Utangulizi
Maandalizi magumu Mafanikio makubwa, nikiwa nasoma habari kadhaa kwenye maandiko matakatifu nikajua kweli maandalizi magumu Yana Mafanikio makubwa
Ushuhuda wa kwanza
Habari ya Sporah binti WA kuhani wa midiana ,huyu Dada katika ujana wake alikutana na changamoto nyingi Sana katika...
Utangulizi
Mara ya Kwanza mkristo unapopata Neema ya kuhokoka , Roho Mtakatifu anaingia ndani yako na pale anapoingia ndani yako kuna kiu ya kutaka kumjua Mungu Sana inaingia ndani yako
Unakuwa na kiu kubwa Sana ya kumjua Mungu na wengine Kwa kukosa msaada wanajikuta wameingia kwenye njia...
Utangulizi
Idadi ya watu ambao wanaomba kazi , kila mwaka imekuwa ikiongezeka mwaka Kwa mwaka , na kila mwaka vyuo vinatoa wataalamu WA Aina mbalimbali
Watu wengi awajui kwamba nafasi ya ajira ni fursa ya Mungu au miungu kutawala ofisi usika, umewai kusoma habari za Daniel , alipoitwa...
Utangulizi
Katika jamii Yetu ni kweli sio rahisi ukafanikiwa pasipo kupata MTU WA kukushika mkono, lakini ni kosa kubwa Sana la kuweka tumaini Kwa Mwanadamu
Ni kweli tunategemeana na tunapaswa kuishi Kwa kueshimiana na kumwona mwenzako ni Bora kama wewe na vitu kama hivyo
Lakini katika Mambo...
Utangulizi
Nimekua nikisoma habari mbalimbali katika mitandao ya kijamii, katika Jambo ambalo linanipa maswali ni mabadiliko ya vigezo vya kuoa au kuolewa
Wakati nikiwa kijana mdogo kuna maswali yalinisumbua sana, mana mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na nyumba za watumishi WA umma (magorofa...
Utangulizi
Miaka 12 iliyopita wakati nikiwa shuleni Niko kwenye sehemu ya chakula najiandaa Kwa ajili ya ibada ya jioni , Kwa mara ya Kwanza nilimskia Mungu akisema Nami wazi wazi kwakweli nilishangaa Sana, Mungu alisema Nami juu ya tukio ambalo liko mbele yangu.
Nakumbuka katika ibada hiyo...
Sio kila Neno ambalo unaambiwa na Mtumishi au rafiki yako limetoka Kwa Mungu
Utangulizi
Watu wengi duniani Kwa sababu ya kusikiliza maneno ya watu wamepoteza kesho Yao na wengine wamepoteza Maisha Yao kabsa
Sio kwamba kusikiliza ushauri wa watu ni Vibaya , hapana sio kila ushauri unaopokea...
Utangulizi
Mwaka 2023 kulikuwa na Mambo mengi ambayo yalitokea na mengine yalinivunja Moyo na kuna mahali nilifika kidogo kidogo Imani ndani yangu ilianza kuondoka juu ya uaminifu wa Mungu
Ile kwamba Mungu ajakupa kile ambacho umemwomba miaka Mingi usijaribu kupunguza heahima ya Mungu moyoni...
Utangulizi
Nilipokua naanza kusoma biblia kama neno la Mungu niliposoma kitu cha Kwanza kabsa juu ya Baba zetu Adam na Eva nilichojua kilichopelekea wao kufukuzwa bustanini ni kutokutii maelekezo ya Mungu ya kula tundra la mti wa ujuzi wa Mema na mabaya.
Hata Leo ndivyp watu wengi wanaamini...
