Search results

  1. Possibles

    Magari ya kwenda Kibaha kwenye mgomo

    Muda huu madereva wa magari yanayofanya safari za Kibaha wako kwenye mgomo. Sababu ni mgogoro wa nauli baina yao na SUMATRA na askari wa usalama wa barabarani. Hali ni tete watu ni wengi mno.Hivi vyombo husika havina macho wala masikio. Hawaoni hatari hii ya kusanyiko la watu wote hawa kina...
  2. Possibles

    Msaada: Kuvimba kwa uume wa mtoto mdogo

    Nawasalimu wanaJF. Nina mtoto wa kiume ana umri wa mwaka na nusu.Leo ameamka akiwa na uvimbe kwenye uume wake.Sasa leo jioni uume umeanza kutoa usaha na uvimbe umeongezeka kidogo. Naomba wenye kujua watusaidie tatizo ni nini? Je, linatibika? Linatibikaje? halina athari kwa uanmme wake...
  3. Possibles

    Muhimu:tafadhali naomba kuelimishwa

    Heshima za jioni kwenu wanajamvi. Niko Iringa kwa sasa kwa shughuli mahsusi ya muda wa miezi mitatu. Nikiwa huku nimekutana na msimu wa uyoga na nimetokea kuupenda sana.Nimejikuta kila mlo wangu haukosi uyoga. Ninachosikitika ni kwamba mpaka sasa napenda uyoga lakini sijui faida zake...
  4. Possibles

    Out of order

    Mhindi alikamatwa anatoa haja ndogo njiani akatozwa 1000/- yeye akatoa 1500/- akaulizwa why!!? Akajibu:Wakati kojoa iko jamba kidogo
  5. Possibles

    Dear mr queen..

    Na hii ndio hotuba aliyoitoa Iddi Amin dada(The conquerer) kulee UK. "My Majesty,Mr Queen,Sir, Horrible ministers and members of parliament invested guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely Mr Queen, Sir and also what he has done for me and my fellow Ugandan who came with...
  6. Possibles

    Uelewa unahitajika hapa

    Wadau nimekuwa nikilisikia kwa muda mrefu kidogo neno 'fedha haramu' na mara nyingine 'biashara ya fedha haramu'. Tafadhali mnisaidiwe kuelewa maana ya hayo maneno. Natanguliza shukrani
  7. Possibles

    Haa.....habari ndo hiyo

    Baada ya miaka kadhaa ya ndoa kupita...... MKE : Mme wangu mbona unasoma sana magazeti hadi usiku jamani na mie nakuhitaji! MUM E;Mh h mhh...... (kamguno kidogo huku akiendelea kusoma magazeti yake) MKE: Natamani sana na mimi ningekuwa gazeti ili wakati wote niwe mikononi pako...
  8. Possibles

    Kuna ukweli wowote kwenye hili?

    Kutokana na tatizo linalowakumba wanaume la kupungukiwa nguvu za kiume nilisikia maoni ya watu mbalimbali kupitia chombo kimojawapo cha habari.Baadhi walisema wanaume waliotahiriwa kijadi(porini bila ganzi) wako na nguvu za kutosha ila tatizo ni kubwa kwa waliotahiriwa kisasa(hospitali kwa...
  9. Possibles

    Hata kwao wapo kama walivyo kwetu

    Doctor : What happened to your arm? Oludhe : I broke it. Doctor : Where and How did that happen? Oludhe : Okey. It was a normal Saturday afternoon. I was on the second floor balcony of that my house in Karen, not the one in Lavington sip... Doctor : Is that where you broke your...
  10. Possibles

    Wahi:kama hujanunua gari

    Wandugu kama hujanunua gari fanya fasta usije kupata namba za aibu kama;- -T325 UKE -T268 UCH -T452 TIA -T128 VUZ -T169 SEX -T694 MBO -T900 MAV n.k :rant:
  11. Possibles

    Mkesha wa kusherehekea mawasiliano na majigambo ya wanasiasa wetu

    Taarifa ya Habari ya TBC 1 Imeripoti wanakijiji wa vijiji vinne vya kata ya Kitere wakikesha kusherehekea kupata mawasiliano ya simu. Laiti wanajamvi mngepata nafasi ya kuona hali ya watu wale na sherehe yao UCHUNGU ungewapata mnapohusianisha na majigambo ya baadhi ya wanasiasa tulionao kuwa...
Back
Top Bottom