Binafsi mimi ilikuwa 2022 hiyo natoka zangu Dodoma kuelekea Kibondo Kigoma, basi apo mjini Dodoma nikapanda SATCO inayoelekea Bukoba ili nikashukie Nyakanazi theni niunge na Casablanca (Wenyeji wa hii mitaa wanazijua hizi basi moto wake) mpaka Kibondo.
Sasa picha linaanza kweny siti nilipata...
Wakuu habari,
Nimegraduate Bachelor of Science in Forestry 2022, na kwa sasa nipo Dodoma najitafuta.
Natafuta mtu yeyote anaeweza nisaidia kupata nafasi ya kufanya Internship kwenye ofisi ya NEMC Kanda hapa Dodoma. Anaeweza nisaidia nitamfata PM.
Asanteni
Wakuu habari za humu,
Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Forestry mwaka 2022, kwa sasa nipo Dodoma , naomba msaada kwa yeyote anaeweza nisaidia kupata sehemu ya kujitolea, location yeyote nipo tayari kuja.
Mawasiliano yangu 0683877594
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.