Search results

  1. zinc

    Mbwana Samatta: Kwa hili umefeli, na hamtafanya chochote huko AFCON

    Wadau wa JF, Habari ndugu zangu, kwanza kabisa nawapongeza taifa kwa kwenda kushiriki afcon 2019 nchini Misri japo kimazabe. Leo nimemsikia Samatta akisema wanaenda kucheza michuano hiyo kwa lengo la kuleta heshima kwa Tanzania na Awamu ya tano ya uongozi huu. Kama ni kwa ajili ya Tanzania...
  2. zinc

    Mkakati Juu Ya Maazimio Tunayotakiwa Kuyafanya Sisi Wanaume Wa Dar

    Wakuu JF, Habari za masiku mabibi na mabwana, kwanza kabisa niwashukuru mashabiki wangu ambao mnaniunga mkono katika kuelimishana, kuburudishana na mwisho wa siku, life linasonga. Katika hati hati za kuelekea Valentine nilipenda jambo moja kuhusu sisi tunaoitwa wanaume wa dar tuyajadili ili...
  3. zinc

    Shida ninazoziona kwa hawa viongozi wetu wa kisiasa wa awamu hii katika utelekezaji wa majukumu yao

    Wakuu wa JF, kuna jambo nimeonelea ni share na nyie, pengine tunaweza tukapata mawaidha ya maana yakawa fundisho kwetu katika kutafuta viongozi kufikia mpk kuwachagua watuongoze. serikali hii yetu imejitahidi kuonyesha sura nzuri ya kupambana na ufisadi, nikisema sura nzuri nina maana...
  4. zinc

    Uzi Huu Maalum Kwa Ajili Ya Kuibariki Israel Taifa La Mungu

    Wadau JF, Nimeona niandae thread maalum kwa wanaopenda kuibariki Israel tu. Nina imani hili ndiyo taifa teule La Mungu. Bila Kupoteza muda maana watu wamekuwa wakipigizana makelele yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Mimi ninaibariki Israel maana ni taifa teule la Mungu kupitia Abraham Baba wa...
  5. zinc

    Uzi maalum wa kutupia picha yoyote ya Handsome boy

    Wakuu JF, Kwanza niwasabahi km mko pouwa pouwa. Nimekutana na warembo wanabishania khs handsome, nimeshangaa kwel, nikajiuliza, u_handsome unaliwa?! Halaf nikajaribu ku soma mawazo yao namna wanavyoongelea aina ya ma handsome walivyo. Naomba nisipoteze muda sana na blah blah, embu akina naniii...
  6. zinc

    Kisa cha Ruge na Historia ya Maisha yangu

    Wakuu JF, Kwanza kabisa, nampa pole Boss Ruge na nimuombe awe na uvumilivu kwa sababu akianza kumfuatilia huyo Zam itazidi kumuumiza sana, huu ni upepo tu na haya yote yatapita na kusahaulika. Nina imani kuwa Boss alimpenda sana huyu mwanamama anayejiita Queen of Host The Bongo movie, ambapo...
  7. zinc

    Kuna mambo nchi hii ukiyatazama kwa sekunde tu, yanachekesha. Utimamu upo wapi?

    Wakuu wa JF, Mimi nashindwa kabisa kuelewa ni kwamba tumetofautina kiasi gani mpaka ifike wakati reasoning tofauti zenye kustaajabisha zinajitokeza???!!! Eheeee wandugu, kufikiri kwetu wa Tanzania tunaanzia kwa kutanguliza:- 1. Uchama 2. Udini 3. Ukabila Why??? Tunapotea sana...
  8. zinc

    Nahitaji urafiki tu, mapenzi itategemea

    Wakuu wa JF, Hope mko salama, naamini mpo poooooaaaa. Sasa nina dili kali, baada ya kutafiti mada nyingi katika jukwaa hili la MMU kwa muda mrefu, nimejiridhisha kuwa kuna changamoto za mahusiano either me kwa ke, me kwa me au ke kwa ke. Kubwa kuliko ni mahusiano ya me kwa ke, niko katika...
  9. zinc

    Zinc: I have revealed my identity

    Wakuu JF, Na imani mpo salama, watu wamekuwa wana shauku ya kufahamu flani ni nani? Sasa kuna wakati hata pm zinajaa, maswali mengi ni ww ni nani? Naomba niweke picha ndogo tu ambayo nina imani itapunguza mjazano pm.
  10. zinc

    Napata shida sana, baada ya kujua mtoto siyo wangu

    Wakuu JF, Matumaini yangu nyie ni wazima hapa, Yaani ninawamiss na ninawapenda wadau wa ukweli, Kwanza mnanisadia nikipata tatizo binafsi, hata marafiki zangu wanaonieleza shida zao, nikiona nashindwa kuwasaidia, huwa nakuja kuomba ushauri kwa niaba yao hapa, na mmekuwa mnaonyesha nia ya...
  11. zinc

