Search results

  1. officialBossmtoto

    Mgogoro wa ardhi waibuka Kindondoni, mawe yapambanishwa na risasi

    Kuna muda nilipita nikakuta boda na raia wengi sana hapo maeneo ya kinondoni kwa Tarimba. Boda akawa amesema ni mgogoro wa ardhi ambao kuna tajiri anaitaka hio mali kwa nguvu. Sina taarifa kamili wala za uhakika. Ila sasa imefika hatua silaha za moto na mawe yanatumika.
  2. officialBossmtoto

    Kushindwa kujizuia pale ashki zinapokukamata

    Leo nimekumbuka tukio lililonishika pabaya mwaka wa 2008 kama sio 2009. Nikiwa nimejilaza pale Monjes Guest house mitaa ya Kaloleni Mkoani Arusha, nilikua nachat na mtoto mmoja wa kimbulu ambae nilimtoa Facebook. Mpaka mida ya saa mbili usiku tulikua tumekubaliana yuko kwenye kiFodi (majina ya...
  3. officialBossmtoto

    Msaada haraka kwa mtu anaehitaji kufata fursa Afrika Kusini

    Ndugu zanguni habari za wakati na muda kama huu. Matumaini unausoma ujumbe huu ukiwa mzima wa afya na kama kuna changamoto basi Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi. Nia na madhumuni ya jumbe hii ni kupata msaada kidogo wa kimawazo kuhusu Africa kusini na jinsi ya kwenda Je kuna uhitaji wa visa...
  4. officialBossmtoto

    Massage za Dar

    UPDATE. POLE KWA TAARIFA KABLA YA UZI. KUNA WATU WANATAKA KUPUSH AJENDA KWENYE UZI HUU TAFADHALI WAPUUZIENI TUENDELEE NA UZI WETU WATAPOTEA TUU. Massage ni huduma muhimu sana kwenye maungo ya mwili. Hasa ukizingatia mihangaiko ya hapa na pale, kukaa kwenye Ac mda mrefu, kuendesha gari mda...
  5. officialBossmtoto

    Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

    Tumekua tukiona nyuzi mbali mbali za watu wakisaidiana na kupeana bei elekezi za utelezi na maeneo husika unapopata telezi hizo, sasa mnaonaje tukawa na uzi wa kuelezea maeneo sahihi ya kuchinjia (Lodge) Hapa tutaweka maeneo tofauti tofauti hapa mjini Dar na bei zake elekezi ili kwa wasiojua...
  6. officialBossmtoto

    Bado hapa nifunge ukurasa wa mabinti niliowafaidi Social Media

    Wanajamvi wa MMU salama za Dhati kwenu. Aisee kwanza nianze kwa kudeclair interest, Humu jamvini mimi ni mkongwe sana. Tangu mwaka 2008 nipo humu, kwa unoko wa watu fudenge (Sisemi ma-Mod) accoint kama tatu zilikula ban. Saivi nakiwasha kupitia na User ID hii. Naomba sasa nianze na uzi. Katika...
  7. officialBossmtoto

    Google inamtambua Mo Dewji kama mmiliki wa Tanzania

    Ukiingia pale Wikipedia, Huyu jamaa amejitangazia (Ametangaziwa) Jamhuri yetu ya Tanzania ni mali yake [emoji23]. Yaani kwamba tuko chini ya umiliki wa jamaa. Sasa nawaza kule kupotea kwake pale Coliseum na baadae kukutwa Maeneo ya ufukweni, ni lilikua jaribio la kumpindua ama? Je nchi hii...
  8. officialBossmtoto

    Mrejesho: Nimerejea kazini baada ya sekeseke langu kupata utatuzi

    Kama mnakumbuka kisa kilichonikumba mpaka kupelekea kujifukuzisha kazi huku nikiacha msako wa kunitafuta ukiendelea basi leo nina furaha kuwaletea mrejesho. Tamaa imeniponza, nimeamua kujiachisha kazi Sitaki kuzungumza sana maisha pale Morogoro, ila kiukweli changamoto zilikuwa nyingi. Nilianza...
  9. officialBossmtoto

    Naachana na Hotel rasmi, sasa ni mwendo wa lodge

    Unajua ukizoea vidada vinavonata sana alafu ukiwa na kipesa kidogo cha kubadilisha totoz basi unaona sawa tu kuharibu laki kulipia kiwanja tuu kwa ajili ya pambano. Nimegundua huku kwenye Lodge kuna raha zaidi aisee. Kwanza chumba kidogo binti anakua hana purukushani nyingi [emoji23] maana...
  10. officialBossmtoto

    Mwizi anaruhusiwa kuwekeza kwa pesa ya wizi?

