Search results

  1. msuyaeric

    Msaada: Dar to Iringa na Boxer naombeni uzoefu wenu

    Wataalam za wakati huu.. Kijana wenu hapa nayependa Road trip but kwa pikipiki, last time nilisafiri na pikipiki cc110 kutoka Dar to Dodoma (kwenda na kurudi) pia nikasafiri tena toka Dar to Tanga (kwenda na kurudi). Safari zote zilikuwa safi sana hakuna changamoto niliyokutana nayo toka...
  2. msuyaeric

    Hospitali Binafsi ziache masihara na afya za Watanzania

    BY MWANDISHI HURU Takwa la kisheria namba 151 la usajili wa vituo binafsi vya afya na kanuni yake namba 32 zinaeleza kwamba kutokupokea mgonjwa kisa hitilafu ya bima ni kuvunja makubaliano. Ifike hatua wafanyabiashara wa Tanzania waache kufanya masihara na afya za Wananchi, huu uhuni wa...
  3. msuyaeric

    Vitisho vya Godbless Lema kwa wafanyabiashara ni aibu tupu

    Na Joseph Maziku, Arusha Mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na mbunge wa zamani wa Arusha mjini Godbless Jonathan Lema ameingia katika rekodi nyingine ya kushangaza kutokana na utaratibu anaoutumia kuomba michango ya fedha kutoka kwa wafanyabiashara Jijini...
  4. msuyaeric

    Asilimia 72 ya kaya zote Tanzania Bara zimefikiwa na umeme

    Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti wa athari za upatikanaji wa Nishati Endelevu Tanzania Bara kwa mwaka 2021/2022, inaonesha kuwa asilimia 72 ya kaya zote Tanzania Bara zinaishi katika vijiji/mitaa iliyofikiwa na huduma ya umeme.
  5. msuyaeric

    Hamad Chande: Umasikini umepungua Tanzania

    Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imetajwa kuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya maisha katika kaya, hali iliyopelekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Fedha, Hamad...
  6. msuyaeric

    Rais Samia apeleka milioni 970 za miradi ya maji halmashauri zote nchini

    Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Dkt. Victoria Kwakwa ameitaja na ameipongeza Tanzania kuwa kinara na mfano katika utekelezaji wa programu ya uendelevu wa huduma ya maji na usafi wa mazingira vijijini Mashariki na Kusini mwa Afrika na Duniani kwa kutumumia...
  7. msuyaeric

    Does this reveal the Mbowe vs Lissu rift now totally irreconcilable?

    From: Political Analysts In Diaspora (United Kingdom) 07.08.2023 "Embracing the 4R's was the pinnacle of CHADEMA's crackdown to its core........." These are words from a profound political guru (Name retained) who resides in Tanzania insinuating on the technical flaws that led to the what is...
  8. msuyaeric

    Faida ambazo Tanzania itapata kupitia Dkt. Tulia Ackson kuwa Rais wa Bunge duniani

    Dk Tulia Ackson kupitia cheo chake kimya cha Rais wa Bunge dunia atakuwa mstari wa mbele katika kukuza demokrasia na ushirikiano wa bunge duniani kote. Jukumu hili linamwezesha kupaza sauti ya Tanzania katika masuala muhimu, kushiriki katika mipango ya kidiplomasia, na kutafuta msaada wa...
  9. msuyaeric

    Faida za kushirikiana na sekta binafsi katika uendeshaji wa bandari ya Dar es salaam

    1. Kuongeza ufanisi na tija katika Bandari ya Dar es salaam; Hii ni pamoja na kupunguza muda wa meli kusubiri nangani kutoka siku 5 hadi masaa 24 na kupunguza muda wa kupakia na kupakua makasha kutoka siku 4.5 hadi siku 2 2. Kuongezeka kwa mapato ya Serikali; Ushirikiano huu utaongeza mapato...
  10. msuyaeric

    Ukweli mchungu: Bandari ya Dar es Salaam inahitaji mwekezaji haraka

    Na Mwl Udadis, Tarime Gharama za kusafirisha mizigo kwa meli hadi Bandari ya DSM zinazidi dola za Kimarekani 1,000 kwa kasha moja, tofauti na gharama za chini katika Bandari kama Mombasa. Hii inatokana na ukosefu wa meli za moja kwa moja kwenye Bandari ya Dar es Salaam kutokana na miundombinu...
  11. msuyaeric

    Ziara ya Rais Samia yageuka sherehe Mtwara

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed akiwapokea Vijana wa Mtwara Ofisini kwake baada ya kufanya maandamano ya amani ya kumkaribisha Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kufanya ziara ya siku mbili mkoani humo kuanzia tarehe 15 hadi 16 mwezi Septemba 2023. Ziara hiyo ya Rais...
  12. msuyaeric

