Search results

  1. Rugby Union

    Saed Kubenea akamatwa, aunganishwa kwenye Kesi ya Mdee

    Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea amekamatwa na Jeshi la Polisi kwenye viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, baada yake kujumuishwa kwenye kesi ya Shambulio la Kudhuru Mwili inayowakabili wabunge wengine wa CHADEMA, Halima Mdee, Mwita Waitara na...
  2. Rugby Union

    Ummy Mwalimu, acha sifa mama!

    Leo ni Siku ya Akina Mama Duniani, magazeti ya leo yamepambwa na simulizi za Wanasiasa Wanawake, mmoja wapo akiwa Bi. Ummy Mwalimu, aliyeonekana kwenye Ukurasa wa Mbele wa Habari Leo, bila maelezo kumhusu. Kati ya mambo ambayo sibarikiwi nayo ni kitendo cha wanasiasa kuchukua sifa zote...
  3. Rugby Union

    Robo Fainali Kombe la Shirikisho

    Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) inatarajiwa kuchezwa wikiendi ya mwisho wa mwezi Machi mwaka huu, huku timu nane zikichuana kusaka nafasi ya kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo. Machi 26, 2016 utachezwa mchezo mmoja ambapo Wachimba dhahabu...
  4. Rugby Union

    Busy Signal: Praise and Worship

    Wimbo wa Dini, kusifu na kuabudu kutoka Jamaika, kwa msanii maarufu wa Reggae/Ragga/Riddim, Busy Signal... Furahia! Mistari
  5. Rugby Union

    NHIF yaingia makubaliano ya udhamini wa bima VPL

    Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) umeingia makubaliano ya udhamini wa bima ya afya kwa wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi kwa vilabu 16 vya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja. Akiongea na waandishi wa habari katika mkutano uliofnayika leo ofisi za TFF zilizopo...
  6. Rugby Union

    KUTOKA DAR ES SALAAM: Uzinduzi wa Kombe la Shirikisho Tanzania

    Leo kutoka Jijini Dar es Salaam, Azam Sports kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu wanazindua Kombe la Shirikisho ambalo litachezwa kuanzia msimu wa 2015/2016. Fuatana nasi kwa taarifa zaidi... ============================== ============================== Droo ya mashindano...
  7. Rugby Union

    Meli kubwa zaidi duniani Freedom Ship

    Moja kati ya kampuni nyiiingi iliyopo Florida nchini Marekani imekuja na wazo la kujenga meli iitwayo ‘Freedom Ship' itakayokuwa na kila kitu cha kuifanya iwe jiji linaloelea juu ya maji. Wabunifu wa wazo la meli hiyo wametoa michoro ya picha za meli hiyo itakavyokuwa pindi...
  8. Rugby Union

    TAARIFA KWA UMMA: Tahadhari ya Ugonjwa wa Kipindupindu

    Hii ni taarifa ya Wizara ya Afya iliyotolewa mwezi Mei kuhusu mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu kwenye Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko Mkoani Kigoma, taarifa hii ni muhimu kwa sasa baada ya ugonjwa kuibuka sehemu za Dar es Salaam na Morogoro na watu kadhaa wamesharipotiwa kufariki na...
  9. Rugby Union

    Basi la Kampuni ya Wakati linalofanya safari kati ya Rombo na Dar limepata ajali Kilimanjaro

    Basi la Wakati, linalofanya safari zake kati ya Dar-Rombo-Dar limepata ajali kwenye kona ya Mto Ungwasi, Mkuu Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro asubuhi hii. Kwa mujibu wa Katibu wa Chama cha Wafanyakazi Madereva TADWU Mkoani humo hakuna vifo vilivyoripotiwa ila majeruhi. Taarifa zaidi...
  10. Rugby Union

    Diego Maradona atangaza nia ya kutaka kumrithi Blatter

    NGULI wa soka wa Argentina, Diego Maradona ameamua kugombea nafasi ya urais wa Shirikisho la Soka Duniani-FIFA kuchukua nafasi ya rais wa sasa Sepp Blatter. Kwa mujibu wa mwandishi na mtunzi Victor Hugo Morales amedai kuwa maradona alimwambia nia yake hiyo wakati alipompigia simu kutaka kujua...
  11. Rugby Union

