Kuna hili tatizo naomba wahusika na mamlaka za Serikali zilishuhulikie,mimi natumia mtandao tajwa hapo juu,wana huduma wanazotoa bila idhini ya mtumiaji,huduma kama HALOWIN,BBC etc,wanachokifanya wanakuingiza bila idhini yako,wanaambatanisha/kukutumia jumbe zisizo na maelezo ya kutosha,ama...
Kulikua chuo kimoja cha UNIVERSITY OF EAST AFRICA, kikagawanyika na kutoa vyuo vitatu(3),University of Dar es salaam, University of Nairobi na Makerere University, pia vyote vinaendeshwa na kusimamiwa na Serikali.
Vya wenzetu vina dahili na kutoa wanafunzi mara 2.5.
1.Je ni maandalizi mabaya ya...
Wanabodi,
Kuna hili nimeliona muda mrefu la bidhaa za TBL hasa baadhi ya vinywaji vyao(Bia), sana sana bia aina ya Safari, Kilimanjaro.., kila ukifungua mfuniko husika (kifuniko, kizibo) unakua na kutu nyingi upande wa ndani na sehemu zinazoshika chupa ambayo hujaa pia kwenye chupa, ni zaidi...
NOTE: INAHITAJI ADVANCE ANDROID USER,
ROOT SIMU YAKO (ATAKAE TAKA JINSI YA KUROOT ANI PM NA DETAILS ZA SIMU YAKE HASA KERNEL VERSION AMA BASEBAND)
UKIROOT KWA MAFANIKIO DOWNLOAD 2Lines for WhatsAPP KUTOKA PLAY STORE,ALAFU GRANT SUPER USER ACCESS, BAADA YA HAPO CONFIGURE HIYO APP BY ADDING...
WanaJF
Nimekutana na wanafunzi wengi sana wakiandamana na mabango yaliyoandikwa
' HATUMTAKI MWALIMU MKUU ' wakielekea kwa mkuu wa mkoa,wamesimamishwa na
Polisi na FFU
eneo la Sakina kwa Idd,Arusha
Wapo viongozi wakubwa wa polisi na defender zao wanawazuia,vijana wamechachamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.