Search results

  1. M

    Viongozi wa dini, iepukeni dhambi hii

    Kwa kipindi hiki tunapoelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata kumekuwa na tabia ya viongozi wa serikali kuwaalika viongozi wa Dini kwenye matukio mbalimbali. Lakini pia kumekuwa na kawaida ya viongozi wa serikali kutoa mamilioni ya shilingi kama michango ya...
  2. M

    Hoja za Tundu Lissu kuhusu Muungano na ardhi ya Tanzania kugawiwa Waarabu.

    Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa. Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya Hekta. Kutokana na hoja hizo, naomba watu wa serikali watoe majibu ya kina na ya kweli, vinginevyo...
  3. M

    Wachungaji wetu mtaendelea kutupumbaza mpaka lini?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wachungaji wanaojinasibu eti wana uwezo wa kutenda miujiza kama vile kuponya watu, nk. Binafsi naona huu ni Utapeli uliokomaa na kuvuka mipaka. Je, Utapeli huu utakomeshwa lini na nani wa kuukomesha?
  4. M

    Rais Samia umeingizwa mjini, hukupaswa kumwondoa Paul Makonda kwenye Uenezi

    Kumwondoa Paul Makonda kwenye uenezi umeharibu kabisa. Makonda anakubalika sana hata na baadhi wasio wana CCM, kwa hiyo angeweza kuvuta vijana na watu wengi sana. Makonda ana kipaji cha pekee cha kukubalika na watu. Mama, washauri wako wamekuingiza mjini na pengine yawezekana kwa maslahi yao...
  5. M

    Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania kutoka usingizini

    Mungu, Watanzania wamepigika na wamechoka kweli kweli. Wakati Watanzania wanahangaika kila siku kutafuta angalau mlo wa siku, Mawaziri, Wabunge na waandamizi wengine wa serikali wanaishi maisha ya ANASA na hawajali hata kidogo shida za Watanzania. Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania ili kila...
  6. M

    Mkumbukeni Hayati Magufuli

    Ndugu watanzania wenzangu, leo ni siku tulipotangaziwa kuzimika kwa nuru ya ukombozi wa watanzania. Tuunganane pamoja kuomba Mungu awaibue akina Hayati Magufuli wengi maelfu kwa mamilioni hasa tunapoelekea kufanya chaguzi za serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Kila mtanzania kwa sasa...
  7. M

    Kwa hali hii atagombea tena 2025?

    Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti. Je, atagombea tena 2025?
  8. M

    Kwa hili tatizo la umeme Mama hasikii kilio cha wanaye

    Umeme umekuwa shida kuu hapa nchini, kila kona ni vilio kutokana na uhaba wa umeme. Mama hasikii kilio cha wanae, tumekuwa watoto yatima ingawa tunaye mzazi. Nani atakuja kusikia kilio cha watanzania kutokana na uhaba wa umeme?
Back
Top Bottom