Habari wakuu!
Niingie moja kwa moja kwenye mada,
Mama yangu alikuwa na malaria alikunywa dawa mara baada ya kumaliza dose alipata tatizo la tumbo kujaa gesi na mwili kufa ganzi.
Pia anasumbuliwa na kidonda ambacho alikipata mara baada ya kukanyaga mwiba wakati yupo shambani.
Tulipoenda...
Nauza nyumba kwa bei ya tsh 14m tu.
Nyumba ina vyumba vitatu pamoja na sitting room.
Pia ina umeme na ipo karibu na huduma ya maji.
Ina eneo kubwa.
Nyumba ipo Morogoro mjini kata ya Kihonda 1km kutoka Dodoma road.
Kwa maelezo zaidi nipigie 0712977047.
Hii usemi wa fair play kwenye upande wa soccer naona si mahala pake.
Ebu tazama wachezaji wanavunjana tena kwa makusudi kabisa na huku refa akitoa mijicho yake tu.
Hivi kuna umuhimu gani wa kuendelea kutumia maneno Fair play wakati wachezaji hawapo fair?
Nimeumia sana leo mpaka nimeuchukia...
Najiuliza sana na kutafakari,
Kwanini serikali ya Tanzania isitumie watu maarufu duniani(sio Tanzania)
kama wachezaji mpira mfano Cr7, messi&neymar au wanamuziki na waigizaji maarufu zaidi duniani,
kwaajiri ya kutangaza vivutio vyetu vya Utalii.
Zile 1.5t naamini zinatosha kabisa...
*BRANCH WAKALA INVESTMENT PLATFORM *
*HABARI MEMBERS *
*BRANCH WAKALA INVESTMENT PLATFORM*
*ni mfumo wa online system ya mikopo na uwekezaji wa kisasa katika mfumo wakielectronic yaani*
*LOANS AND ELECTRONICAL INVESTMENT*
*KWA KUTUMIA COUPONS ZITAKAZOWEZESHA KILA MEMBERS...
1.Timu pekee Tanzania iliyoingia fainal michuano ya kimataifa CAF
2.Timu pekee kwa Tanzania iliyomtoa bingwa mtetezi 2003 kwenye michuano
ya kimataifa
3.Timu pekee kwa Tanzania iliyotumia zaidi ya 1.5b kwa usajiri Tanzania.
Hizo 600m kalipeni kodi za jengo kisha mje kujifananisha na Mnyama.
Zimebaki siku chache kuanza kombe la dunia 2018,
startimes, dstv na econet wameshaanza matangazo ya kurusha mechi zote world cup 2018.
Je azamtv watarusha au tujiandae kwenda bar?
Nikisema katoka sayari nyingine huyo ni messi,
Nikisema katoka venus mtasema labda Cr7
Sasa nasema hivi huyu kiumbe katoka Galaxy nyingine!
Si mwingine bali ni Mo salah Madevu.
Hili swala huwa linanisumbua sana, hivi bongo movie walikosea wapi mpaka hawa wakorea wameteka soko.
Kuanzia Nyumbani, kwenye usafiri, vibanda umiza kote ni Korean drama. Popote kwenye Tv na deki lazima pembeni utakuta movie ya kikorea.
Wabongo mpo wapi?
nimezungumza na washabiki mbali mbali wa madrid,
nilichogundua hawa jamaa wanaiamini timu yao kupita kiasi hasa kwenye UEFA licha ya performance mbovu ya msimu huu.
Je kitu gani wanajivunia zaidi?
catalunya baby.
Habari wakuu.
Nina simu yangu Sumsang pocket S5300 inatatizo Kwenye upande wa kupigiwa simu, mtu akinipigia Namba yangu inatumika muda wote, nikiweka line yangu Kwenye simu nyingine inapatikana Kama kawaida.
Hivyo mwenye idea ya hili tatizo naomba anisaidie
Habari wana jf.
Wanajf, ninashida ya tsh 100,000 ya
haraka sana Kama Kuna member
anayeweza kunikopesha kwa riba
mimi nipo tayari.
Namba yangu 0689631083.
Mungu awabariki.
Habari wana jf.
Wanajf, ninashida ya tsh 100,000 ya haraka sana Kama Kuna member anayeweza kunikopesha kwa riba mimi nipo tayari.
Namba yangu 0689631083.
Mungu awabariki.
SIMBA SPORTS CLUB
S.L.P 5555
MSIMBAZI/DSM
25 FEB 2017
T F F
S.L.P 0001
KARUME/DSM
Ndugu,
YAH; KUCHEZESHA WACHEZAJI 9
somo tajwa hapo juu lahusika, kutokana na kasi mpya ya timu ya Simba ya...
Pia nafundisha masomo ya ziada (twisheni) kwa masomo ya Chemistry & Biology A-level na O-Level.
Napatikana Morogoro mjini maeneo ya Nanenane.
Kwa maelezo zaidi piga namba 0719605111
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.