Wana Jf, habari.
Mzazi wangu amevunjika mguu mfupa uitwao femur.
Mfupa huu umevunija kabisa ila haujatokeza nje wala haujaleta kidonda, anatakiwa kufanyiwa upasuaji.
Tatizo ana tatizo la sukari iko kati ya 5.0 9.5
Pressure nayo haiko vizuri . ipo kati ya 157/73 140/59.
Napata wasiwasi...
Wana JF
Humu ndani naamini kuna wataalam wa magari.
naomba msaada wa kujua tofauti kati ya model mbili za Toyota Harrier
kuna model code TA-ACU15W na ACU15W.
Nini tofauti zake na ipi ni bora zaidi?
shukrani
Wanajamii kuna habari hii ambayo imetawala kwenye vyombo vingi vya habari kuhusiana na kuanguka kwa soko la hisa la marekani.Nimejaribu kufuatilia lakini sijaweza elewa vizuri.Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe.je hali kama hii inaweza pia kutokea katika soko letu la hisa hapa Tanzania.Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.