Search results

  1. Ansah Miles

    Dawa hii ya mbu ina usalama?

    Wana jf kuna dawa ya kuchoma kwenye mkaa ni kwa ajili ya kuua mbu, ukweli ni kuwa iko effective kweli ukiichoma tu ule moshi ukitawanyika ndani ya nyumba hakuna mbu anayebaki hai, na mbu hawaonekani kwa siku 2 hadi 3. Naomba kujuzwa kwa anayefahamu dawa hizi hazina madhara kwa afya,hii ndio...
  2. Ansah Miles

    Tofauti ya Heart Attack,Cardiac Arrest na Stroke

    Pata utofauti huu wa Heart Attack,Cardiac Arrest na Stroke katika picha,Mungu awabariki
  3. Ansah Miles

    Fallopian Tubes zimeziba nifanyeje

    Rafiki yangu kapata problem ya kuziba kwa mirija ya uzazi yaani Fallopia Tubes, ni kwamba kajifungua mara mbili na uzazi wa pili mtoto alifariki akiwa na wiki moja, tatizo lililopo ni kuwa huu ni mwaka wa nne akijitahidi kupata mimba lakini bila ya mafanikio, alikwenda kwa Dr Mugaya pale Maria...
  4. Ansah Miles

    Nafasi za kazi Wizara ya Utumishi

    Wizara ya Utumishi - Nafasi za kazi na ajira - Wavuti This advert is found in www.utumishi.go.tz, www.pmoralg.go.tz, and www.mot.go.tz
  5. Ansah Miles

    Shule ya Procurement and supply chain management

    Naombeni ushauri kwenye jukwaaa hili la great thinkers,First degree nimesoma Geomatics Ardhi university,ninahitaji kusoma masters degree,ushauri niombao nahitaji kuongeza shule hivyo je kwenye masters program nisome nini je nichague masters in Procurement and supply chain management ya Mzumbe...
  6. Ansah Miles

    Faida ya mafuta ya Mzeituni

    Faida ya Mafuta ya Mzeituni Olive oil's health benefits The greatest exponent of monounsaturated fat is olive oil, and it is a prime component of the Mediterranean Diet. Olive oil is a natural juice which preserves the taste, aroma, vitamins and properties of the olive fruit. Olive oil is the...
Back
Top Bottom