Search results

  1. Eng. Smasher

    Natafuta Binti wa kazi kwenye Stationery.

    Habari wana JF, Nina stationery ipo maeneo ya Sinza Kijiweni. Natafuta Binti wa kazi mwenye taaluma ya secretarial issues. Wenye ujuzi huo wani Pm au tuma cv kwenye email address: smasher084@yahoo.com.
  2. Eng. Smasher

    Tigo kuna wizi!!!

    Mambo wanajf?? Kuna wizi mkubwa unafanyika TIGO kitengo cha tigo pesa!! Wafanyakazi wa hicho kitengo wanaswap line za wateja wao esp Agents wa tigo pesa na kureset password then wanachukua pesa yote. ukiwasha simu inaonesha Limited Service!!! Hii imenitokea mimi mwenyewe Juzi. Angalizo, TIGO...
  3. Eng. Smasher

    Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    Habari zenu wana JF!! Ni wiki 2 sasa zimepita baada ya kutokea kisa kitaani kwetu kilichokuwa kama movie flani hivi lakini ni cha kweli. Jamaa wa kitaani kwetu aliamua KUOA na kufuata taratibu zote; KUCHUMBIA,KUTOA MAHARI, SEND OFF na mwisho HARUSI iliyofaana sana. Baada ya harusi MUME an MKE...
  4. Eng. Smasher

    Polish Your English !!!!

    Difference between COMPLETE & FINISHED People say there is no difference between COMPLETE & FINISHED. But there is. When you marry the right one, you are COMPLETE. And when you marry the wrong one, you are FINISHED. And when the right one catches you with the wrong one, you are...
  5. Eng. Smasher

    Natamani miezi yote ingekuwa miezi mitukufu......!!!

    Mambo ni aje wana JF!! Hatimaye nimerejea tena jamvini. Sio siri huu mwezi naona dada zangu wengi wanavaa mavazi mazuri na ya kupendeza!! Mavazi yenye heshima mbele za watu na yanayositri maungo yao vizuri!! Jamani DADAZ kwanini msiendelee kuvaa hivi siku zote??!! Ni mtazamo tu!!!
  6. Eng. Smasher

    Kwanini huwa tunaficha ukweli????

    Mambo wana wa JF!! Nimejaribu kufikiria sana hili jambo nimeona nililete jamvini tulijadili, tokea nianze kutongoza mabinti sijawahi kusikia Binti anasema nina mpenzi au kijana anasema nina mpenzi mwingine wakati wakiwa wanatongozana!!! Hii inatokea mara chache sana neno nina mpenzi mwingine...
  7. Eng. Smasher

    Mabinti nao kumbe ving'ang'anizi......!!!!

    Mambo ni aje wana JF!!! Zamani wakati nakua na kujua Mapenzi nilidhani Wanaume peke yetu ndo ving'ang'anizi hata binti akikuambia hakutaki unakomaa nae hadi kieleweke lakini siku hizi Mabinti ni balaa unamwambia humtaki still anataka awe na wewe!!!! Hivi hii ndo Haki sawa kwa wote au ndo mambo...
  8. Eng. Smasher

    Whats the purpose of kissing someone please any idea??????

    Dear All, TELL ME WHATS THE PURPOSE OF KISSING SOMEONE PLEASE ANY IDEA??????
  9. Eng. Smasher

    Nauliza tu......Ingekuwa wewe Ungereact vipii??!!!

    Ni weekend tulivu ya last week nilikuwa napiga moja moto na moja baridi pembeni kulikuwa na bulaza mtanashati na mrembo pembeni yake. Simu yake ikaita akawa kapokea ili amdhihirishie mrembo wake kuwa ni yeye wa pekee akaweka LOUD speaker coz aliyempigia ni mdada, then wakati maongezi...
  10. Eng. Smasher

    Binti Anataka Nizae Nae!!!!!

    Mambo vipi wana JF??!! Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu! Tatizo hiki kibinti kimekuja na OMBI lake kanasema basi NIMPE MIMBA coz anachotaka yeye azae na mimi 2...
  11. Eng. Smasher

    Nauliza tu...................Wadada huwa mnajisikiaje????!!!!

