Unawez kwenda kuchukua posho yako ya leo kwakuwa umetumiza wajibu uliotumwa hapa JF leo. Gongolamboto watu wana akili zao sio wasaka posho za majungu kama wewe.
Bado sijaona mtu wa kumuondoa Waitara Ukonga 2020.
Ila kwakuwa ni demokrasia tunatarajia kupata mshindani kutoka ccm ili amsindikize.
Kazi za kimaendeleo zilizofanywa na Waitara kwa kipindi cha miaka miwili ni zaidi ya wabunge wote waliomtangulia. Kuanzia kwenye miundombinu ya elimu, afya...
pascal Mayallla habari za siku nyingi sana mkuu. Bila shaka umemaliza maonyesho ya sabasaba na wale mabinti wawili wamekuachia sasa unaweza kurudi JF kujifunza siasa japokuwa upo jukwaani.
Kama hiki unachotaka kumshauri Mh. Tundu Lissu unakiamini ulipaswa kuwa wa kwanza kukifanya, vinginevyo...
Asalam aleikum "wananzengo". Ni siku nyingi sana sijashiriki mijadala hapa JF lakini nimekuwa msomaji zaidi. Kutokana na mihemko ya kisiasa inayoendelea hapa nchini upotoshaji umekuwa ni mkubwa sana na watanzania wengine bila kutafakari wamekuwa wakilipuka na kufuata mizuka ya viongozi bila...
Bahati nzuri tangu jana nipo hapa Bomang'ombe na nimekuwa nikiongea na watu wa rika mbslimbali juu ya halmashauri ya wilaya ya Hai.
Wengi wanaridhika na kiwango bora cha utumishi toka kwa mbunge wao Mh. Mbowe.
Lakini pia wanaridhika na kiwango bora cha utumishi toka kwa baraza lao la halmashauri...
Hii ya JPM ni kengele ya hatari kwa viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani. Wakati sisi tunafikiria kujenga utaifa, kumbe Raisi wa nchi anafikiria kuijenga ccm kwa gharama ya kudhalilisha viongoxi wa upinzani.
Kwahakika raisi asiendelee kuhadaa watanzania kuwa ni raisi wa wote...
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIVYODHALILISHWA NA SERIKALI YA MAGUFULI
Makamanda pipozzzzz! Jana nilipokea mwaliko wa maneno kutoka kwa Mkuu wa Wilaya kupitia kwa Mkurugenzi wangu Manispaa ya Ilala wakinitaka niungane nao leo (jana) kwenye ziara ya Raisi Kinýerezi kuweka jiwe la msingi la...
As far as i know Eng. Dkt. Masika degree yake ya uzamivu sio fake.
Suala la kukiharibu chuo kwa kufukuza fukuza academic staff ni la kweli. Pia tuhuma za kutumia gharama kubwa katika miradi ya ujenzi wa majengo siwezi kulikataa.
Kwa taarifa tu ni kwamba alipokuwa Mkurugenzi wa Mafunzo DIT...
Ahsante kwa taarifa kamanda mpambanaji wa kweli Molemo. Tuko makini kufuatilia ukituleta mambo mazuri kitoka Mwanza The Rock City.
Nitumie fursa hii kumpongeza Dkt. Vicent Mashinji kwa kuaminiwa na Mwenyekiti na kisha kuungwa mkono kwa 100% na wajumbe wa baraza kuu.
Tuko pamoja na wewe...
Mbona matopeni fc (buku saba lumumba)wamepiga kambi kwenye uzi huu au wanadhani kuwa Chadema inateua Katibu Mkuu jangili mkuu wa Tembo kama wakwao? Kamanda Mbowe ataleta Jina la mtu safi, makini na mahiri.
Ninamfahamu vizuri Ndg. Primus Nkwera kitaaluma ni Civil Engineer. Elimu yake ni Shahada ya Pili (Masters-uzamili) ya uhandisi aliyoipatia nchini Hungary.
Kabla ya kujiunga na NACTE alikuwa ni mwajiriwa wa Taasisi ya Teknolojia Dar es salaam (Dar es salaam Institute of Technology - DIT) kama...
Mkuu Kimbunga habari za siku nyingi sana Sheikh. Usiyempenda kaja...Mnyika amepata ridhaa ya wananchi kwa miaka mingine Mitano...this time around I hope hutakuwa unampigia ramli ya kutorudi bungeni.
Anyway, tuyaache hayo yameshapita. Molemo sio Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kwahiyo humtendei...
Ahsante kwa taarifa mkuu Molemo na watanzania wana shauku ya kujua Chadema inasema nini kuhusiana na hali ya kisiasa nchini. Nami nitajisogeza Ufipa ili nisisimuliwe na mtu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.