo za kisiasa tu, boom haliwezi kufutwa. Patachimbika huko vyuoni🤣🤣
  5. Petro E. Mselewa

    Nilitembelea ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala

    Where are you going to Sis?
  6. Petro E. Mselewa

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Poleni sana wanaIfakara na kwingineko mliokumbwa na dhahama ya mvua hizi..
  7. Petro E. Mselewa

    Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

    Niliwaona wengine waliwahi oxygen nje Mkuu. Yawezekana kwa kijambo hicho ukakubalika kirahisi...mambo hayo hayana formula.
  8. Petro E. Mselewa

    Ndugu zetu TANESCO, tatizo nini tena?

    Taarifa ilisema tatizo au sababu ni nini ya kukata umeme?
  9. Petro E. Mselewa

    Ndugu zetu TANESCO, tatizo nini tena?

    Jana usiku, maeneo ya Kibaha mkoani Pwani, umeme ulikatika. Hata sasa, umeme umekatika tangu asubuhi. Ni hivi karibuni tu ndugu zetu TANESCO mmepongezwa kwa kuzalisha umeme mwingi kuliko matumizi yetu watanzania. Sasa haya ya kukatikakatika kwa umeme yanatokana na nini? Kama ni mgawo tena...
  10. Petro E. Mselewa

    PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Kwanini hukumpongeza na Ex Mayor wa Ubungo Jacob kwa alilolifanya? Mkuu acha double standards...
  11. Petro E. Mselewa

    Mfahamu malkia Victoria wa Uingereza

    Mkuu, PM walikuwepo tangu enzi hizo. Tazama hapa: Year Prime Minister (party) Victoria's British prime ministers 1835 Viscount Melbourne (Whig) 1841 Sir Robert Peel (Conservative) 1846 Lord John Russell (Whig) 1852 (February) Earl of Derby (Conservative) 1852 (December) Earl of...
  12. Petro E. Mselewa

    Mfahamu malkia Victoria wa Uingereza

    https://en.wikipedia.org/wiki/Queen_Victoria
  13. Petro E. Mselewa

    Mfahamu malkia Victoria wa Uingereza

    Lord Melbourne na wengineo....ni zaidi ya kumi
Back
Top Bottom