Hawa ni wananchi wapo bonde la Jangwani karibu na club ya Yanga. Wengine wana hati wengine wana ofa.
Wote hao maeneo yao yanatwaliwa kwa ajili ya mradi wa uendelezaji wa Bonde hilo. Tafadhali hawa watu wenye umiliki wa ardhi kihalali/ kisheria wasichanganywe na squatters/ wavamizi na...
Poleni sana kwa dhahama mliyokutana nayo jana. Tuseme tu ukweli Simba hawana timu ya kumfunga Ahly.
Hapa bongo huwa mna struggle sana kuzifunga timu pinzani.
Ukweli ni kwamba mna bidii lkn hamna wachezaji wenye viwango
Baada ya kusema hayo sasa angalieni kaka zenu kimpira watakachomfanya...
Kwenu tamisemi. Serekali imeshaweka nia na kutenga fungu mahususi kwa ajili ya fidia ya wakaazi wa bonde la mto msimbazi.
Ni wazi kwamba wakaazi wengi wasiokuwa na hati (squatters) wamefidiwa flat rate shs mil 4. Pamoja na fidia ya majengo.
Pale kwenye bonde kuna hati nane(8)ambazo serekali...
Wasalaam
Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao.
Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM
Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka.
Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii
What a pity?
Wakuu habari zenu
hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!!
Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.