    Rafiki yangu ana tatizo sugu la uume kusinyaa

    Wakuu JF, Kwanza kabisa habarini za miaka, nilipotea kwa sababu za mihangaiko ya hapa na pale. Nchi imegeuka na sasa ni kufanya kazi kwa bidii. Lakini pamoja na yote haya, kuna rafiki yangu ana shida sugu ambayo inamfanyA ndoa yake iwe tete. Ni hivi, uume unasinyaa pale anapofikia kuuingiza...
  12. zinc

    Siri kubwa iliyojificha ambayo inawatafuna wasanii hawa wa Afrika Mashariki

    Ndugu wana JF, Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya, natumaini kwamba mnaendelea vema wadau wangu wa ukweli. Leo nitajikita zaidi kuwaongelea wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika ukanda wa afrika mashariki, kuna story inayowahusu baadhi ya wasanii wenye majina makubwa ambao ki ukweli...
  13. zinc

    2014 mapenzi yameniumiza sana, mademu ni wakorofi

    Ndugu wana JF, KWA KWELI CHA MOTO NIMEKIONA MWAKA HUU. MADEMU NI WAKOROFI TENA NIMEGUNDUA MADEMU WA TZ NI WASHAMBA SANA HAKUNA MFANO. UJANJA WAO NI TZ TU, WAKITOKA NJE YA TZ NI WASHAMBA. WANA MITUSI, SIYO WASAFI (HASA WAHAYA), WAJUAJI PASIPO ULAZIMA. KWELI UJINGA WAO FAHARI YAO.
  14. zinc

    Ananiambia anataka

    Ndugu wana JamiiForums. Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ana miezi kadhaa tangu apate ujauzito. Na ananisingizia mimi eti huo ujauzito ni wa kwangu, sasa nimekubali tu kwa shingo upande mpaka atakapo jifungua ili ukweli ujulikane. Ila amekuwa akinisumbua eti anahitaji d.u.d.u langu, mimi nimekuwa...
  15. zinc

    Simon Mwakifamba: Wasanii wenzangu na wananchi tupige kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopende

    Ndugu wana JF Katika kipindi cha HOTMIX Mwenyekiti wa wasanii wa BONGO MOVIES amewasihi wasanii wenzake na wananchi wote wa Tanzania kupiga kura ya NDIYO kwenye rasimu ya tatu iliyopendekezwa, kwa sababu rasimu hiyo imetamka haki ya msanii ambayo ni maslahi yao binafsi. Amesisitiza mambo...
  16. zinc

    Lowassa: Utajiri wangu usitumike kwa lengo la kuchafuana katika siasa, ndugu zangu aliyepata amepata

    Ndugu wana JF, Mkubwa wa kazi ambaye amewahi kushika nafasi kubwa za uongozi katika taifa hili na mwenye kasi ya ajabu katika medani za siasa, uchumi katika chama chake, amekuwa akiwaonya wapinzani wake kutotumia kete ya mali zake kama njia ya kumchafua ki siasa. Amesema hapendezwi na hilo, na...
  17. zinc

    Marafiki zangu, wapenzi wangu sikilizeni wazo ninalofikiria, msinitose kwa sababu ninawahitaji sana

    Ndugu wana Jamiiforums Habari za masiku wakuu, pamoja na changamoto nyingi sana ambazo nimepitia as a man bado nina haiba ya unyenyekevu, utulivu, heshima, maarifa ya ubunifu wa kupambana na changamoto hizo za maisha ya kila siku. Kwanza ninawapenda kwa sababu tunashirikiana katika forum kwa...
  18. zinc

    Naombeni sana msimpe ushirikiano wowote demu huyu kwa sababu anataka kuniingiza mkenge

    Ndugu wadau wa JF, Kuna demu wa humu MMU ana nia mbaya na mimi, juzi kanipigia simu na kunieleza eti kwamba ana mimba yangu. Binafsi nilipata mshangao na kumuuliza baadhi ya maswali, akaishia kujichekesha kama Jokate. Basi nikaamua kukata simu baada ya kuona mizinguo, toka siku hiyo anajaribu...
  19. zinc

    Mase arudi tena kwenye game ya hip hop

    Ndugu wana JF Habari zenu wakuu, nimepotea kitambo kwa threads zangu za kuwashika vilivyo. Yule mkongwe wa game asiyekamatika na style yake ya kurap ambaye aliamua kuwa mchungaji, amerudi upya na kibao chake kipya cha nothing. Aiseee ni noma mbaya, nimeamua kumrusha kwani ndiye ninayemkubali...
  20. zinc

    Slaa: Biblia kuna maandiko yanasema yeyote anayewapotosha wadogo anastahili kufungiwa jiwe shingoni

    Ndugu wana JF, Dk Slaa amewaambia viongozi wa dini kwamba anawapenda sana, ila amewasihi wasijiingize katika malumbano yasiyo na tija kwa kuilalamikia jumuiya ya UKAWA, kwani litakuja kuwahukumu siku ya mwisho kwa kutoa kauli ambazo hawajafanyia utafiti. Hii ni tahadhari kwa viongozi wa dini...
Back
Top Bottom