    Ni kawaida kwa sisi vijana tuliopanga vyumba kitaa kuleta vimwana wetu RUM then mnadu the nidfull!!! Swali ambalo huwa najiuliz ni kwamba wakati wanatoka rum na msela wake unakuta wapangaji wenzio wamekaa nje na wanajua nini kilichokuwa kinaendelea, hivi huwa mnajisikiaje???? J'pili njema.
  12. Eng. Smasher

    Nini Tofauti ya uzuri na urembo?

    Happy Valentino's Day wanajf!! Kuna Vivumishi 2 vinanimix sana hebu nisaidieni coz leo ninataka nili2mie mojawapo!!
  13. Eng. Smasher

    Majina ya Vyumba vya Guest ni Noma!!!

    Mamboz ma Great Thinkers! Haya majina ya ROOM za GUEST yananiacha hoi unaweza ukafikiria mtu kasafiri nje ya nchi kumbe yupo TZ coz wamezipa hizo room majina ya miji mikubwa ya nje ya nchi kama MANCHESTER,MADRID,LONDON,ALABAMA nk. Hivi ni kwanini hawatumii namba kama kawaida??!!
  14. Eng. Smasher

    "I'm in the Toilet, Do you need Anything???!!!"

    A Girl sent sms to her Lover: If you are SLEEPING,send me your DREAMS. If u'a CRYING, send me u'a TEARS. If u'a LAUGHING, send me u'a LOUGH. His Lover replied back: "I'm in the Toilet, Do you need anything???!!!"
  15. Eng. Smasher

    Kiungo Gani Cha Mwili??!!!

    Padre kawauliza waumini: PADRE: Ni kiungo gani cha mwili hupatikana katika sehemu iliyojificha na kina wingi wa unyevunyevu kinaweza kufanya ndoa iwe IMARA sana au KUYUMBA? WAUMINI: Kimya huku wameinamisha vichwa vyao chini. PADRE:Inukeni niwaonyeshe,ni hiki akagusa "ULIMI", Mlifikiri ni...
  16. Eng. Smasher

    Kwanini Walimu wanatongoza Wanafunzi??!!

    Habari wana JF!!! Siku hizi hii issue ya WALIMU kutembea na WANAFUNZI imekuwa kawaida sana,lakini najaribu kujiuliza maswali mengi sana. 1. Ni kweli walimu wa siku hizi wana TAMAA sana?? 2. UALIMU siku hizi sio WITO?? 3. Walimu wengi siku hizi hawana MAADILI?? 4. Walimu wengi HAWAJAOA...
  17. Eng. Smasher

    Walimu Kazi Wanayo huko Mashuleni!!!!

    Kuna ticha mmoja wa English alikuwa anafundisha class viunganishi,i.e IN,UNDER,and ON. Akawa anafundisha kwa vitendo si unajua sahivi lazima uwe na CHEATING AIDS!!! Akawa kapanda JUU ya meza. TICHA: I am ON the table CLASS: Your ON the table Akawa kaingia chini ya uvungu wa meza TICHA: I am...
  18. Eng. Smasher

    Thanks Rubi, Thanks God!!

    Niliwahi kutoa maada kuhusu dawa ya KIKOHOZI tatizo lililokuwa linamsumbua ndugu yangu! Rubi alitoa ushuhuda wake mwenyewe na kuanza kuufanyia kazi!! Kwa kweli MUNGU ametenda miujiza sasa hivi huyu ndugu yangu ameanza kuacha kukohoa bila kutumia dawa zaidi ya KUNYWA MAJI MENGI awezavyo na...
  19. Eng. Smasher

    Make Arrangement Pls!!

    Boss said to secretary: For a week we will go abroad, so make arrangements. Secretary make call to Husband: For a week my boss and I will be going abroad, you look after yourself. Husband make call to secret lover: My wife is going abroad for a week, so let's spend the week together. Secret...
  20. Eng. Smasher

    Binti wa Miaka 5 Afariki kwa Ukimwi!!! Nani wa Kulaumiwa??!!

    Mambo wana JF,mitambo ilinipoteza kidogo nimerudi kama kawa jamvini!!! Ni juzi tumetoka kumzika Binti wa miaka 5 ambaye kifo chake kimetokana na maambukizi ya VVU, Kinachosikitisha zaidi wazazi wa huyu Binti wamepima mara 10 baada ya kugundua Binti yao mpendwa ana maambukizi ya VVU ili wajue...
Back
Top Bottom