Wakuu samahani, nauliza kama Sao hill wana ofisi zao kuanzia tegeta hadi Bunju.
Nahitaji kununua mbao treated baada ya pasaka na nimeona watu wanawasifia sana kuwa wanaaminika kuliko wengine ambao wanaziwekea rangi ya ukiri wakidai ni treated.
Kama wanazo naomba mtu anielekeze ni wapi.
Asante
Kuna mtu yeyote ambaye anajua software yoyote ambayo inaweza kufanya kazi kama voice Q inayorun kwenye windoes na inatoa features za dubbing kama voice Q
Kama kuna watu wamesoma na wanajua mambo ila wanatumia elimu yao kutapeli ni wanaija.
Dozy ni mnaija anayedai kuwa ni CEO na Mwanzilishi wa Tingo Mobile. Jamaa alianzisha tingo mobile ikiwa na model ya kuwakopisha wakulima wa naijeria smartphones, ila baadaye akaanzisha soko la kidijitali...
Dunia iko kasi kweli. Sam Altman ambaye ni CEO wa open AI kafunga ndoa na mpenzi wake ambaye ni dume mwenzake. Sam ambaye katika mahojiano fulani alisema wazo la Chagpt alilipata akiwa kwenye msongo wa mawazo wa kuachwa na boyfriend wake wa awali ambaye alidhani atamuoa.
Haya mambo haya baada ya...
Wakuu habari,
Nataka kuunda video ambayo nitakuwa nikitoa maelekezo kupitia mic huku nikirekodi screen kwenye pc ya kile nikachokifanya.
Ni software gani inayoweza kunisaidia kufanya hilo ambayo haina watermark na output yake ikawa ni mp4.
Chief-Mkwawa
Katika pita pita zangu mtandaaoni, nimekutana na review ya device za Huawei na Harmony OS kwa who is the boss.
Aisee Harmony OS ni kali sana, hasa devices zake zinavyopair na kuinteract yani ni instantly.
Mfano unasikiliza mziki kwa kutumia wireless earpods zikiwa connected kwa simu halafu mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.