    Mbowe na nadharia ya Usultani, atamani kuendelea kuitawala CHADEMA kwa miaka 30

    Na Nulphin Charles Heche Wakati vijana Kaskazini Magharibi mwa Bara la Afrika wakifanya mapinduzi kuwaondoa madikteta waliodumu kwa muda mrefu kwa msingi wa kuvunja Demokrasia hali ni sawa na ilivyo kwa chama cha Upinzani nchini Tanzania, Chadema. Licha ya kuhubiri Demokrasia chama hicho...
  13. msuyaeric

    Teuzi Mpya: Rais Samia na falsafa ya kimageuzi kwa Watumishi wa Umma

    Na Mwl Udadis, Buza kwa Lulenge Moja ya falsafa ngumu katika uongozi ni uwezo wa kuongoza watu kimageuzi. Rais Samia anaendelea kuiishi falsafa hii kwa weledi na umahiri wa hali ya juu. Nafasi za teuzi siku zote ni dhamana katika kuwatumikia watanzania, dhamana hii inaweza kukabidhiwa kwa...
  14. msuyaeric

    WAKULIMA KIJIJI CHA MLAZO WATOA PONGEZI KWA MHE.RAIS KUWALETEA MLADI WA UMWAGILIAJI

    Mmoja wa wakulima katika kijiji cha Mlazo Bw. Kulwa Cheso amemshukuru Mhe Samia Suluhu Hassan kwa uwaletea Mradi wa kilimo cha umwagiliaji kwenye shamba la kijiji lenye heka elfu 11 zinazotarajiwa kuwapa kipaumbele wanakijiji hao katika utekelezaji wa mradi huo. Hata hivyo Kulwa ametoa wito...
  15. msuyaeric

    Tanzania kupokea ndege kubwa ya mizigo Afrika nzima

    Leo Afrika macho yote yapo Tanzania, ni kweli kuna ndege za mizigo Afrika ila hii ya Tanzania ndio ndege kubwa sana za mizigo kuliko zote Afrika. Ieleweke sio kama Afrika hakuna ndege za mizigo, hapana ni kwamba ndege hii ya Air Tanzania Cargo ni kubwa kuliko ndege zote za mizigo Afrika. Yaani...
  16. msuyaeric

    Msaada kuhusu rpm kwenye Pikipiki

    Wakuu Habari zenu naomba Msaada ya rpm, pikipiki yangu Ile Cc110 nimekuwa nashindwa kuelewa je rpm ina umuhimu gani na ina Msaada gani kama Dereva? Mfano nikiwa kwenye speed ya 50 rpm inakuwa kwenye 4 na jinsi navyovuta Mfano nikaenda speed 70 rpm inakuwa kwenye 6 je hiyo ina maana gani?
  17. msuyaeric

    Haya ni matokeo ya Rais Samia kumpa nguvu CAG na uhuru wa vyombo vya habari

    Na Mwl Udadis, Dodoma Ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Hesabu za serikali (CAG) Ndugu yangu Charles Kichere imewafungua macho watanzania wengi juu ya umuhimu wa kuipa ofisi ya CAG uhuru wa kufanya kazi na zaidi faida ya Uhuru wa vyombo vya habari kutoa habari bila hofu yoyote. Ni vizuri...
  18. msuyaeric

    Mafanikio ya bodi ya pamba Tanzania

    [emoji2389] Viuadudu chupa 11,839,225 zenye Thamani ya Bilioni 51 kwa ajili ya wakulima [emoji2390] Serikali inatarajia kupata mavuno ya Pamba Tani 700,000 kwa Mwaka [emoji2391] Vinyunyizi 42,584 zenye Thamani ya Bilioni 4 [emoji2392] Tani 22,000 za Mbegu ya Pamba zimesambawa nchini...
  19. msuyaeric

    Hongera Rais Samia kwa kuanzisha program ya kuwawezesha vijana kwa mashamba, mitaji na mafunzo

    Na Mwl Udadis, Dodoma Leo ni uzinduzi rasmi wa mradi wa "Building Better Tomorrow ( BBT ) ", mradi unaolenga kuwawezesha vijana. Falsafa ya Mhe. Rais kukifanya kilimo kiwe na tija kupitia falsafa ya kilimo biashara inakwenda kubadilisha historia ya kukabiliana na tatizo la ajira na kuhakikisha...
  20. msuyaeric

    Wanawake wa Friends of Samia, wakutana Shishi food kuadhimisha miaka 2 ya Rais Samia

    Wanawake wa Rafiki wa Samia (Friends Of Samia) kutoka Mikoa mbalimbali nchini, wamejumuika kula chakula cha pamoja katika Mgahawa wa Shishi Food uliopo Dar es salaam ikiwa ni kuadhimisha kutimiza miaka 2 ya Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Wanawake...
Back
Top Bottom