Nashangaa sana kwa namna watu wanavyodhani Melo amewekwa mfukoni kisa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Watu wanasahau mapema sana
Melo ndio amekuwa mstari wa mbele kabisa kupigania Ulinzi wa Taarifa Binafsi hadi kuwepo kwa sheria na Kanuni zake, kwa nafasi hiyo naamini...
Mpaka leo Mkuu bado una mentality ya kuwa nyumbani na ugenini mbona mpira siku hizi hauna hiyo. Mtu anapigwa popote pale akikaa vibaya.
Nyumbani na Ugenini ilikuwa kipindi cha miaka ya 2000, Ferguson na Mourinho walivyojijengea ngome zao. Lakini Mourinho mwenyewe siku hizi hata akiwa nyumbani...
Doku alidhani anakutana na beki wa Bournemouth, matokeo yake akakutana na beki aliweza kuwanyamazisha watu kama akina Rafael Leão na Vinicius Jr.
James na assist akatoa 😂😂
Kwa kweli game ambayo nami nilishangaa kwanini hakucheza ni dhidi ya Blackburn lakini nikawaza labda huenda kwa kuwa tulitoka kufungwa na Brentford Kocha akaona asicheze pata potea.
Maana ukweli ni kwamba Carabao ni kombe tuna matumaini ya kupata.
Ile dhidi ya Wimbledon asingeweza maana...
Sio big game. Timu inayofunguka na kushambulia, timu inayoweka low block na kutumia sucker punch bado hatupo njema. Kama nilivyosema tunajitafuta na tutajipata tu
Lakini hilo ndio soka. Muda mwingine Kocha unafanya sub ukiamini utabadili kitu. Muda mwingine unafanikiwa muda mwingine haufanikiwi, wachezaji wanatakiwa kuwa tayari muda wote.
Madueke angetoa pasi na Jackson kufunga ungemsifu sana kocha. Timu inaonekana kuelekea vema, tungoje majeruhi wote...
Droo ya Klabu Bingwa Ulaya kwa msimu wa mwaka 2021-22 inachezeshwa leo huko Instanbul, Uturuki kuanzia majira ya saa 5pm (BST) au saa 1 jioni (Saa za Afrika Mashariki)
Timu 32 zitashiriki katika kupangiwa makundi, 26 zikiwa zimepita moja kwa moja na nyingine 6 zikitokea katika play-offs
Tumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.