UTANGULIZI
Historia ya maandiko na sayansi ya tiba inatuambia juu ya matumizi ya kileo kama tiba ya malazi ya tumbo etc
Kitu chochote kinapotumika pasipo kihasi kinakuwa ni kileo, haijalishi ni kitu cha aina gani ? Neno la Mungu limesisitiza Sana juu ya kiasi
1 Petro 5:8 Mwe na kiasi na...
UTANGULIZI
Maisha ya mwanadamu yamefungwa ndani ya mifumo, hakuna kitu ambacho kiko nje ya mfumo, wakati Mungu anamuumba mwanadamu aliweka mifumo Kwanza Kabla ya kumweka mwandamu ili mifumo iweze kumsaidia mwanadamu kuishi ndani ya mifumo
Matendo ya Mitume 17:26 Naye alifanya kila taifa la...
Ulimwengu wa Roho ndio uliumbwa Kwanza Kabla ya ulimwengu wa Mwili, wakati Mungu anamuumba mwanadamu aliumba Roho Kwanza Kabla ya Mwili
Wakati Mungu anaumba wanyama na miti na Vyote vinavyotambaa aliumba Roho Kwanza Kabla ya Mwili.
Vita siku zote zinafanyika kwenye ulimwengu wa kiroho , na...
Nje ya Yesu hakuna usalama , nje ya Yesu hakuna ulinzi , nje ya Yesu ni hatari nje ya Yesu kuna hatari nyingi hakuna Amani nje ya Yesu.
Maisha Yetu nje ya Yesu ni kama tuko mawindoni, siku zote aduhi wetu shetani ni kuwinda uhai wetu , Maisha yetu hayatofautiana na wale wanayama walioko porini...
Katika pita pita zangu kwenye mitandao nimekuwa najiuliza maswali mengi pasipo kupata majibu, Jambo ambalo limekuwa najiuliza Kwa habari ya mahusiano hasa ya wanandoa na mahusiano ya kawaida.
Kitu ambacho katika jamii kinakwenda kwa kasi sana ni watu kutamani mahusiano ya zamani (X-reationship)...
Utangulizi
Miaka ya 2000s kipindi kile cha wapenzi wa mpira wa Miguu tunakumbukumbu za mchezaji wa Brasil wakati huo alikuwa ni Ronaldo kwakweli alikuwa ni mchezaji mzuri Sana na kwakufanya vizuri kwa Brasil kulikuwa na mchango Mkubwa sana kutoka kwake
Matokeo Yake wazazi wengi wakawa...
Ni miaka 12 imepita Sasa toka nimalize masomo haikuwa rahisi baada ya miaka 4 ya masomo pale Dar es salaam Kwa Neema ya Mungu tukamaliza masomo
Kwakweli haukuwa rahisi hasa kutokana na changamoto za hapa na pale, nakumbuka kuna kipindi niliona kama sitaweza kumaliza chuo kutokana na changamoto...
UTANGULIZI
Maandiko matakatifu yanasema mwili wa mwanadamu hauwezi kumpendeza Mungu, maana mwili hauokoki na hauna ajenda za kwenda mbinguni ndio maana waufuatao mwili wamefarakana na Mungu
Njia za Kuushinda Mwili
Mithali 29:18 Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule...
A. Kutokusamehe
B. Kuwa na Matarajio yasiyo halisi
C. Kutokuchukuliana madhahifu
D. Kutokujua wajibu wako katika mahusiano
E. Kipato
Jambo la kwanza
Kutokusamehe
Kwakweli kuna kitu ambacho waganajiuliza inakuaje wanandoa wemeachana miaka 10 au 20 lakini ukikaa nao utaskia mmoja anasema...
Kumbukumbu la Torati 8:17-18 Hapo usiseme moyoni mwako, Nguvu zangu na uwezo wa mkono wangu ndio ulionipatia utajiri huo. Bali utamkumbuka BWANA, Mungu wako, maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri; ili alifanye imara agano lake alilowapa baba zako, kama hivi leo.
Utangulizi
kanuni za...
Ushuhuda
Kuna Mdada mmoja alimaliza chuo miaka 4 imepita , baada ya kumaliza chuo Mambo yakawa Mambo, ameingia mtaani hakuna ajila akatafuta huku na Kule hakapata mahali pa kujishikiza
Miaka ikaenda, mwaka WA Kwanza hakuna ajira , mwaka wa pili kapambana kila anapokwenda kwenye intervie Mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.