Nyumba ina vyumba vitatu,master rooms 2,single room1,public toilet ,siting room na dining room.ukubwa ni 20x30miters. Nyumba ipo kange mtaa wa mkurumuzi Tanga. Bei million45 maongezi yapo.
boy; marry me..?
Girl; do you have a house
boy; no
girl; do you have a bmw car..?
Boy; no
girl; how much is your sallary..?
Boy; no sallary but.....!
Girl; no but. You have nothing how can i marry u..!? Leave please ...now..!!
Boy;(talking to himself) i have one villa...
Mother; why did you get such a low mark in that test
jonny; because of absence
mother; you mean you were absent on the day of the test?
Jonny; no, But the kid who sits next to me was absent
mademu wawili walikua wanabishana bwenini... Ghafla mwalimu akaingia na kuwauliza..." mnabishana nini..!!? wakamwambia tumeokota sh.10000.. Na tunataka aichukue mtu ambae atakua keshawahi kudanganya uongo mkubwa sana kati yetu.... Mwalimu kwa dharau akawaangalia na kuwaambia "shame on you...
jamani naomba mnisaidie.. Ninatumia nokia500-ORIGINAL. Nimejaribu kudownload ovi-suite kwenye laptop ili niweze kumenage sms.. Na image na mambo mengine kwenye simu yangu.. Ila kila niki-connect simu kwenye computer ovi hairespond... Ina reply kua no device found.. Connect nokia device...
jamaa mmoja alikua muongo(sound).. Siku moja akawa anawapigia masela wenzake story za jinsi alivyokua muwindaji wa swala.. Sasa story ikaenda mpaka wakafika sehemu jamaa amemlaza swala chini anataka kumchinja..... (msimuliaji akaitwa kdogo kwao)..alivyorudi akawauliza washkaji.. Ivi tumeishia...
jamani hivi hawa watu wanaojuifunza keenye hizi driving schools za hapa jijini..!! Wanajifunza ufundi au wanajifunza udereva..!!? Maana yani gari za driving school za hapa town nyingi zimechoka kwelikweli... Kiasi kwamba mhitimu akitoka hapo akikutana na gari za kisasa inabidi aanze kujifunza...
sipho; dr i have a problem of forgetting
dr; when did the problem start?
sipho; which problem..?
mimi nilikua na swali hivi watu kama hawa ni nani anawatibu na wanatibiwa kwa patient history ipi..?
Nimenunua simu nokia 500 na siku nilipo ingiza line yangu ya tigo nilikua nina chat na jamaa yangu mmoja hivi kwenye simu nyingine.. nikachomoa line kwenye hiyo simu na nikaiingiza kwenye nokia 500
Baada ya kuiingiza tu nikakuta kuna flashing sms sign at the top of the phone screen.. na baada...
hii ni habari ya kweli kabisa na ninaamini kua wengine mmeshawahi kuisikia hapa na imetokea hapa town
dereva mmoja wa taxi alikuwa kijiweni... mara akaja jamaa mmoja akiwa na mwanamke amefunga ninja(bai bui ifungayo mpaka machoni)..! na jamaa akaenda kumnon'goneza dereva wa taxi kua anaenda...
jamani kwanza ninawatakia valentine njema wale woote ambao mapenzi yao hayana matatizo wala migogoro..
pili ninaomba msaada kwa hili jamani.. i hav a girl who used to love me so much.. na siku hizi ameanza kua na vitabia ambavyo kwa kweli sivielewi elewi.. hivi jamani utajuaje kua mpenzi wako wa...
wana jamii nilikuwepo pale quality juzi..! jamani mimi ninaona pako juu sana..! yani theater ni balaa mazee..! na misosi sasa yani ni balaa wazee..! wewe unadhani kati ya pale na mlimani wapi pako juu..!? kwa entertainment na shopping na relaxation...?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.