Search results

  1. K

    Kujiuzulu kwa Rais Evo Morales, Tanzania tuna cha kujifunza

    Ndugu wana bodi nimeona nishee nanyi uzi huu kufuatia mambo kadha wa kadha yaliyomsibu ndugu yetu Rais wa Bolivia bwana Evo Morales mpaka kufikia kuondolewa madarakani kwa nguvu ya wananchi nyuma ya jeshi.huyu jamaa alijikita katika kufanya mambo kadhaa yaliyokuwa kinyume na sheria ama katiba ya...
  2. K

    Tetesi-Vyanzo/chanzo cha kudorora kwa uchumi wa Tanzania Kuanzia mwaka 2017 mpaka sasa

    1.Kudidimizwa kwa demokrasia na kuminywa kwa uhuru wa kutoa mawazo 2.Hela nyingi kutumika kuwanunua kama sio kuwarubuni wabunge wa upinzani 3.kurudiwa kwa chaguzi za mara kwa mara baada ya baadhi wa wabunge wa upinzani kudai kuwa wameamua kuunga mkono juhudi za the YOHANA ALCOHOL 4.Kuji...
  3. K

    Za kunyapia nyapia: Mchanga wa madini uliozuliwa mwaka jana pale bandarini waondolewa kimya kimya

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mchanga wa madini almaarufu kama MAKINIKIA kwa lugha yetu penda ambayo yalipelekea kuundwa kwa kamati kuu mbili ya kwanza ikiongozwa na Prof Muruma iliyo reveal kwamba kule ndani ya makontena yale kuna madini mengi sana na kamati ya pili ikiongozwa na Prof...
  4. K

    BoT yaiweka chini ya usimamizi maalumu Bank M. Benki ya Wanawake imeungana na Benki ya Posta

    Ni kutokana na kuwa na upungufu mkubwa wa ukwasi, Kuendelea kufanya biashara bank M itahatarisha usalama wa amana za wateja wake.Uangalizi huo utaanza kuanzia leo 02.08.2018 Benki ya Wanawake (TWB) imeungana na Benki ya TPB baada ya benki hiyo kushindwa kutimiza masharti ya kuwa na mtaji wa...
  5. K

    Serikali kuwahakiki upya watumishi wake

    Kama mada inavyojieleza hapo juu Serikali ya JMT imeanza tena lile zoezi la kuwahakiki upya watumishi wake ambapo kwa awamu hii imedhamiria kuwadaka wale wote walioleta udanganyifu katika zoezi lililofanyika hapo awali. Aidha katika awamu hii uhakiki huo haufanywi tena na maafisa utumishi wa...
  6. K

    Mzee wetu mwenye mjengo wako tunakoelekea unatutisha

    umekaa na familia yako mnapanga budget ya familia, mnatenga fedha kwa ajili ya kulipia ada za watoto. Kesho Unaona jilani kanunua gari mpya ya kifahari na WEWE anachukua pesa mliyotenga kulipa ada tena bila kuitisha kikao cha familia, anaenda na kununua gari mpyaa kama ya jirani.(HAPA...
  7. K

    2018 Historic British Royal Weeding

    Kama tunavyofahamu kuwa huko kunako London -Uingereza yule mtoto wa pili wa Prince Charles na Late Princess Diana aitwaye Prince Harry anatarajia kuchukua jiko moja hatari sana kutoka kwenye familia ya Sir Markle a.k.a the big boss Itakumbukwa kwamba event kama hii ilitokea tena kunako mwaka...
  8. K

    Wenye amana FBME kulipwa fidia ya bima ya amana kuanzia Januari 11, 2018

    TAARIFA KWA UMMA: BODI YA BIMA YA AMANA KATIKA SHAURI LA FBME BANK (ILIYO CHINI YA UFILISI) MALIPO YA FIDIA YA AMANA KWA WATEJA WA FBME (CHINI YA UFILISI) Kufuatia uamuzi wa Benki Kuu ya Tanzania kuifutia FBME BANK LTD leseni ya kufanya shughuli za kibenki mnamo tarehe 8 Mei, 2017, Bodi ya Bima...
Back
Top Bottom