    Kutoka Zurich: Blatter ashinda tena Urais FIFA

    Kufuatia kashfa ya rushwa katika shirikisho la Kandanda Duniani (Fifa), Ijumaa wiki hii shirikisho hilo litamchagua rais mpya kati ya washindani wawili. Sepp Blatter ambaye anawania muhula wa tanu akiwa na umri wa miaka 79, na mpinzani wake mwanamfalme Prince Ali, mwenye umri wa miaka 39...
  12. Rugby Union

    Waziri: CCM kuachia madaraka endapo itashindwa Uchaguzi Mkuu 2015

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia mambo ya Muungano, Samia Sululu (Mbunge), amekiri hayo wakati akitoa mjumuisho ya bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2015/16. Amesema CCM haina shida na kuachia madaraka, mradi tu Upinzani ufanye kazi ya kisiasa kushinda uchaguzi huo!
  13. Rugby Union

    Ni wakati wa Juma Nature kutangaza nia jimbo la Temeke

    Ni miezi kadhaa imepita tangu Juma Kassim 'Juma Nature', 'Kiroboto', 'Kiblah' 'WaKumbwanda' ahusishwe na Uwakilishi wa Jimbo la Uchaguzi la Temeke kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muda umekwenda hasa, zaidi ya Nature kusema kwenye vyombo vya habari kuwa anaweza kuupata ubunge...
  14. Rugby Union

    Angalizo kwa wanaoenda kwenye usaili na vyeti halisi

    Kutokana na watu wanaoenda kwenye usaili wa nafasi za kazi kutakiwa kwenda na vyeti halisi vya kitaaluma na vinginevyo, ipo haja ya kuchukua hatua kadhaa kwa usalama wa vyeti hivi. Baadhi ya vyeti muhimu huwa havitolewi kwa mara ya pili na mamlaka husika endapo vitapotea (mfano vyeti vya NECTA...
  15. Rugby Union

    Mafunzo kwa Walimu wa Shule za Msingi Kwa Lengo la Kuwajengea Uwezo wa Kufundisha Mtaala Mpya

    OWM-TAMISEMI kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imeandaa mafunzo kwa Walimu wa Shule za Msingi kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kufundisha Mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Darasa la I na la II. Mtaala huu unatokana na malengo ya Serikali ya kukuza stadi za Kusoma, Kuandika na...
  16. Rugby Union

    Msimamo wa Ligi Kuu Bara, baada ya mechi za jana

    Huu ni msimamo wa Ligi Kuu Bara, baada ya mechi za jana Jumatano
  17. Rugby Union

    Polisi wamempora/kumpiga mwanangu

    Picha linaanza mwanangu ametoka kwenye Sherehe za timu ya soka ya Texas Dume waliokuwa wanashangilia ushindi wao wa Kombe la Diwani wa kata ya Mikocheni, Mchezo ambao ulichezwa jana katika uwanja wa Shule ya Msingi Mikocheni na Texas kuibuka na ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Morning Star...
  18. Rugby Union

    Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni yawasili Misri

    Timu ya Taifa ya soka la Ufukweni (Beach Soccer) imewasili salama jijini Cairo nchini Misri tayari kwa mchezo wa marudiano dhidi ya wenyeji kuwania kufuzu kwa fainali za mataifa Afrika zitakazofanyika Visiwa vya Shelisheli. Msafara wa timu ya soka la Ufukweni ulipokelewa na maofisa wa Ubalozi...
  19. Rugby Union

    Mbeya City yakanusha kufukuza kocha

    Klabu ya Mbeya City Fc, tumesikitishwa na habari iliyotolewa na gazeti la Mwanaspoti toleo Namba 1731 la tarehe 17-18 March 2015 yenye kichwa cha habari Mbeya City yatimua kocha Hii ni habari ya uwongo na uzushi mkubwa ambayo mwandishi ameandika kwa utashi wake bila hata nukuu yoyote kutoka...
  20. Rugby Union

    Tumetoka mbali

    Pichani ni mtu mmoja maarufu, enzi zake akiwa kasichana...
Back
Top Bottom