Search results

  1. chief1

    Natafuta business partner

    Habari Wana Jamiiforums! Mimi ni mjasiriamali kwenye sector ya utalii, nipo Arusha. NATAFUTA mtu aliye serious kwaajili ya kufanya nae biashara, najua kuna watu Wana pesa au connection lakini hawajui wanapeleka au wanawekeza wapi, Bado kuna fursa kubwa katika sector ya utalii hapa...
  2. chief1

    Taifa la ubuyu

    Ujamaa haukuwa mbaya,ujamaa huenda ukawa mfumo bora zaidi kuwasaidia wengi kuinuka na kuondokana na umasikini, ujamaa unatoa fursa sawa kwa kila mtu kuishi "kama malaika" yaani gap la tajiri na maskini linazibika kirahisi, capitalism kama ilivyo kenya inatoa fursa kwa wachache kumiliki mhimili...
  3. chief1

    DHANA YA WANAWAKE KUNYWA POMBE

    Habari wakuu, Kumekuwako na ongezeko la wanawake katika swala zima la kukaa baa na kunywa pombe kwa makundi makundi, Mimi huwa namchukulia tofauti kabisa mwanamke anayekunywa pombe, ataweza kuwa na familia bora kweli,hatakuwa mzigo tu nyumbani, pia ni ishara ya uhuni flani,watoto nao wanaweza...
  4. chief1

    Kuna haja ya Africa kuendelea kujitawala yenyewe???

    Babu zetu wamepigania uhuru na wakafanikiwa kumtoa mzungu katika bara letu pedwa la Africa, wakajitahidi kutusogeza kimaendeleo kulingana na uwezo wao uliotukuka, watu kama kina Kwame Nkrumah, Nelson Mandela, Julius Nyerere, Patrice Lumumba na wengine wengi, lakini ningepata nafasi ya kukutana...
  5. chief1

    UNAONA NINI?

    Unaona nini? Wakuu, nimeianza maada hii kwa kukuuliza swali Kwamba unaona nini kutokana na hali ilivyo hapa Tanzania? je akili yako inaona ugumu wa maisha tu? Je akili yako inaona matatizo tu? Je akili yako inaona maonevu tu? Au akili yako inaona pesa hakuna tu? Au labda hali ni ngumu tu...
  6. chief1

    MATAJIRI HUISHI KWA IMANI

    Wakuu habari, Kuna ukweli uliojificha kwa wengi nataka kuusema hapa Kama kichwa cha somo hapo juu kinavyosema, Kuna matabaka matatu ya watu katika hii dunia 1.matajiri 2.daraja la Kati 3.Maskini Nadhani madaraja hayo yanaeleweka Kabisa moja kwa moja. Daraja la matajiri lina watu wachache...
  7. chief1

    Fursa za Kilimo Arusha

    Wakuu habari Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye malengo lukuki kuhusu kilimo na ufugaji hapa nchini, Nimeamua kujitosa kwenye kilimo na ufugaji hapa Arusha! Ninachokitafuta kutoka kwenu ni kupata connection za wadau mbalimbali wa kilimo hapa arusha, hii inajumuisha mashirika, makampuni, watu...
  8. chief1

    Vitu vitatu ambavyo haitatokea vikabadilika

    SHALOM! Worth sharing; Iwapo dunia hii isipogongwa na sayari ya nubiru na kuifutilia mbali, au sayari hii ya dunia isipo patwa na janga lolote la kuifanya isiwepo, kuna vitu VITATU TU ambavyo havitakuja kubadilika, watu,miti,majengo,bahari vyote vyaweza kubadilika,lakini hivi vitu VITATU...
  9. chief1

    Three things that will never change

    Umuofia kwenyu! Worth sharing; Iwapo dunia hii isipogongwa na sayari ya nubiru na kuifutilia mbali, au sayari hii ya dunia isipo patwa na janga lolote la kuifanya isiwepo, kuna vitu VITATU TU ambavyo havitakuja kubadilika, watu,miti,majengo,bahari vyote vyaweza kubadilika,lakini hivi vitu...
  10. chief1

    Uzoefu wangu baada ya kuachana na matumizi ya smartphone/whatsapp

    Habarini ndugu! Nina miezi miwili nimeachana na matumizi ya smartphone,al-mahsusi hizi app za whatsapp na instagram. Nataka niwashirikishe watanzania wenzangu uzoefu wangu huu wa miezi miwili, nadhani inaweza kuwasaidia baadhi ya watu! Pamoja na faida chache au nyingi za mitandao...
  11. chief1

    Pigia kura project hii ya kijana wa kitanzania

    kupitia link hapo chini unaweza kuiwezesha hii project kusonga mbele REDUCING A COMMON MANGO SPOILAGE IN WESTERN TANZANIA REDUCING A COMMON MANGO SPOILAGE IN WESTERN TANZANIA
  12. chief1

    Mimi nataka ndoa, yeye anataka shule

    Habari zenu mabibi na mabwana, Nina mchumba wangu mrembo sana, tulikutana mwaka uliopita, sasa kutokana na familia yake hakupata nafasi ya kusoma aliishia darasa la saba kutokana na kutengana kwa wazazi wake, alimaliza muda mrefu akaendelea kutafuta maisha tu, mimi nina miaka 27 najua...
  13. chief1

    The journey to marriage

    When did it start? Genesis2:18-24 18 And the Lord God said,It is not good that the man should be alone; I will make a helpmeet for him.... 24 Therefore shall a man leave his father and his mother, and cleave unto his wife:and they shall be one flesh. The journey to marriage started in the...
  14. chief1

    Zitto Kabwe ndie rais ajaye wa JMT 2025

    Haya ni maoni yangu, nasisitiza haya ni maoni yangu Mbunge wa Kigoma Mjini ndg Zitto Kabwe kupitia chama cha ACT-Wazalendo, ndiye anastahili kuvaa viatu vya JPM 2025. Analysis zote nilizofanya zinaonyesha huyu kijana makini anafaa kabisa kuipeleka nchi kuwa taifa la uchumi wa kati duniani...
  15. chief1

    Hii ni hatari kwa Tanzania miaka ijayo

    Kumekuwa na utitiri wa vyama mbalimbali vya kikanda na kikabila katika maeneo mbalimbali katika nchi yetu, vyuoni kuna vyama vya wasukuma, wahehe, wachagga nk, hata mitaani kuna viumoja flani vya makabila au watu kutoka mkoa flani au wilaya flani..vyama hivi vinaanzishwa kwa lengo kuu kusaidiana...
  16. chief1

    Kuwa makini na unachoilisha akili yako

    Hello all, Natoa maada kwa lengo mahsusi la kuwapa mbinu ya kuepuka baadhi ya mambo au tabia ambazo wengi zinawatumikisha unwillingly na kuwasaidia kupata mafanikio kwenye mambo mbalimbali. Kuna hiki kitu, unapokuwa unailisha akili yako umbea kila siku kwenye mitandao ya kijamii na sehemu...
Back
Top Bottom