Sijui ule mwanga ulikuwa na ishara ya nini kwa anaejua maana lilikuwa jua kali lilowaka wa muda wa dakika 10 mpk 15.
Nina imani wakazi wengi wa Dar es Salaam wameuona
======
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU MWONEKANO WA ANGA KUWA NA RANGI NYEKUNDU AU CHUNGWA KATIKA BAADHI YA MAENEO NCHINI.
Dar es...
Miaka ya nyuma tuliona maandalizi ya hii siku kuanzia kwenye vyombo vya habari na hata viongozi wetu walikuwa wakilitaja hili jina kuanzia April mosi hadi siku kama ya leo kilele. Lakiini sasa hivi ni kimya kabisa hii ina maana anaanza kusahaulika au?
Takibani wiki mbili sasa zinakwisha toka kampeni zianze.
James Mbatia yeye bado hajaenda eneo la wapiga kura hii yote ni kwa sababu anajua JIMBO LA VUNJO ni la kwake kabisa no one. Hongera sana James Mbatia Mungu akupe nguvu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.