Habar maboss poleni majukumu
Spare za honda crossroad zipo dukan kwa sasa
Nimeshusha 100pcs za shock up mbele jana na mpaka sasa zimebakia 20pcs nunua weka akiba kwa ajili ya gari yako maana zikiisha upatikanaj wake mgumu
Kyb japan katoa lakin kazikosea juu kweny shaft mpaka upeleke...
Habari wana JamiiForums.
Kijana wenu bado nipo na mitikasi ya kupokea nini unahitaji nikupe mawazo, ushauri na unachohitaji kulingana na mahitaj yako.
Spare za magari kama Nissan, Toyota , Honda, Subaru, Mazda, Mitsubishi, hyundai, Suzuki.
Biashara ya spare kwa sasa haipingiki imekuwa na...
Habari wana Jf
Zingatia haya kabla hujaamua kumiliki gari, au kama una gari basi endelea kuyazingatia yafuatayo ili pesa uliyotumia kuagizia gari yako isipungue kwa kasi.
1. Fanya Service/Matengenezo madogo na makubwa ndani ya mda. Matengenezo madogo namaanisha kubadiri oil ya injini na gia...
Kulikuwa kuna ndugu wawili mwanamke na mwanaume, lakini hawa ndugu walikua ni mayatima wazazi wao walishafariki.
Sasa kwa bahati mzuri huyu wa kike akapata mume akaolewa na akabahatika mtoto mmoja wa kiume.
Baada ya muda fulani pale kijijini pakatokezea ugomvi mkubwa, mpaka mume wake na...
Haya ni maelezo kutoka kwa dada mmoja.
"Mwanangu alikuwa na umri wa miaka 12 na sala kwake ilikuwa kama mzigo mzito.
Kuna siku moja nilimwambia asali na nikawa nina mchunguza.
Alichukua busati na kulutupa kwenye sakafu. Nikamwuliza kama alisha sali, akasema NDIYO.
Huwezi amini, bila ya...
1. Zima simu yako kabla ya hujalala
Wengi wanajiuliza kwanini Sipati Usingizi usiku wakati umeishika simu Mkono, Huna kitu cha Maana Zaidi ya kuscroll juu chini kama Mwendawazimu
Kila Mtandao unaingia Kwa sababu una bando, UPUUZI!
Zima simu ulale, unayemsubiri hakutafuti Leo
2. Lala Masaa 7+...
Habari ! Wana Jf Leo nimewaletea Uzi kuhusu Spare za magari Unamiliki Gari na gari yako ina changamoto ya aina yoyote Uliza bure na unapewa ushauri bure
TAHADHARI [emoji91]
Ewe mmiliki wa gari Kuwa makini na gari yako unampa fundi gani Kuna sakata La kuibiwa MASEGA Kipindi hiki gari inakosa...
Kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na wimbikubwa la watu linalalamika kwamba maishayamekewa magumu.
Kwa sababu hii pia watuwengi wamekuwa wakikata tamaa na kuonamaisha hayafai ni bora waishi hivyo hivyo ilimradisiku ziende.
Malalamiko ya maisha kuzidi kuwa magumuyamekuwa yakisikika sana...
*MBINU MOJAWAPO INAYOTUMIKA KWENYE WIZI WA MTANDAO*
Tafadhali, naomba ku-share nanyi mbinu mojawapo inayotumiwa na wahalifu katika kufanikisha wizi kwa njia ya mtandao. Huu ni uzoefu nilioupata baada ya kufanya mahojiano na mtuhumiwa mmojawapo wa kesi za aina hii.
Katika tukio husika, kuna mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.