    Nisaidieni utata huu. Je, ni sahihi pia kama mwizi akiiba halafu fedha ile akaiwekeza? === Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Kenya, Nancy Gathungu amependekeza watu wanaoiba fedha za umma wawekeze nchini humo ili kuchochea maendeleo, badala ya kuzificha nje ya nchi. Benki ya Dunia...
  11. officialBossmtoto

    Naombeni msaada wa haraka

    Nimebahatika kwa mara ya kwanza tangu mwezi wa tatu mwaka jana kumtoa out. Niko nae hapa maeneo fulani sasa naomba ushauri, nizuge zuge kwa dakika ngapi kabla kuanza kumpapasa mapaja?
  12. officialBossmtoto

    Tamaa imeniponza, nimeamua kujiachisha kazi

    Nimeamua kuacha kazi na kuingia kwenye udalali huku bosi akinisaka na polisi Mbosso alisema mapenzi Gharama? Ufisi Gharama zaiiidi. Hii haikua kwa kupenda kwangu bali ni tamaa ya kupenda Uchi na hofu ya kupoteza maisha au Uanaume wangu. Mimi ni kijana wa miaka 28 nilikua nimeajiriwa na nafanya...
  13. officialBossmtoto

    Waliopanda mabasi ya mkoani njooni tujadili kitu

    Kuna hoja nzuri sana iko bungeni na inalenga au ina lengo la kuendeleza shughuli za usafiri wa mabasi na kurahisisha. Hoja ya kuruhusu mabasi ya abiria yatembee muda wote inaweza saidia sana kwani abiria watakuwa hawalali tena barabarani kungoja kupambazuke ndo waendelee na safari. TATIZO KUBWA...
  14. officialBossmtoto

    Hii inasababishwa na woga au mazoea?

    Kwanza kabisa naomba kueleza moja kwa moja kwamba sina nia ya kuzusha mabishano, napenda mjadala huu uwe positive sababu ni kitu ambacho nimekishuhudia live. Nikiwa kwenye bajaji ya kutoka Mbezi kwenda Mwenge tulikua abiria wanne na dereva. Kiti pembeni ya dereva alikua amekaa Binti ambae...
  15. officialBossmtoto

    Tetesi: Watanzania waliojiunga na kampuni ya BESTIBEI wametapeliwa

    Bado kidonda cha Kalyinda hakijapona kwa Watanzania wengi, Tayari kuna tetesi na dalili zote za kipigo kizito kwa Watanzania wengine waliojiunga kwenye mchongo Pacha wa Kalyinda uitwao Bestei. Best Bei hii ilianza kutangazwa mara tuu Kalyinda ilipofungwa na walitoa mda kwa watu kukusanya hela...
  16. officialBossmtoto

    Je, ni ukosefu wa ajira au ni tamaa? Nini sababu ya kutapeliwa?

    Hivi karibuni kumezuka kwa ghafla sana mamitandao mengi sana ya E-commerce ambayo kimsingi yanawapa watu matumaini ya kutoka kimaisha kwa kuwaambia kwamba, mtaji ni sim yako tuu. Unaweka kiasi fulani unaanza kuvuna kiasi fulani kila siku. Tumeona makampuni fulani fulani yakifungwa na kusepa...
  17. officialBossmtoto

    Fursa iliyojificha kati kati ya utapeli

    Habari wana jamvi wenzangu. Poleni sana lakini pia hongereni sana kwa majukumu ya kutimiza ndoto zenu. Kwanza niseme kabla ya kuendelea kwamba uzi huu sio rafiki sana kwa mtu mvivu wa kusoma, pia uzi huu unahitaji kidogo kutuliza akili ili unielewe. Tuweke mihemko pembeni. Turudi kwenye Mada...
  18. officialBossmtoto

    Wasichana Mabinti pisi kali na mmomonyoko

    Wasalam. Naomba nisiwachoshe sana niwapeleke tu kwenye dhumuni la hii thread [emoji3468] Kwa Muda sasa wa kama miaka miwili kumekua na wimbi kubwa sana la wale wadada wanaojiita pisi kali, Mali safi na Slay Queens kuvuka border kwenda mataifa ya nje. Wenyewe husema wanaenda kwenye ajira...
  19. officialBossmtoto

    Falme za Kiarabu zilivyomiliki maeneo makubwa Sudan

    Wasaaaalam wana jamvi. Nilitamani sana uzi huu ungeandikwa na Mshana Jr lakini acha nililete mimi mwanakwetu kanjanja. Nimeikuta hii huko mitandaoni Falme za Kiarabu (Ghuba za Uarabuni) zimejizatiti kuhakikisha zinamiliki maeneo makubwa ya wazi kwenye nchi za Africa kwa ajili ya kuweza kupata...
  20. officialBossmtoto

    Upolisi ni kazi inayohitaji weledi mkubwa sana

    Moja kati ya kazi inayohitaji weledi sana ni kazi ya upolisi. Sifa kuu ya polisi au kazi kubwa ya polisi, ni kuwalinda raia na mali zao. Kama walivyo binadamu wengine kwenye vitengo vingine vya kazi ni rahisi kuvuka taratibu za maadili kwa maslahi binafsi au ya wengi. Polisi anaweza kuilinda...
Back
Top Bottom