Habari zenu wataalamu, naomba nipewe elimu kuhusu huu mchezo wa MTFE maana nahisi huenda nikiweka visenti vyangu nitapigwa.
Mtu aliyenishawishi ni jamaa yangu wa karibu na akanishawishi kuwa ni biashara mtandao ya kununua dola online kisha unaziuza. Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata...
Ni miezi kadhaa sasa tangu mwanamke niliyekuwa ninaishi nae kwa miaka saba na kubahatika kupata watoto 3 kufikia maamuzi ya kusema kila mmoja ashike hamsini zake kutokana na migogoro mbali mbali ndani ya familia.
Nilitumia ushawishi mkubwa kumuelewesha madhara ya uamuzi huo anaochukua LAKINI...
Nimekaa nimetafakari kwa kina hii kauli ya "kulinda viwanda vya ndani"nimejikuta nimepandwa na ghadhabu ghafla na hii imechagizwa na bei ya sukari niliyokutana nayo nilipoenda kununua sukari kwa mangi 1 kg ni tsh 2800!!! ___ Nilimdadisi bwana mangi kwa nini sukari ina bei ghali hivyo?
Katika...
Habari wadau,nimehangaika kwa muda mrefu kupata jina la wimbo huu bila mafanikio ni wimbo wa zamani na sehemu ya mashairi yake yanasema "NIMEACHANA NA MUME WANGU NIMEKWENDA KWA REHANI,BAADA YA MUDA REHANI KANIKIMBIA ETI SINA TABIA NZURI. kwa ambaye anaufahamu naomba anitajie jina la wimbo na...
Habari wakuu,
Leo naomba tuelezane diss track ambayo unaikubali kutoka kwa wasanii wetu wa Tanzania kutoka katika aina yoyote ya mziki kuanzia bongo fleva, taarabu, zouk, hip hop, dansi, singeli.
Kwa upande wangu diss track kali ya muda wote ni kutoka kwa Nick Mbishi aliyomdiss Ney wa Mitego...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.